Cate hotel iko wapi hapa mjini

Cate hotel iko wapi hapa mjini

Na mimi nataka kujua little star hotel inapatikana wapi Dar?
 
Wajibu kuwa, kwani wewe si binti, cha ajabu ni nini maana binti lazima apigwe miti na Me apige miti
Umeenda nje kidogo na mawazo yangu, kuingia na kulala hotel sio lazima uwe umekwenda kufanywa na mtu, watu wanasafiri hawana wenyeji, pamoja na kuwa na wenyeji pia kuna umri na majukumu vinakubana kufikia kwa watu
 
Ni sawa ingawa nilikuwa nakutetea na watu waache kuuliza majibu! Ungalikuwa under 18 hapo swali lake lingalikuwa na mashiko
 
Kuna mtu amenihukumu? Basi ubongo wake utakuwa na mushkeli kidogo
 
Back
Top Bottom