Pre GE2025 Catherine Magige: Luhaga Mpina ni mtu wa ovyo ambaye haamini uongozi wa mwanamke

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kimsingi sijasikia matusi lakini nilichokiona ni kijana mmoja aliyekosa akili akipayuka bila kutafakari kuwa anavunja sheria za uchaguzi....

Kampeni za urais ndani ya CCM zitaondoka na roho za watu
 
Habari njema sana kwa sisi tunao iombea njaa ccm.
 
Kumbe ukweli unauma kiasi hicho 🤔🤔 sasa anamfungisha mdomo yeye kama nani 🤔🤔 kumbe mboga mboga hadi wadangaji wana jeuri ya kufungisha watu midomo 🤔🤔 hii nchi uhuru umezidi kweli
 
Kimsingi sijasikia matusi lakini nilichokiona ni kijana mmoja aliyekosa akili akipayuka bila kutafakari kuwa anavunja sheria za uchaguzi....

Kampeni za urais ndani ya CCM zitaondoka na roho za watu
Mkuu nimekuelewa ila ujue matusi au siyo matusi ni jinsi gani ulivyo chukulia binafsi.
 
Wamegombana dagaa ambao hawana impact yoyote kwenye chama then unasema chama kinawaka moto 😂 hao ni sawa na akina mdude huko ufipani yani ni wale wasindikizaji na wapiga kelele wa chama
 
Najua na shemeji yako yaani diwani ni rafiki yangu
Ndio maana nasema akili yako haipo sawa.maana aliye sawa kichwani na anayejitambua hawezi akakaa na kuanza kutunga vihabari vya uongo na uzushi .wewe bado ni mtoto na mwenye akili ya kitoto sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…