Pre GE2025 Catherine Magige: Luhaga Mpina ni mtu wa ovyo ambaye haamini uongozi wa mwanamke

Pre GE2025 Catherine Magige: Luhaga Mpina ni mtu wa ovyo ambaye haamini uongozi wa mwanamke

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
hayo maneno Mpina aliyasemea wapi tuletee clip vinginevyo sisi wananchi tutafungua kesi mahakamani kwa kosa la wewe magige kumkashifu Rais kwa kujificha kwenye kichaka cha mpina...mpina ni kiongozi asiyeopenda majungu ndio maana kila anachofanya anafanya kwa uwazi mawazo yake anayatoa hadharani
Nakuunga mkono
 
Sawa. Ila jua kuwa kuna watu wengi nchini wanaoamini kwa dhati kabisa kuwa Magufuli alikuwa kiongozi bora sana hapa Tanzania hata Afrika yote - pengine hata kumzidi Nyerere!

Najiuliza tu watu hao wanafikirije namna aina hiyo ya “kiongozi wao bora kabisa” atakavyoweza kupatikana nikikumbuka jinsi Magufuli alivyoweka pembeni Katiba, mihimili ya kidemokrasia na utawala wa sheria na kuhakikisha anapanga anavyotaka chaguzi kuu za 2019 na 2020.

Hawaupendi kabisa utawala wa sasa wa SSH wala hawataki kabisa upinzani. Wao wanataka tu “Magufuli mwingine” aje kuwa Rais! Nataka wanijibu, atakujaje? Kivipi? Naiona “paradox” kubwa sana hapa.
Wacha kumlinganisha baba wa taifa na watu wasiyo na sifa hizo
 
Mbunge viti maalum Arusha Catherine Magige amvaa kwa matusi mbunge mwenzake.

Amemshambulia kwa matusi mbunge Mpina utadhani wapo vyama tofauti.

Hii ni dalili tosha kuwa CCM sasa hivi kuna moto unawaka chini kwa chini.

Hakuna amani tena.

Tuombe Mungu azidi kuukoleza na sisi wazalendo kazi yetu ni kuongezea Kuni tu.

View attachment 2877418
Hii kitu ndiyo iliyoenda arabuni nusu uchi eti eh! Mpina hamumuwezi cha kufanya kuacha ujambazi tu!
 
Mbunge viti maalum Arusha Catherine Magige amvaa kwa matusi mbunge mwenzake.

Amemshambulia kwa matusi mbunge Mpina utadhani wapo vyama tofauti.

Hii ni dalili tosha kuwa CCM sasa hivi kuna moto unawaka chini kwa chini.

Hakuna amani tena.

Tuombe Mungu azidi kuukoleza na sisi wazalendo kazi yetu ni kuongezea Kuni tu.

View attachment 2877418
Huyu ni msimbe ama kishapata bwana?
Kuna kitu nataka kujua ndio niandike.
 
Mbunge viti maalum Arusha Catherine Magige amvaa kwa matusi mbunge mwenzake.

Amemshambulia kwa matusi mbunge Mpina utadhani wapo vyama tofauti.

Hii ni dalili tosha kuwa CCM sasa hivi kuna moto unawaka chini kwa chini.

Hakuna amani tena.

Tuombe Mungu azidi kuukoleza na sisi wazalendo kazi yetu ni kuongezea Kuni tu.

View attachment 2877418
M.l.ya
 
Namuunga mkono Mheshimiwa Mbunge kuwa 2025 FOMU ya Urais ndani ya CCM Ni moja tu kwa ajili ya Mama Samia ambaye ndio chaguo letu wana CCM wote kwa umoja wetu.

Hata hivyo CCM Ni moja yenye umoja ,upendo na mshikamano mkubwa sana kuliko wakati mwingine wowote ule.
Chama gani hicho kinachokumbatia wezi na mafisadi
 
Back
Top Bottom