Yeah man, well said, there is a discrepancy between the ruling class and us, ambacho mimi sikubaliani ni kwamba wametengeneza infinite loop ambayo kwenye programming tunasemaga ni is a piece of code that lacks a functional exit so that it repeats indefinitely. Sasa hapo mzee ili hiyo loop isimame there must be external factors. Aloo mkuu accountability ni tatizo sana hapa Tanzania, kila siku unasikia stori mpya za watu kufanya blunders wanazofanya aloo its confusing kwakweli. Mfano it has been said kilimo ni uti wa mgongo wa nchi yetu lakin hilo somo lilifutwa kwenye preliminary education zetu na kids have been brainwashed kwamba kilimo ni kazi ya mateso ngumu na ni maskini tu huwa wanalima, aloo mambo yamechanganyikana sana hapa Tz mkuu na viongozi wako busy kuangalia maisha yao na wako wanaanda successors watakao walinda pindi watakapo toka madarakani ndio mana nasema wametengeneza loop ya ajabu sana aloo na kuna watu wanaume wana wa hail na kuwashangilia kinamna ambayo inabidi uanze kuwashangaa na ikatokea mtu akasema ukweli kidogo anakuwa threat kwao kiasi kwamba wanamuundia kikosi kazi. Kazi kweli kweli masta.