Catherine Ruge ameuita mfumo mpya wa uongozi wa CHADEMA kuwa ni mfumo dume "patriarchy"

Patriarchal - sio mfumo dume Ila ni ile hali mwanaume anakuwa decision maker mfanya maamuzi.

Ukileta maswala ya gender balance utazalisha jamii ya watu wajinga na wapiga majungu .

Wao wakomae na UWT , BAWACHA n.k

Unafikiri ni mwanamke gani angeweza kumuondoa Mbowe hapo Chadema?

Mnadai kitu ambacho hata mkipewa hamuwezi kukifanyia Kazi
Siyo wajinga ni wapumbavu ...ndiyo wale waseng3 wanao sema bora unitukanie baba yangu kuliko mama yangu.
 
Ingekua hivo basi nguvu kubwa isingetumika kutafuta kukishusha.

CHADEMA chini ya LISSU, NARUDIA MJIANDAE
Mkuu katika jambo nina uhakika nalo ni hili. CCM wamehangaika sana kumtoa Mbowe kutokea nje, wameshindwa wamefanikiwa kumtoa kwa kutumia watu wa ndani. Lissu hana nguvu na ushawishi kwa kundi muhimu sana kisiasa "urban petty bourgeois". Subiri uone CCM ilivyo jabari la kisiasa.
 
ishu ya 50 kwa 50 ni ya kutokea kuzimu kwa shetani. Tangu mwanzo mwanamke ameumbwa atawaliwe. Ni uasi kiroho mwanamke kumtawala mwanaume. Unadhani Bwana Yesu alisahau kumchagua mwanamke japo mmoja wakati ule alipowachagua mitume 12?

mwanamke ana nafasi yake siyo ya kumtawala mwanaume. This is God ordained!
Na Chadema ni mpango wa Mungu

Na Chadema ni mpango wa Mungu kwahio tupo kwenye mstari sahihi
 
Catherine Ruge ameuita mfumo mpya wa uongozi wa CHADEMA kuwa ni mfumo dume baada ya picha iliyoonyesha wanaume tu wakiwa wamesimama kwenye jukwaa kuu katika mkutano uliomalizika jana Mlimani city. Picha hiyo iliwekwa na Janeth Rithe ambaye ni mwenyekiti wa ngome ya wanawake wa chama cha ACT Wazalendo ambapo Catherine alisema huo ni mfumo dume.

Kauli hiyo imepokelewa vibaya na wananchi mbali mbali waliomkumbusha kuwa yeye aliwaongoza BAWACHA kwenda kumchukulia fomu ya kugombea uenyekiti Freeman Mbowe baadala ya kuhakikisha kuna mwanamke kutoka BAWACHA anayeweza kugombea nafasi hiyo ya juu.

View attachment 3211395
Kwenye kamati kuu, Lissu amechagua wanawake wawili kati ya watu watano. Mbowe hakutumia hizo nafasi kuteua wanawake.
 
Kwenye siasa hakuna kitu kinaitwa uwezo 100% kuna public appeal...

Kama hizlcho kitu kikipigiwa chapuo vizur kinakuondolea credibility.

Nafasi za kugombea hapo ni chache tu, nyingine zote ni za kuteua...

Kwanini wanawake hawajaonekana?

Mabadliko ni pamoja na hiyo element..

Wakati mnafurahia ushindi kaz haziwasubiri
Unda chama chako uwape uongozi hata ambao hawana uwezo.
Jinsia na uwezo wa kuongoza ni vitu viwili tofauti.
Acheni kujihisi.
 
Patriarchal - sio mfumo dume Ila ni ile hali mwanaume anakuwa decision maker mfanya maamuzi.

Ukileta maswala ya gender balance utazalisha jamii ya watu wajinga na wapiga majungu .

Wao wakomae na UWT , BAWACHA n.k

Unafikiri ni mwanamke gani angeweza kumuondoa Mbowe hapo Chadema?

Mnadai kitu ambacho hata mkipewa hamuwezi kukifanyia Kazi
Kama wanawake wenyewe jia aina ya Wkina Hamima mdee, qcha John na Kissu wapasue wimbi
 
Catherine Ruge ameuita mfumo mpya wa uongozi wa CHADEMA kuwa ni mfumo dume baada ya picha iliyoonyesha wanaume tu wakiwa wamesimama kwenye jukwaa kuu katika mkutano uliomalizika jana Mlimani city. Picha hiyo iliwekwa na Janeth Rithe ambaye ni mwenyekiti wa ngome ya wanawake wa chama cha ACT Wazalendo ambapo Catherine alisema huo ni mfumo dume.

Kauli hiyo imepokelewa vibaya na wananchi mbali mbali waliomkumbusha kuwa yeye aliwaongoza BAWACHA kwenda kumchukulia fomu ya kugombea uenyekiti Freeman Mbowe baadala ya kuhakikisha kuna mwanamke kutoka BAWACHA anayeweza kugombea nafasi hiyo ya juu.

View attachment 3211395
Tunachohitaji ni uongozi imara, hatutaki mambo ya kubalance jinsia kama angekuwepo mwenye uwezo wa kugombea kati ya hao wanawake angegombea.
 
Kwenye siasa hakuna kitu kinaitwa uwezo 100% kuna public appeal...

Kama hizlcho kitu kikipigiwa chapuo vizur kinakuondolea credibility.

Nafasi za kugombea hapo ni chache tu, nyingine zote ni za kuteua...

Kwanini wanawake hawajaonekana?

Mabadliko ni pamoja na hiyo element..

Wakati mnafurahia ushindi kaz haziwasubiri
Mbona Rose Mayemba, Salima Kasunzu wamechaguliwa ujumbe kamati kuu?. Au hujui kamati kuu ndio the most powerful committee ya chama.
 
Kamati kuu haina viongozi?
CC inakutana mara ngap kwa mwaka?

Vipi kuhusu visibility and power ndani ya Chama?

Anyways damage made cant be undone.
 
Catherine Ruge ameuita mfumo mpya wa uongozi wa CHADEMA kuwa ni mfumo dume baada ya picha iliyoonyesha wanaume tu wakiwa wamesimama kwenye jukwaa kuu katika mkutano uliomalizika jana Mlimani city. Picha hiyo iliwekwa na Janeth Rithe ambaye ni mwenyekiti wa ngome ya wanawake wa chama cha ACT Wazalendo ambapo Catherine alisema huo ni mfumo dume.

Kauli hiyo imepokelewa vibaya na wananchi mbali mbali waliomkumbusha kuwa yeye aliwaongoza BAWACHA kwenda kumchukulia fomu ya kugombea uenyekiti Freeman Mbowe baadala ya kuhakikisha kuna mwanamke kutoka BAWACHA anayeweza kugombea nafasi hiyo ya juu.

View attachment 3211395
Huyomnafiki ni wa kumpotezea hana faida kwenye legacy kwa sasa
 
Back
Top Bottom