imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Baraza la Wazee.😀 BAZECHA ndio kifupisho cha nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baraza la Wazee.😀 BAZECHA ndio kifupisho cha nini?
Kabisa, kumtoa wakala wa mama Abdul kwenye uongozi wa CHADEMA is not a small featInaonekanwa kumuondoa Mbowe ndiomafanikio yenu ya kujivunia zaidi
Wengine mahawara zao kama yule bi kidoti hawara la yule muuaji aliyepewa uDC na sasa ni mwenyekiti wao wa vijana, kama siyo kuvua chupi angekuwa bado anahangaika na akina AYBahati mbaya sana kwa nchi yetu kuwa chama tawala haki chagui viongozi wake kutokana na uwezo bali jinsia zao!! Ndio maana tunakuwa na viongozi wake serikalini walojaa hewa kichwani!!
Tunashukuru Chadema wameonesha njia ya kuwa tofauti!
Nae siangeenda kuchukua fomu ya mwenyekiti kwani alikatazwa. Washazoe kubebwabebwa tu.Catherine Ruge ameuita mfumo mpya wa uongozi wa CHADEMA kuwa ni mfumo dume baada ya picha iliyoonyesha wanaume tu wakiwa wamesimama kwenye jukwaa kuu katika mkutano uliomalizika jana Mlimani city. Picha hiyo iliwekwa na Janeth Rithe ambaye ni mwenyekiti wa ngome ya wanawake wa chama cha ACT Wazalendo ambapo Catherine alisema huo ni mfumo dume.
Kauli hiyo imepokelewa vibaya na wananchi mbali mbali waliomkumbusha kuwa yeye aliwaongoza BAWACHA kwenda kumchukulia fomu ya kugombea uenyekiti Freeman Mbowe baadala ya kuhakikisha kuna mwanamke kutoka BAWACHA anayeweza kugombea nafasi hiyo ya juu.
View attachment 3211395
Walitaka uenyekiti na umakamu wa viti maalum?Catherine Ruge ameuita mfumo mpya wa uongozi wa CHADEMA kuwa ni mfumo dume baada ya picha iliyoonyesha wanaume tu wakiwa wamesimama kwenye jukwaa kuu katika mkutano uliomalizika jana Mlimani city. Picha hiyo iliwekwa na Janeth Rithe ambaye ni mwenyekiti wa ngome ya wanawake wa chama cha ACT Wazalendo ambapo Catherine alisema huo ni mfumo dume.
Kauli hiyo imepokelewa vibaya na wananchi mbali mbali waliomkumbusha kuwa yeye aliwaongoza BAWACHA kwenda kumchukulia fomu ya kugombea uenyekiti Freeman Mbowe baadala ya kuhakikisha kuna mwanamke kutoka BAWACHA anayeweza kugombea nafasi hiyo ya juu.
View attachment 3211395
Uongozi uliopita ulikuwa na wanawake wangapi? Tuanzie hapo kwanza, ili tujue pa kuanzia. Isije kuwa anaugulia maumivu ya bwana wake kushenyetwa.Catherine Ruge ameuita mfumo mpya wa uongozi wa CHADEMA kuwa ni mfumo dume baada ya picha iliyoonyesha wanaume tu wakiwa wamesimama kwenye jukwaa kuu katika mkutano uliomalizika jana Mlimani city. Picha hiyo iliwekwa na Janeth Rithe ambaye ni mwenyekiti wa ngome ya wanawake wa chama cha ACT Wazalendo ambapo Catherine alisema huo ni mfumo dume.
Kauli hiyo imepokelewa vibaya na wananchi mbali mbali waliomkumbusha kuwa yeye aliwaongoza BAWACHA kwenda kumchukulia fomu ya kugombea uenyekiti Freeman Mbowe baadala ya kuhakikisha kuna mwanamke kutoka BAWACHA anayeweza kugombea nafasi hiyo ya juu.
View attachment 3211395
Samia hajiamini anaogopa kutoka nje wamjadili akidhani watampindua hao Watanganyika!’ Huyu bibi is very insecure to be President!Tusikilize mawazo ya mfumo Jike
Kabisa, kumtoa wakala wa mama Abdul kwenye uongozi wa CHADEMA is not a small feat
Kila zama zina kitabu chake, kwa hicho tunamheshimu ila mkija na hoja za kipuuzi tunaenda ulalo ulalo. Amekubali kuwa wakala wa mama Abdul na hilo limenghatimuhuyo unaemwita wakala ndio aliekufanya wewe na wahuni wenzio kujiita chadema
UsiwazePouwa, kwenye ile ile namba inayoshia 22 😹
Wanawake hawajawahi kua na maajabu duniani koteCatherine Ruge ameuita mfumo mpya wa uongozi wa CHADEMA kuwa ni mfumo dume baada ya picha iliyoonyesha wanaume tu wakiwa wamesimama kwenye jukwaa kuu katika mkutano uliomalizika jana Mlimani city. Picha hiyo iliwekwa na Janeth Rithe ambaye ni mwenyekiti wa ngome ya wanawake wa chama cha ACT Wazalendo ambapo Catherine alisema huo ni mfumo dume.
Kauli hiyo imepokelewa vibaya na wananchi mbali mbali waliomkumbusha kuwa yeye aliwaongoza BAWACHA kwenda kumchukulia fomu ya kugombea uenyekiti Freeman Mbowe baadala ya kuhakikisha kuna mwanamke kutoka BAWACHA anayeweza kugombea nafasi hiyo ya juu.
View attachment 3211395
Wewe ni mtoto wa 2008Mkuu katika jambo nina uhakika nalo ni hili. CCM wamehangaika sana kumtoa Mbowe kutokea nje, wameshindwa wamefanikiwa kumtoa kwa kutumia watu wa ndani. Lissu hana nguvu na ushawishi kwa kundi muhimu sana kisiasa "urban petty bourgeois". Subiri uone CCM ilivyo jabari la kisiasa.
Wanataka equity japo wao wanadai wanataka equalityTatizo la wanawake wa KiTanzania wanapenda wapendelewe kisa jinsia tu bila kuangalia uwezo.
Wapo wenye uwezo lakini wengi wao ni vilaza mno huku wakitegemea waonewe huruma kisa tu ni wanawake.
Tutajuaje kuwa haya si maneno ya mkosaji tu?
Kamati kuwaa ina wajumbe 30+ be assured at least 12 must be women maana kila baraza lazima lichague wajumbe wa CC kwa gender parity, mind you Bawacha inapeleka wote wanawake, na hizi nafasi za mwenyekiti lazima 2 wawe wanawake. Same to baraza kuu nayo gender ipo considered. Kwahiyo gender ipo factored in miaka yote.Kamati kuu haina viongozi?