Catherine Ruge ameuita mfumo mpya wa uongozi wa CHADEMA kuwa ni mfumo dume "patriarchy"

Siyo wajinga ni wapumbavu ...ndiyo wale waseng3 wanao sema bora unitukanie baba yangu kuliko mama yangu.
 
Ingekua hivo basi nguvu kubwa isingetumika kutafuta kukishusha.

CHADEMA chini ya LISSU, NARUDIA MJIANDAE
Mkuu katika jambo nina uhakika nalo ni hili. CCM wamehangaika sana kumtoa Mbowe kutokea nje, wameshindwa wamefanikiwa kumtoa kwa kutumia watu wa ndani. Lissu hana nguvu na ushawishi kwa kundi muhimu sana kisiasa "urban petty bourgeois". Subiri uone CCM ilivyo jabari la kisiasa.
 
Na Chadema ni mpango wa Mungu
Na Chadema ni mpango wa Mungu kwahio tupo kwenye mstari sahihi
 
Kwenye kamati kuu, Lissu amechagua wanawake wawili kati ya watu watano. Mbowe hakutumia hizo nafasi kuteua wanawake.
 
Unda chama chako uwape uongozi hata ambao hawana uwezo.
Jinsia na uwezo wa kuongoza ni vitu viwili tofauti.
Acheni kujihisi.
 
Kama wanawake wenyewe jia aina ya Wkina Hamima mdee, qcha John na Kissu wapasue wimbi
 
Tunachohitaji ni uongozi imara, hatutaki mambo ya kubalance jinsia kama angekuwepo mwenye uwezo wa kugombea kati ya hao wanawake angegombea.
 
Mbona Rose Mayemba, Salima Kasunzu wamechaguliwa ujumbe kamati kuu?. Au hujui kamati kuu ndio the most powerful committee ya chama.
 
Mbona Rose Mayemba, Salima Kasunzu wamechaguliwa ujumbe kamati kuu?. Au hujui kamati kuu ndio the most powerful committee ya chama.
Kamati kuu haina viongozi?
CC inakutana mara ngap kwa mwaka?

Vipi kuhusu visibility and power ndani ya Chama?

Anyways damage made cant be undone.
 
Huyomnafiki ni wa kumpotezea hana faida kwenye legacy kwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…