Catherine Ruge ameuita mfumo mpya wa uongozi wa CHADEMA kuwa ni mfumo dume "patriarchy"

Bado hatujawasahau covid 19, kabla hajaendelea na uharo atuambie kwa nini hawa wanawake wenzake waliisaliti CHADEMA walipopewa dhamana na kuaminiwa nini kitawazuia wengine kufanya hivi hivi?

Aende akapake rangi za mdomo na kucha akamliwaze Mbowe aliteenda kumchukulia fomu
 
Bahati mbaya sana kwa nchi yetu kuwa chama tawala haki chagui viongozi wake kutokana na uwezo bali jinsia zao!! Ndio maana tunakuwa na viongozi wake serikalini walojaa hewa kichwani!!
Tunashukuru Chadema wameonesha njia ya kuwa tofauti!
Wengine mahawara zao kama yule bi kidoti hawara la yule muuaji aliyepewa uDC na sasa ni mwenyekiti wao wa vijana, kama siyo kuvua chupi angekuwa bado anahangaika na akina AY
 
Nae siangeenda kuchukua fomu ya mwenyekiti kwani alikatazwa. Washazoe kubebwabebwa tu.
 
Walitaka uenyekiti na umakamu wa viti maalum?
 
Uongozi uliopita ulikuwa na wanawake wangapi? Tuanzie hapo kwanza, ili tujue pa kuanzia. Isije kuwa anaugulia maumivu ya bwana wake kushenyetwa.

Sisi CCM tuko hapa kuona mnagawana mbao.
 
huyo unaemwita wakala ndio aliekufanya wewe na wahuni wenzio kujiita chadema
Kila zama zina kitabu chake, kwa hicho tunamheshimu ila mkija na hoja za kipuuzi tunaenda ulalo ulalo. Amekubali kuwa wakala wa mama Abdul na hilo limenghatimu
 
Wanawake hawajawahi kua na maajabu duniani kote
 
Kwa nini hakugombea kuwa mwenyekiti wa chama au makamu?
Wanataka mbeleko tu? Akwende zake huko
 
Wewe ni mtoto wa 2008
 
Tutajuaje kuwa haya si maneno ya mkosaji tu?

..kulikuwa na lobbying kwamba pawepo na mwanamke ktk nafasi za juu kama sio Katibu Mkuu, basi mmoja wa manaibu.

..Mwenyekiti wa Bazecha Mama Grace Kiwelu amesikika akisema kwamba aliongea na Freeman Mbowe, na Tundu Lissu, kuhusu kuteuwa wanawake, na walimpa matumaini kuhusu suala hilo.

..Maoni ya Catherine Ruge huenda yamesababishwa na hasira ya matokeo ya uchaguzi, maana ameshindwa kutetea nafasi yake ya Katibu wa Bawacha, au yametokana na Tundu Lissu kutokutimiza alichomuahidi Mwenyekiti wa Bazecha.

..Kwa upande mwingine, Tundu Lissu ameteua wanawake 2 kati ya wajumbe watano wa Kamati Kuu ambao Mwenyekiti ana mamlaka kuteua.

..Pia bado kuna fursa ya kuteua wanawake katika Sekretariet ya Makao Makuu ya chama.
 
Kamati kuu haina viongozi?
Kamati kuwaa ina wajumbe 30+ be assured at least 12 must be women maana kila baraza lazima lichague wajumbe wa CC kwa gender parity, mind you Bawacha inapeleka wote wanawake, na hizi nafasi za mwenyekiti lazima 2 wawe wanawake. Same to baraza kuu nayo gender ipo considered. Kwahiyo gender ipo factored in miaka yote.

Wanawake nao wachukue fomu wasisubiri teuzi, huyo Catherine ruge hajagombea hata nafasi ya kamati kuu sasa anataka nani amuweke hapo mbele?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…