Catherine Ruge: Kakoko alinitishia kuniua baada ya kuibua madudu mengi TPA

Mh nadhani hii ni twist, huyu mkurugenzi kuiba sidhani ila sema alikuwa hajui uongozi
 
Ndugai atakuwa pressure ilimpanda baada ya kulazimishwa kujiuzulu, na huo ulinzi wanaompa huko India serikali wanaogopa asije kutoa siri ya waliomuandikia barua ya kujiuzulu.
Ndugai alilazimishwa kujiuzulu au alifukuzwa na chama? maana angejiuzulu angeandika barua kwa katibu wa bunge kama katiba inavyotaka
 
Hivi ni mrundi sio mhaya nilisoma naye Pugu Highschool alikuwa mbinafsi,atakuomba kitabu lakini chake hugusi
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndugai atakuwa pressure ilimpanda baada ya kulazimishwa kujiuzulu, na huo ulinzi wanaompa huko India serikali wanaogopa asije kutoa siri ya waliomuandikia barua ya kujiuzulu.
Mlinzi pekee ni Mungu tu hao wenye vifaru na mitutu wanapoteza muda wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…