Catherine Ruge: Kakoko alinitishia kuniua baada ya kuibua madudu mengi TPA

Acha uwongo unaweza bainisha hapa ukatili wa kakoko ulikuwa wapi? Na tangu wamchunguze je alishawahi kufikishwa mahakamani? Vijana fanyeni kazi acheni majungu kwa wakubwa zenu

Hizo taasisi za uchunguzi ndio sehemu uhalifu nchi hii.
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Aliyekuwa mbunge wa viti maalum CHADEMA na Katibu mkuu BAWACHA ndugu Catherine Ruge amedai kwamba wakati akiwa mbunge akifanyia kazi kamati ya PAC alitishiwa kifo na aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari nchini TPA ndugu Kakoko ambaye alikuja kutumbuliwa kwa tuhuma za ufisadi na kushtakiwa mahakamani.

Hali hiyo ilikuja baada ya yeye kuibua Madudu mengi ya ufujaji wa pesa katika Mamlaka hiyo na kubainisha kuwa kulikuwa na baadhi ya watumishi wazalendo wa kutoka mamlaka hiyo walikuwa wakimpa nyaraka za ndani za matumizi mabaya ya pesa ambazo Bwana Kakoko alikuwa akizificha.

Akiongea kwa njia ya mtandao kupitia mjadala unaoendeshwa kupitia mtandao wa Clubhouse, Pia ndugu Catherine Ruge alisema amedokeza anashangaa watu wakihoji alipo aliyekuwa Spika wa bunge ndugu Job Yustino Ndugai wakati yeye anafahamu kuwa yupo Katika matibabu hospitali ya Apollo nchini India na Kuna ulinzi mkali umeimarishwa katika mahali alipo mgonjwa.

Taarifa za kuugua kwa Ndugai, Catherine Ruge amedai kuwa amezipata kutoka kwa mdogo wake ambaye walikuwa wakitibiwa pamoja katika hospitali hiyo.
Wanasumbuliwa na nini hao akina Ndugai?
 
Ndugai atakuwa pressure ilimpanda baada ya kulazimishwa kujiuzulu, na huo ulinzi wanaompa huko India serikali wanaogopa asije kutoa siri ya waliomuandikia barua ya kujiuzulu.
Kwani barua ya kujihudhuru si aliandika mwenyewe?
 
Mbona unazungumzia Ndugai kama sub stori wakati inaonekana ni habari iliyokamilika?

Nini kinaendelea kwa Ndugai?
Wapishi wana marineti nyama..

Wacha walainishe Kwanzaa hadi kukuche..
 
Sijachanganya mafaili ndio huyu msimbe anayeng’ang’ania wanaume za watu na kuishia kufanya fujo hadi kwenye misiba ya watu.

Baada ya kupoteza ubunge amekuwa kama kachanganyikiwa.
Kuna Catherine Ruge wa CDM na Catherine Magige wa chama cha mawezi, huyo ya lumumba ndio alikua anan'gan'gania mume wa mtu
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Aliyekuwa mbunge wa viti maalum CHADEMA na Katibu mkuu BAWACHA ndugu Catherine Ruge amedai kwamba wakati akiwa mbunge akifanyia kazi kamati ya PAC alitishiwa kifo na aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari nchini TPA ndugu Kakoko ambaye alikuja kutumbuliwa kwa tuhuma za ufisadi na kushtakiwa mahakamani.

Hali hiyo ilikuja baada ya yeye kuibua Madudu mengi ya ufujaji wa pesa katika Mamlaka hiyo na kubainisha kuwa kulikuwa na baadhi ya watumishi wazalendo wa kutoka mamlaka hiyo walikuwa wakimpa nyaraka za ndani za matumizi mabaya ya pesa ambazo Bwana Kakoko alikuwa akizificha.

Akiongea kwa njia ya mtandao kupitia mjadala unaoendeshwa kupitia mtandao wa Clubhouse, Pia ndugu Catherine Ruge alisema amedokeza anashangaa watu wakihoji alipo aliyekuwa Spika wa bunge ndugu Job Yustino Ndugai wakati yeye anafahamu kuwa yupo Katika matibabu hospitali ya Apollo nchini India na Kuna ulinzi mkali umeimarishwa katika mahali alipo mgonjwa.

Taarifa za kuugua kwa Ndugai, Catherine Ruge amedai kuwa amezipata kutoka kwa mdogo wake ambaye walikuwa wakitibiwa pamoja katika hospitali hiyo.
Taarifa za kuugua kwa Ndugai, Catherine Ruge amedai kuwa amezipata kutoka kwa mdogo wake ambaye walikuwa wakitibiwa pamoja katika hospitali hiyo.[emoji3064][emoji15][emoji848]
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Taarifa za kuugua kwa Ndugai, Catherine Ruge amedai kuwa amezipata kutoka kwa mdogo wake ambaye walikuwa wakitibiwa pamoja katika hospitali hiyo.[emoji3064][emoji15][emoji848]
Muda utasema tu Wacha wajumpjumo kama maharage tu
 
C
Sijachanganya mafaili ndio huyu msimbe anayeng’ang’ania wanaume za watu na kuishia kufanya fujo hadi kwenye misiba ya watu.

Baada ya kupoteza ubunge amekuwa kama kachanganyikiwa.
Catherine Ruge Chadema.Sio Mbunge.
Catherine Magige CCM Mbunge.
Unamwelezea yupi?
 
Kipindi Cha yule nduli na muuji jpm nani aliyekuwa anathubutu kwenda polisi. Mungu ameliponya taifa ujue
Mbona kunamfanya biashara wa kkoo alisimama akazungumza kuwa kuna maofisa wa TRA wamemzurumu bidhaa zake huku akiwa amelipa kodi zote,apo hapo Magufuli akatumbua watu na kuamurisha huyu mfanyabisha halipwe na fidia,?sema yule baba kasema baada ya Magufuri kufa wanataka kumzurumu,akuna mtu aliyeibua ubadhilifu enzi za Magufuri huyo mtu asifatiliwe,huyo mdada ni debe tupu anatafuta pakutokea
 
Back
Top Bottom