Uchaguzi 2020 Catherine Ruge: Kwa mateso haya niliyoyapata, siwezi kusaliti chama changu na Wananchi wangu wa Serengeti walioniamini

Catherine Ruge eti kasema kakataa uteuzi viti maalum eti hatasaliti Chadema utafikiri Chadema ni chama chake alichoanzisha yeye

Kakikuta na atakiacha chadema Lina wenyewe kakigeuza kama dini yake!!!

Wenye chama chao haooooo wako bungeni akae na ujinga wake

Anakuwa mfia chama kisicho mali yake
 
Akikosa lazima atafute tu vijisababu kuhalalisha kukosa. Kwa akili zenu Oktoba 28 mlitegemea Tundu angeshinda kweli uchaguzi? Ni uendawazimu ile kudhani tu angeshinda.

Hata huyu, angepata uteuzi wala usingeona twitt, ila nafasi zenyewe ni 19 na vinara wa Bawacha ni hao akina mdee, na ulitegemea mkoa mmoja utoe wawakilishi 3 kwa viti 19? Mara katoka Ester Bulaya na Matiko. Sasa mikoa mingine ifanyeje.

Lazima atafute namna ya kuvuta pumzi
 
Kwani nyumbu mnajielewa? Mwenye saccos keshaamua waende bungeni manyumbu huku mnaparurana, wao wameshaelewana ndo maana Mbowe katulia kimya anasubiri 1,560,000 X 19 = kila mwezi nyinyi mataahira endeleeni kuweweseka.
Nyumbu hovyo kabisa.
Mbona umekasirika?!
 
Haya madada poa wameenda Dodoma kinyemelanyemela kama wanaingia gheto vile.
 
Ameandika hivi kupitia twitter:

Kwa Mateso na Maumivu haya niliyopitia Siwezi kusaliti chama Changu na Wananchi wa Serengeti walioniamini na Kunipa Heshima Kubwa Kama Msubhati wao.
Kama kuna siku mmeatembea uchi tena uchi wa mnyama huku mmeinama ni kuanzia jana mpaka sasa hivi.
Mkuu usije ukala malimao na chumvi tulia kama unanyolewa hii ndio Siasa bwana.
NJAA + VITI + TAMAA = VITIMAALUMU
 
Wakifukuzwa naomba uni tag.
 
Kama pangekuwa na mazingira fair kwenye uchaguzi nafasi ya Lissu kushinda ilikuwa kubwa sana, asieona nguvu ya kura feki ilivyowabeba CCM ni kipofu wa macho na akili.

Catherine Ruge mwanzo jina lake lilikuwepo, watakuwa waliujua msimamo wake mapema ndio maana wakaliondoa jina lake kuogopa wasijeonekana ni walaghai.
 
Naombeni kuuliza. Huyu Catherine si aligombea kawaida ubunge? Sasa angeingiaje viti maalum! Maana kwani list ya viti Maalum si ilitengenezwa hata kabla ya uchaguzi?

Kama hayo maswali ni yes, huyo Catherine hataki kusaliti nini kwani jina lilikuwepo?
 
Si ajabu hata transfer ya RUZUKU kwa Mwezi November imeshatinga kwenye akaunti za Chama. Patamu hapo, huku wasaliti na Kule wakombozi wanaleta mshiko wa kuendesha chama!
 
Acha kutudanganya au unadhani hapa wote ni mburula kama wewe
 
Mbowe sio mjinga na punguwani kama wewe. Kuna pato lisilo rasmi kutoka kwa wabunge viti maalum. Ndani ya miaka 5 wabunge hao wanatoa kiasi cha tshs. bilioni 1.7 plus pesa ya ruzuku.

Hiyo ni pesa nyingi kukisukuma chama kwenye kipindi kigumu kinachokuja. Siasa ni pesa, siasa ni uwekezaji. Hao wabunge 19 watakuwa wamejipanga vizuri kuliko kipindi walipokuwa wengi bungeni.
 
Naombeni kuuliza. Huyu Catherine si aligombea kawaida ubunge? Sasa angeingiaje viti maalum! Maana kwani list ya viti Maalum si ilitengenezwa hata kabla ya uchaguzi?

Kama hayo maswali ni yes, huyo Catherine hataki kusaliti nini kwani jina lilikuwepo?
Mtu pekee mwenye kura ya turufu kwa viti maalum ni Mdee kwasababu ni mwenyekiti Bawacha, hao wengine huwa wanachaguana tu.

Hata kina Bulaya, Matiko na Paresso nao waligombea ubunge lakini wapo viti maalum.

Kuthibitisha hao watu huwa wanapigiana kura wenyewe/kuteuana na CCM wanahusika, ndio maana Nusrat Hanje ameenda kutolewa jela Singida juzi kwa amri ya DPP, halafu usiku huo huo akapandishwa gari awahi Dodoma kuungana na wasaliti wenzake wakaapishwe.

Huu mchezo umechezwa na CCM kwa asilimia zaidi ya 99%

Hao wanaosema ruzuku ni vipofu hawajui chochote.
 
Ameandika hivi kupitia twitter:

Kwa Mateso na Maumivu haya niliyopitia Siwezi kusaliti chama Changu na Wananchi wa Serengeti walioniamini na Kunipa Heshima Kubwa Kama Msubhati wao.
Usiamini maneno ya mwanasiasa hata siku moja.

Ngoja apate uteuzi kama ule wa Katambi siku zile ndio utajua rangi yake!
 
Kupitia chama gani mkuu?
 
Ndoano ya Edo inawaumiza chandimu! Hawaezi kuacha hizo ruzuku, hapa wanamzuga tu lissu
 
Yule Husna anastahili ubunge kwa kweli!

Hapo Mbowe amemtendea haki kabisa kwa kumteua!
 
Tuwe na subira. Made anasema baraka za chama na wewe unasema msaliti. Nani mkweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…