Uchaguzi 2020 Catherine Ruge: Kwa mateso haya niliyoyapata, siwezi kusaliti chama changu na Wananchi wangu wa Serengeti walioniamini

Sijawahi kuwaamini hawa.....
Mdee alikuwa anakanusha mitandaoni mara paap namuona anaapa....
Nafikiri Hiyo kauli n baada ya jina lake kuliwa kichwa....
 
Watalindwa na kanuni za bunge za ndugai, hawafukuziki. Yaai mnyika peke yake ndio awafukuze?
Unajua kanuni za Bunge zinasemaje? Mbunge lazima awe mwakilishi wa Chama Cha siasa. Kina Mdee wakifukuzwa Chadema watakua wawakilishi wa Chama gani? Ndugai akiruhusu wabaki atakua amevunja kanuni za bunge lake kama alivofanya mwaka jana kwa kina Silinde na Cecil Mwambe.
 
Yule aliyedukuzwa wa chadema bunge lililopita mbona alipeta na kuhushuria bunge kama kawaida? Ili ufukuzaji utimie nyaraka zinatakiwa ziwasilishwe wapi? Na zikubaliwe?
Spika alisema anayo discretionary power...
 
Kama kuna siku mmeatembea uchi tena uchi wa mnyama huku mmeinama ni kuanzia jana mpaka sasa hivi.
Mkuu usije ukala malimao na chumvi tulia kama unanyolewa hii ndio Siasa bwana.
NJAA + VITI + TAMAA = VITIMAALUMU
Mtahangaika sana ila mwisho wa siku mtaishia kuumbuka.
 
Kauli ya mkosaji, nani anajua mambo ya msubhati! Wewe Catherine Ruge hukuwa kwenye orodha ya Wabunge 19 wa viti maalum.After all hakuna mtu anayewatetea watu bali kila mtu anapigania kula (shibe) yake.
Wewe unadhani maisha yalivyo magumu sasa hivi mtaani Halima Mdee, Ester Bulaya ,Ester Matiko na hao wengine watafanya nini na watakula nini!!?
Nawashanga manyumbu mengine midomo mikubwa inatoa mapovu eti Pipoooooooooz wakati wenzao wanatafuta maisha yao!
Maboya sana hawa ha ha ha ha!
 
Naamini hii issue imesukumwa na kina Mdee, Bulaya na Matiko, kama palikuwa na resistance yoyote ndani ya vikao vya chama hao watatu ndio walikuwa vinara wa kutaka waende bungeni.

Tatizo linalokuja hapa kwanini kuwe na kauli za kuchanganya, huku Mdee aseme bungeni anamshukuru Mbowe kuwaruhusu waende, na upande mwingine Mnyika aseme hawajapeleka majina?

Jibu la hayo maswali nalipata pale naposkia hao kina Bulaya, Mdee, na wenzao wamepewa ulinzi na TISS, na zaidi wanafikiriwa wapewe nafasi nyingine serikalini kama uwaziri au unaibu.

Hili linathibitisha bila shaka kwamba wamenunuliwa na CCM, kama ilivyokuwa kwa Dr. Slaa, wale wanawake narudia kusema tena ni WASALITI.

Zaidi ndio maana yule Nusrat Hanje ametolewa jela Singida juzi kwa amri ya DPP, halafu akapandishwa gari awawahi wasaliti wenzake Dodoma wakaapishwe.

Naamini next move ya Chadema kama chama kwenye hii issue ndio itaamua huu mchezo, mpira kwasasa umerudishwa upande wao, kazi kwao.

Anyway, kama ni ya kweli hiyo tweet, hongera kwa Catherine kwa kukataa kwake kuwa sehemu ya hiyo laana waliyojitafutia hao wenzake.
Viti maalumu viko kikatiba usaliti wao uko wapi, wanaume wabunge ndio walikuwa wasaliti na leo mnalaumu wanawake. CDM tumieni akili hili swala mnyika angekuwa amepeleka majina tangu mwanzo Mambo yangekuwa shwari, Ila kujiropokea mitandaoni sio solution na kulaumu mjue hapo mnashindana na Dolla lazima ku change mbinu
 
Naamini hii issue imesukumwa na kina Mdee, Bulaya na Matiko, kama palikuwa na resistance yoyote ndani ya vikao vya chama hao watatu ndio walikuwa vinara wa kutaka waende bungeni.

Tatizo linalokuja hapa kwanini kuwe na kauli za kuchanganya, huku Mdee aseme bungeni anamshukuru Mbowe kuwaruhusu waende, na upande mwingine Mnyika aseme hawajapeleka majina?

Jibu la hayo maswali nalipata pale naposkia hao kina Bulaya, Mdee, na wenzao wamepewa ulinzi na TISS, na zaidi wanafikiriwa wapewe nafasi nyingine serikalini kama uwaziri au unaibu.

Hili linathibitisha bila shaka kwamba wamenunuliwa na CCM, kama ilivyokuwa kwa Dr. Slaa, wale wanawake narudia kusema tena ni WASALITI.

Zaidi ndio maana yule Nusrat Hanje ametolewa jela Singida juzi kwa amri ya DPP, halafu akapandishwa gari awawahi wasaliti wenzake Dodoma wakaapishwe.

Naamini next move ya Chadema kama chama kwenye hii issue ndio itaamua huu mchezo, mpira kwasasa umerudishwa upande wao, kazi kwao.

Anyway, kama ni ya kweli hiyo tweet, hongera kwa Catherine kwa kukataa kwake kuwa sehemu ya hiyo laana waliyojitafutia hao wenzake.
Dr. Slaa hakununuliwa na ccm bali lowassa alinunua chadema mtaendelea kulishwa matango pori. Kinachowauma ni chadema kuzidi kushuka baada ya kumpoteza na yanayotokea ni laana yake kwa waliyomtendea.
 
Chadema inashuka huku mkilazimisha ushindi kwa kura za kwenye mabegi meusi.
 
Ameandika hivi kupitia twitter:

Kwa Mateso na Maumivu haya niliyopitia Siwezi kusaliti chama Changu na Wananchi wa Serengeti walioniamini na Kunipa Heshima Kubwa Kama Msubhati wao.
Ina maana huyu kapata mateso zaidi ya mdee? Hamna mwanamke wa chadema aliyeteseka kama mdee inapokuja suala la chadema, hamna!
 
bila shaka hata Mbowe hafai kuwa kinara wa mapambano. Ameishiwa mbinu. Watu hawa hatari habari zao zilishasikika kitambo. Alichukua hatua gani mpaka wanaaibisha na kukatisha tamaa namna hii. Walitakiwa wafukuzwe dakika ya 2 pili tu. Hivi wanajua ni jinsi gani watu watarudi nyuma kuwaunga mkono?Nani tena ata risk maisha yake kwa ajili yao?
Hata kukimbizana na polisi hata kubali. huo muda ni bora akimbizane na mkewe kitandani
 
Ina maana huyu kapata mateso zaidi ya mdee? Hamna mwanamke wa chadema aliyeteseka kama mdee inapokuja suala la chadema, hamna!
mdee kupata mateso zaidi ya Ruge ndio tiketi ya kusaliti na kutotii maamuzi ya chama?Hata kama Ruge angekuwa katukanwa tu na polisi
 
Tumevuka vikwazo vingi na hiki tutavuka tu.

Wasaliti wa jana wakifukuzwa, CHADEMA itapata heshima na CCM iliyosema wapinzani wanachelewesha maendeleo sio tu haitaeleweka, bali itadharaulika na kupuuzwa na wananchi kwa kuwapokea hao mamluki/wasaliti waliofukuzwa.

Ninahakika pia hatua ya jana itafanya Wahisani waone kuna upuuzi unaendelea na hivyo msitarajie watatoa fedha zao hata zile kamati za Bunge za fedha zitaongozwa na hawa wapinzani uchwara.

Hatua ya jana ya wabunge feki wa upinzani kuaapa na kuingia Bungeni imezidi kuiweka nchi yetu katika wakati mgumu zaidi mbele ya wahisani wanaoamini katika demokrasia ya vyama vingi.

Kila mwenye akili anajua huu ni mchezo machafu na matokeo yake Bunge na CCM vitazidi kupuuzwa na hasa iwapo viongozi wa CHADEMA watajitokeza hadharani kufafanua kilichotokea na zaidi kamati kuu ya CHADEMA ikiwafukza.

CCM imeshindwa ku-deliver na wanaona wamebakiwa na option moja tu ya kuvuruga na kuharibu upinzani ili waendelee kubaki madarakani jambo ambalo kamwe halitawasaidia

Upinzani ni matokeo ya CCM kushindwa ku-deliver na kwakuwa kila siku ni afadhali ya jana, CCM itaendelea tu kukataliwa na wananchi na wananchi wataendelea na kiua ya kutaka mabadiloko.Watafanikiwa CCM katika hizi hujuma zao ni sana sana kuchelewesha mabadiliko na kamwe si vinginevyo.

Pia,kuna uwezekano mkubwa wa wananchi kupuuza siasa na wanasiasa wa nchi hii bila kujali vyama wanavyotoka ila wakawa na imani na wanasiasa wachache sana wa upinzani wataosimama imara.

Wananchi watasahau na kupoona majeraha ya hizi siasa chafu, ila kamwe hawawezi pona majera na machungu yatokanayo na CCM kushindwa ku-deliver.

Mwisho, jambo hili limemuongezea Kigogo wafuasi na credit na sasa ana fursa nzuri zaidi kui-attack CCM na Magu mitandaoni na watu wengi zaidi wakamuamini.
Sasa jaman me ningeona mngefanya jambo bora ni kujifuta kabisa katika ulimwengu wa siasa

Coz chama chenu ni chama cha siasa ila hakuna siasa yoyote mnayofanya Sasa si bora mkawa sacos tu?
 
mdee kupata mateso zaidi ya Ruge ndio tiketi ya kusaliti na kutotii maamuzi ya chama?Hata kama Ruge angekuwa katukanwa tu na polisi
Suala la kusaliti ni mtazamo wako wewe. Mdee ni mbunge wa chadema kutokana na katiba na wala sio hisani. Na kasema ana baraka za mwenyekiti, ongeeni na viongozi wenu wawape ukweli
 
Wafukuzwe tu na mabeberu watatufahamu kuwa magombe yanazidi kugombeka.
 
Tumevuka vikwazo vingi na hiki tutavuka tu.

Wasaliti wa jana wakifukuzwa, CHADEMA itapata heshima na CCM iliyosema wapinzani wanachelewesha maendeleo sio tu haitaeleweka, bali itadharaulika na kupuuzwa na wananchi kwa kuwapokea hao mamluki/wasaliti waliofukuzwa.

Ninahakika pia hatua ya jana itafanya Wahisani waone kuna upuuzi unaendelea na hivyo msitarajie watatoa fedha zao hata zile kamati za Bunge za fedha zitaongozwa na hawa wapinzani uchwara.

Hatua ya jana ya wabunge feki wa upinzani kuaapa na kuingia Bungeni imezidi kuiweka nchi yetu katika wakati mgumu zaidi mbele ya wahisani wanaoamini katika demokrasia ya vyama vingi.

Kila mwenye akili anajua huu ni mchezo machafu na matokeo yake Bunge na CCM vitazidi kupuuzwa na hasa iwapo viongozi wa CHADEMA watajitokeza hadharani kufafanua kilichotokea na zaidi kamati kuu ya CHADEMA ikiwafukza.

CCM imeshindwa ku-deliver na wanaona wamebakiwa na option moja tu ya kuvuruga na kuharibu upinzani ili waendelee kubaki madarakani jambo ambalo kamwe halitawasaidia

Upinzani ni matokeo ya CCM kushindwa ku-deliver na kwakuwa kila siku ni afadhali ya jana, CCM itaendelea tu kukataliwa na wananchi na wananchi wataendelea na kiua ya kutaka mabadiloko.Watafanikiwa CCM katika hizi hujuma zao ni sana sana kuchelewesha mabadiliko na kamwe si vinginevyo.

Pia,kuna uwezekano mkubwa wa wananchi kupuuza siasa na wanasiasa wa nchi hii bila kujali vyama wanavyotoka ila wakawa na imani na wanasiasa wachache sana wa upinzani wataosimama imara.

Wananchi watasahau na kupoona majeraha ya hizi siasa chafu, ila kamwe hawawezi pona majera na machungu yatokanayo na CCM kushindwa ku-deliver.

Mwisho, jambo hili limemuongezea Kigogo wafuasi na credit na sasa ana fursa nzuri zaidi kui-attack CCM na Magu mitandaoni na watu wengi zaidi wakamuamini.

Wazungu wapi hao? Wazungu wanataka politics of compromises.
Wanachofanya Chadema ndio Christian Democratic Union ndivyo wanavyo taka.
 
Ameandika hivi kupitia twitter:

Kwa Mateso na Maumivu haya niliyopitia Siwezi kusaliti chama Changu na Wananchi wa Serengeti walioniamini na Kunipa Heshima Kubwa Kama Msubhati wao.
Chama gani? Hamna chama hapo. Nenda ufipa kama utakuta kuna ofisi..kila mtu kasambaratika utafikiri panya wamekurupushwa. 😂😂
 
Back
Top Bottom