Uchaguzi 2020 Catherine Ruge: Kwa mateso haya niliyoyapata, siwezi kusaliti chama changu na Wananchi wangu wa Serengeti walioniamini

Kuwaza tumbo muda wote hudumaza uwezo wa kufikiri, badilika.

Kiongozi wa kweli hatakiwi kuongozwa na tumbo, anatakiwa kutumia ubongo.
One important thing to know about politics before you stress yourself
"IN ANY POLITICAL EQUATION THERE IS ALWAYS SOMEONE BEING USED, IF YOU CAN'T FIND ONE THEN ITS YOU" By mbobezi mmoja wa siasa
 
One important thing to know about politics before you stress yourself
"IN ANY POLITICAL EQUATION THERE IS ALWAYS SOMEONE BEING USED, IF YOU CAN'T FIND ONE THEN ITS YOU" By mbobezi mmoja wa siasa
Kwako umeona bora kutumikishwa na tumbo, mimi natumikishwa na ubongo.
 
Ameandika hivi kupitia twitter:

Kwa Mateso na Maumivu haya niliyopitia Siwezi kusaliti chama Changu na Wananchi wa Serengeti walioniamini na Kunipa Heshima Kubwa Kama Msubhati wao.
Huyu mama awe Mwenyekiti wa BAWACHA haraka sana kuliko yule malaya wa kisiasa
 
Maskini unatia huruma huwezi ingia bungeni bila barua yenye sahihi ya mwenyekiti na katibu mkuu wa chama

Mbowe na Mnyika wamesaini ili wapate ruzuku wewe kaa hapo hapo na ujinga wako wenye chama wamesaini wewe mpiga yowe mitandaoni utajijua
Hao wameingizwa na Ndugai
 
Ameandika hivi kupitia twitter:

Kwa Mateso na Maumivu haya niliyopitia Siwezi kusaliti chama Changu na Wananchi wa Serengeti walioniamini na Kunipa Heshima Kubwa Kama Msubhati wao.
Maneno ya mkosaji.Tulia nafasi inakuja, fujo hazijengi, watu 19 si wajinga na wewe peke yako uwe smart.
 
Wananchi gani?? Sehemu kubwa ya watanzania walikuwa wameikataa chadema kwa vurugu zenu.Tuliwaonya mapema kuwa mtavua mabua.Hata hao 19 hawakupendezwa na siasa za Lissu za visasi na kigaidi
 
upuuzi mtupu unaandika insha ndeeeefuuu upuuzi sasa hapo mchezo mchafu kafanya nani bunge? au chadema wanachezeana mchezo mwenyekiti hamhusishi katibu anaamua kivyake
 
Ameandika hivi kupitia twitter:

Kwa Mateso na Maumivu haya niliyopitia Siwezi kusaliti chama Changu na Wananchi wa Serengeti walioniamini na Kunipa Heshima Kubwa Kama Msubhati wao.
Hayo maneno angeongea mdee aliyevunjwa mpaka mkono na kukaa jela ningemwelewa kwako wewe bado narudi kuleee njaa haina baunsa.
 
Mlisema hawaendi, Sasa wameenda. Mmeanza eti wafukuzwe na hawatafukuzwa Hadi 2025 mlete Tena mbwatukaji mwingine agombee urais mpate zero mseme mmeibiwa halafu muende bungeni viti maalum.
Nyumbu hovyo kabisa
Hujajibu swali, wakifukuzwa watakua wabunge wa Chama kipi? Acha bla bla
 
Mkuu ungejua mitaani hii kitu haia mashiko, nafikiri ni chadema nyie mmeumia ila raia wa kawaida wala hawana mpango na hii kitu
 
Kauli ya mkosaji, nani anajua mambo ya msubhati! Wewe Catherine Ruge hukuwa kwenye orodha ya Wabunge 19 wa viti maalum.After all hakuna mtu anayewatetea watu bali kila mtu anapigania kula (shibe) yake.
Wewe unadhani maisha yalivyo magumu sasa hivi mtaani Halima Mdee, Ester Bulaya ,Ester Matiko na hao wengine watafanya nini na watakula nini!!?
Nawashanga manyumbu mengine midomo mikubwa inatoa mapovu eti Pipoooooooooz wakati wenzao wanatafuta maisha yao!
 
Plate number za gari karibia zinaingia namba "E"..

We kaa ukipiga porojo hapa wakati sasahivi wanaume wanapambana kuunganisha wilaya zote kwa barabara za lami.. Umeme kila kijiji na vitoa vya afya vya kutosha..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…