Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hivi ni kweli akili zenu ziko likizo au huwa mnalazimishwa kuzipeleka likizo?Maisha yanaenda kasi sana
Nikiangalia yale 'Mafuriko' ya jana na leo kisutu nalinganisha na matukio kama haya 2015 naamini kweli Watanzania wamechoka kweli kweli
Hawana shida hao wataachiwa tu maana siyo magaidi gaidi lipo ndani lina subiri ukasaini makaratasi litokeHawa wamekamatwa leo Katika viunga vya Mahakama ya Kisutu walipofika kuhudhuria kesi ya Mwenyekiti wa Chama chao , aliyeshitakiwa kwa kesi za uongo ili kumkomoa kutokana na kupigania haki nchini Tanzania , ikiwemo Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi
View attachment 1882538
Hivi ni kweli akili zenu ziko likizo au huwa mnalazimishwa kuzipeleka likizo?
Na hawa hawa ndio leo wanadharau nguvu ya Dr Slaa.Maisha yanaenda kasi sana
Nikiangalia yale 'Mafuriko' ya jana na leo kisutu nalinganisha na matukio kama haya 2015 naamini kweli Watanzania wamechoka kweli kweli
Kisha hilo limama linajifunika mashuka kichwani eti ni liumin!Hawa wamekamatwa leo Katika viunga vya Mahakama ya Kisutu walipofika kuhudhuria kesi ya Mwenyekiti wa Chama chao , aliyeshitakiwa kwa kesi za uongo ili kumkomoa kutokana na kupigania haki nchini Tanzania , ikiwemo Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi
View attachment 1882538
Afadhari ya akili zilizoenda likizo,zikimaliza muda zitarudi,wewe ambae huna kabisa matokeo take ni kushabikia upumbavu,dhurma,unyang'anyi na ukandamizajiHivi ni kweli akili zenu ziko likizo au huwa mnalazimishwa kuzipeleka likizo?
Twende mbele Kama chama, tuitangaze police tz Kama adui no 1 wa Nchi, Dunia ijue na WANANCHI wajue Basi , Kama mbwai mbwai, wakati huo Mawakili watu wasomi washauri ni namna gani tunaweza kuwaburuza top ten leaders, wa police kwenye mahakama za juu zaidi ,KWa jinsi wanavyokiuka haki za binadamu ,Hawa wamekamatwa leo Katika viunga vya Mahakama ya Kisutu walipofika kuhudhuria kesi ya Mwenyekiti wa Chama chao , aliyeshitakiwa kwa kesi za uongo ili kumkomoa kutokana na kupigania haki nchini Tanzania , ikiwemo Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi
View attachment 1882538
pambalu hata kuonekana viwanja vya mahakama haji ni muoga huyo lakini kuchochea watu waende hajambo mwenzaokarudi tena lupangona zinaanza kurushwa wiki kwa wiki sasa kushtukia inakuwa mwezi kwa mwezi mwisho inakuwa kama wale wa uamsho na tuna msahauMie nazungumzia Mafuriko ya jana pale Kisutu 'Jiji zima lilisimama'
Kamanda wa Anga analala kwny sakafu ya baridi kwa zaid ya wiki wewe upo kwny Sofa unachezea simu tuu, kweli Bavicha siku hizi ni kama povu la gas ya Pepsi, Mkwala mwingi lakin inapoa fasta
The so called Gaidi yuko level ingine kabisa hawezi lala sakafuniMie nazungumzia Mafuriko ya jana pale Kisutu 'Jiji zima lilisimama'
Kamanda wa Anga analala kwny sakafu ya baridi kwa zaid ya wiki wewe upo kwny Sofa unachezea simu tuu, kweli Bavicha siku hizi ni kama povu la gas ya Pepsi, Mkwala mwingi lakin inapoa fasta
Kweli tupuTusiogope macho malegevu hayawezi kukesha siku nyingi.Kubwa tuna Mungu, watu na support yote jumuia za kimataifa, wao na mizimu,wachawi na majini.
Ingekuwa kukamatwa unaenda kunyongwa hapo watu wangeogopa,lakini wanakukamata unaenda kwa usafiri wao,unakula na kulala bure na mwisho unatoka na certificate ya ushujaa kuwa ulipigania mageuzi.Hawa wamekamatwa leo Katika viunga vya Mahakama ya Kisutu walipofika kuhudhuria kesi ya Mwenyekiti wa Chama chao , aliyeshitakiwa kwa kesi za uongo ili kumkomoa kutokana na kupigania haki nchini Tanzania, ikiwemo Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.