Catherine Ruge na Suzan Kiwanga nao wakamatwa na Jeshi la Polisi

Catherine Ruge na Suzan Kiwanga nao wakamatwa na Jeshi la Polisi

Hoja ipi ya kupambana na mafisadi? Unadhani kuna mtu ana ubavu wa kugombana na vyombo vya dola? Tuonyeshe humu lini Chadema wameshambulia kwa vitendo? Lini wamevamia vituo vya polisi? Lini wamewaweka ndani wawakilishi wa vyombo vya dola? Ugomvi huo unaozungumzia ni wa upande mmoja. Hao unaowataka watumie hoja ndio hao wanaoshinda mitandaoni kuelezea misimamo yao badala ya kubeba silaha kulazimisha watu wawaunge mkono. Na mbaya zaidi sasa hamtaki hata kuwapa nafasi ya kusimamama hadharani kuwaelezea wananchi kuhusu sera zao. Sio tu hadharani, hawaruhusiwi hata kukutana wenyewe kuzugumzia maswala yao.

Dr Slaa alivumiliwa na hakupitia nusu ya matatizo wanayopitia aliowaachia chama. Msimpe u martyr ambao sio wake.

Amandla...
Hatari sana polisi wa CCM
 
Hawa wamekamatwa leo Katika viunga vya Mahakama ya Kisutu walipofika kuhudhuria kesi ya Mwenyekiti wa Chama chao , aliyeshitakiwa kwa kesi za uongo ili kumkomoa kutokana na kupigania haki nchini Tanzania, ikiwemo Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.

kitu cha ajabu nilichokiona ni kwamba, badala ya kuwa wapole na kuomba maridhiano, wao wamekimbilia ubalozi wa marekani wanaamini hao ndio wanaweza kuwakomboa, kumbe hao ndio huwa wanawatuma. hii nchi ni ya kwenu, msiwe vibaraka wa watu wanaotamani sikku zote msiendelee kama wao. Mmarekani kaja na bado mnakamatwa, kumbe hii nchi haishurutishwi na marekani, hilo hamkulijua? manake mmarekani alipokuja juzi utafikiri walipewa maji ya baridii wakajua mkombozi wao kaja, hahaha. tafuteni suluhu na muache kudharau mamlaka, mmekuja kwa dharau sana kwa Samia na asingewaonyesha makali mngemsumbua sana. kuna makosa mengi mmeyafanya, naamini majalada mengi tu na walikuwa hawataki kuwashitaki, ila ukiona nyumba yako ya vioo usianzishe ugomvi wa kurushiana mawe. wewe ndio utaumia, labda uombe poo, hata ukikimbilia kwa jirani aje akusaidie kurusha mawe wewe nyumba yako ndio itapopolewa sio ile ya jirani. ushauri wa bure huu.
 
Hivi hawa porice kazi yao rasmi no IPI? Ifike kipindi hawa porice tuwatie adabu maana. hajasomea hivo wanavyo Fanya Leo na mim mtoto wangu siwezi kumpeleka porice akasome never
 
CCM washapanic... wanazidi kujichanganya.
Hawakutegemea mziki utakuwa hivi...dunia nzima inawashangaa.
 
Maisha yanaenda kasi sana

Nikiangalia yale 'Mafuriko' ya jana na leo kisutu nalinganisha na matukio kama haya 2015 naamini kweli Watanzania wamechoka kweli kweli
Huyu mama kwa matukio ya haya anaendelea kumpaisha Mbowe na Chadema kwa ujumla ccm inahangaika na kila mchadema hofu imewajaa.
 
Hawa wamekamatwa leo Katika viunga vya Mahakama ya Kisutu walipofika kuhudhuria kesi ya Mwenyekiti wa Chama chao , aliyeshitakiwa kwa kesi za uongo ili kumkomoa kutokana na kupigania haki nchini Tanzania, ikiwemo Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.

Kukamatwa na polisi ni CV kubwa huko chadomo, uharifu ni wito

USSR
 
Nakosa maneno mazuri ya kukuelezea ila...

Nakuhakikishia Chadema haikuwahi kua imara kama kipindi hicho mkuu...
Jaribu tuu Mkuu. Unaweza kuanza na ilikuwa na wabunge wangapi. Hoja walizoibua bungeni n.k.

Amandla...
 
The so called Gaidi yuko level ingine kabisa hawezi lala sakafuni
Mahabusu wote wako sawa gerezani kama walivyo sawa mbele ya sheria. Hakuna aliye juu ya sheria. Kama ni kulala sakafuni mkiwa mmesongamana ni wote. Hakuna grade one au vip kwenye mahabusu za magereza yetu.
 
Nakosa maneno mazuri ya kukuelezea ila...

Nakuhakikishia Chadema haikuwahi kua imara kama kipindi hicho mkuu...
Wadanganye wajinga , sasa Dr Slaa si yuko ccm , kwanini ccm inazidi kutegemea polisi ?

Haya_yote_ya_nini?_%0A%0A#MboweSioGaidi.jpg
 
Hawa wamekamatwa leo Katika viunga vya Mahakama ya Kisutu walipofika kuhudhuria kesi ya Mwenyekiti wa Chama chao , aliyeshitakiwa kwa kesi za uongo ili kumkomoa kutokana na kupigania haki nchini Tanzania, ikiwemo Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.

Hao akina mama watakaporudi nyumbani kwao talaka zinawasubiri mlangoni lazima.
 
Mwanae wa kumzaa akihojiwa na BBC anasema Baba yake analala sakafuni wakati ana matatizo ya Mgongo hivyo anahitaji Dawa zake atumie, Wewe Bavicha lia lia wa kwny Jf unabisha wakati hata kisutu umeiona kwa Milad ayo hukusogeza kwato zako

CCM ni kata mti panda Mti

Huwezi kuchoma eneo nyeti halafu uachwe kisa eti huwa unadai Katiba Mpya ulieisusia Bungeni baada ya kula ma Million
The so called Gaidi yuko level ingine kabisa hawezi lala sakafuni
 
Back
Top Bottom