Catherine Ruge na Suzan Kiwanga nao wakamatwa na Jeshi la Polisi

Catherine Ruge na Suzan Kiwanga nao wakamatwa na Jeshi la Polisi

Hawa wamekamatwa leo Katika viunga vya Mahakama ya Kisutu walipofika kuhudhuria kesi ya Mwenyekiti wa Chama chao , aliyeshitakiwa kwa kesi za uongo ili kumkomoa kutokana na kupigania haki nchini Tanzania, ikiwemo Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.

Maajabu hayaishi. Kuna biashara gani nzuri hivyo gerezani Ukonga? Hivi, akifungwa mmoja, kwa nini mfungwe wote watatu, si bora wabaki wawili nje watafute chakula cha watoto? Hawa kina Mama nadhani ni wake za watu, wana watoto wao, na wajukuu, kwa nini wawasikitishe wenza wao?

Kesi iko mikononi mwa serkali, imepangiwa tarehe, ushahidi utatolewa, mahakama itaamua, haraka ya nini? Na kama issue ni Tune Huru, kwani itazinduliwa wiki hii Kidutu au mwezi ujao Gereza la Ukonga? Si ni mambo ya bungeni, na inachukua muda? Mabango ya Kisutu ni ya nini?

Viongozi wa Dini, Mufti, Maaskofu, Wachungaji, wote, tuiombee Nji yetu kuna shetani anatamba sana sasa hivi hewani. Hasa KKKT Maaskofu wana jukumu zito kwa sababu CHADEMA officially ni chama chao tangu zamani, tunaomba mfunge novena shetani ashindwe.
 
unafahamu Mbowe alibangaiza ktk nchi hiii hiii na akafikia kumili biashara nyingi na akawa tajiri kiasi cha kujimudu, sasa makabwela wana jazwa upepo na mwishowe wanaishia selo na maisha yao ovyo.
japo Mbowe yupo gerezani lkn familia yake haiwezi kupata tabu kwa kuwa aliweka misingi, sasa wengine vip?
tusidanganyike ...tuendelee na maisha yetu kama kawa mkono uende kinywani.
tuwachie kina Kibatala waendelee na kazi yao ya kumtetea sisi tuendelee kutafuta riziki, tusipoteze muda tukazidi kuzitesa familia zetu.
 
Tusiogope macho malegevu hayawezi kukesha siku nyingi.Kubwa tuna Mungu, watu na support yote jumuia za kimataifa, wao na mizimu,wachawi na majini.
Jimama Mungu atalichukua atalinyanyua juu kwa juu
 
Hawa wamekamatwa leo Katika viunga vya Mahakama ya Kisutu walipofika kuhudhuria kesi ya Mwenyekiti wa Chama chao , aliyeshitakiwa kwa kesi za uongo ili kumkomoa kutokana na kupigania haki nchini Tanzania, ikiwemo Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.

Mkuu Erythrocites (Hemopoietic growth factors that increase production of RBC/WBC/Platelets, and where each one is produced in the body)
pInawezekan kile unachokishabikia kwa maneno ya kinyume nyume yakakurudia na ukakamatwa na wewe pia kwa namna mazingira ya utoaji wa taarifa zako uisivyosadifu uhalisia
 
Hoja ipi ya kupambana na mafisadi? Unadhani kuna mtu ana ubavu wa kugombana na vyombo vya dola? Tuonyeshe humu lini Chadema wameshambulia kwa vitendo? Lini wamevamia vituo vya polisi? Lini wamewaweka ndani wawakilishi wa vyombo vya dola? Ugomvi huo unaozungumzia ni wa upande mmoja. Hao unaowataka watumie hoja ndio hao wanaoshinda mitandaoni kuelezea misimamo yao badala ya kubeba silaha kulazimisha watu wawaunge mkono. Na mbaya zaidi sasa hamtaki hata kuwapa nafasi ya kusimamama hadharani kuwaelezea wananchi kuhusu sera zao. Sio tu hadharani, hawaruhusiwi hata kukutana wenyewe kuzugumzia maswala yao.

Dr Slaa alivumiliwa na hakupitia nusu ya matatizo wanayopitia aliowaachia chama. Msimpe u martyr ambao sio wake.

Amandla...
Alivunjwa mkono,kutishiwa maisha,kupigwa mabomu ya machozi,na mke wake kupoteza mimba,ilibidi afe kabisa au?
 
Alivunjwa mkono,kutishiwa maisha,kupigwa mabomu ya machozi,na mke wake kupoteza mimba,ilibidi afe kabisa au?
Ndio alipitia yote hayo, lakini hakuwa peke yake. Ninachosema ni kufanyiwa hivi vitendo sio sababu ya kumfanya shahidi ( martyr) ambae mnataka kutuaminisha. Hakuwa special ki hivyo, ndio maana chama chake kimeweza kujijenga zaidi baada ya yeye kujitoa.

Amandla...
 
Mie nazungumzia Mafuriko ya jana pale Kisutu 'Jiji zima lilisimama'

Kamanda wa Anga analala kwny sakafu ya baridi kwa zaid ya wiki wewe upo kwny Sofa unachezea simu tuu, kweli Bavicha siku hizi ni kama povu la gas ya Pepsi, Mkwala mwingi lakin inapoa fasta
Hahahaaaa hii inaitwa matusi ya kimkakati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom