Nikiwa dar leo mzee mmoja KWa asira nikasikia ANASEMA
Hawa Police , ni lazima kuwatafutia wakina OTANGO OSALE, watano kila Mkoa , watanyooka maana wanakaa mtaani, huku wanajidai na mabunduki yao, akaongeza hata Uhuru wa Tanganyika haukuja kiraisi, bali kila kundi KWa uwezo wake lilitumia NJIA walioweza, Mara mzee akaondoka zake
Mpaka mda huu najiuliza
OTANGO OSALE ni watu wa aina ipi? Sifa zao ni zipo? Je tz wakina OTANGO OSALE wapo ? Kama wapo wanapatikana wapi, na Kama hawapo mzee atawatafuta wapi?
Je wakina OTANGO OSALE ni watu wenye nguvu Sana Kwamba watano tu kila Mkoa watawakomesha police? Na je kwenye Uhuru walishiriki ? Kama walishiriki ,walitumia NJIA zipo?
Tafadhali mwenye majibu ya kina, maana huyu Mzee kaniacha na maswali , na sijui Kama nitakuja kutana nae tena,