Catherine Ruge na Suzan Kiwanga nao wakamatwa na Jeshi la Polisi

Catherine Ruge na Suzan Kiwanga nao wakamatwa na Jeshi la Polisi

jiongeze, wewe unaejifanya unatafuta haki uliwahi kuona watoto wa Mbowe anakamatwa au mke wake uliwahi kumuona amekamatwa?! au amelala mahabusu?

uliwahi kumuona mtoto wa Mbowe kashika bango? au uliwahi kumuona mke wa Myika, Mrema au Kibatala kashika bango anaandamana?!
jiongeze, tafuta maisha yako.
 
jiongeze, wewe unaejifanya unatafuta haki uliwahi kuona watoto wa Mbowe anakamatwa au mke wake uliwahi kumuona amekamatwa?! au amelala mahabusu?!
uliwahi kumuona mtoto wa Mbowe kashika bango? au uliwahi kumuona mke wa Myika, Mrema au Kibatala kashika bango anaandamana?!
jiongeze, tafuta maisha yako.
Na wewe umewahi kumuona mke au mtoto wa Nyerere kawekwa rumande au kupewa kesi ya uchochezi kama Nyerere wakati wa kupigania uhuru?

Kawawa?

Karume? N.k...

Be smart ata kama hauna akili na elimu.
 
jiongeze, wewe unaejifanya unatafuta haki uliwahi kuona watoto wa Mbowe anakamatwa au mke wake uliwahi kumuona amekamatwa?! au amelala mahabusu?!
uliwahi kumuona mtoto wa Mbowe kashika bango? au uliwahi kumuona mke wa Myika, Mrema au Kibatala kashika bango anaandamana?!
jiongeze, tafuta maisha yako.
una dalili zote za umasikini wa akili na pesa , pole sana , mpaji ni Mungu
 
Natangaza rasmi kulifuta hili mama! Linabaki kurembua utafikri limewekewa! Pambaff kabisa!
 
Hawa wamekamatwa leo Katika viunga vya Mahakama ya Kisutu walipofika kuhudhuria kesi ya Mwenyekiti wa Chama chao , aliyeshitakiwa kwa kesi za uongo ili kumkomoa kutokana na kupigania haki nchini Tanzania, ikiwemo Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.

Kunakaribia kucha. Katiba mpya naiona mbele yangu. Yanayotokea ni ishara kamili ya ujio wake. Hongera wapigania haki wote.
 
Maisha yanaenda kasi sana

Nikiangalia yale 'Mafuriko' ya jana na leo kisutu nalinganisha na matukio kama haya 2015 naamini kweli Watanzania wamechoka kweli kweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hawa wamekamatwa leo Katika viunga vya Mahakama ya Kisutu walipofika kuhudhuria kesi ya Mwenyekiti wa Chama chao , aliyeshitakiwa kwa kesi za uongo ili kumkomoa kutokana na kupigania haki nchini Tanzania, ikiwemo Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.

Wanawake tu ndo wanakamatwa! Kuna shida sana kwenye uongozi wa Chadema!
 
Na hawa hawa ndio leo wanadharau nguvu ya Dr Slaa.
Dr Slaa alitumia nguvu ya hoja .Hakugombana na vyombo vya dola Wala Nini .Ndie kinara na mwasisi wa hoja ya kupambana na mafisadi iliyokijengea heshima kubwa Chadema ikaweza kupata wafuasi wengi ikiwemo wa CCM

Hawa wa sasa hoja za kuvutia wananchi hawana Ni Shari tu
 
Hawa wamekamatwa leo Katika viunga vya Mahakama ya Kisutu walipofika kuhudhuria kesi ya Mwenyekiti wa Chama chao , aliyeshitakiwa kwa kesi za uongo ili kumkomoa kutokana na kupigania haki nchini Tanzania, ikiwemo Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.

Police wana maisha duni sana na wanatumikishwa km mbwa koko na ccm
 
wameyataka wenyewe.
mbona wake wa viongozi wa chadema hawajakamatwa?!
 
Hawa wamekamatwa leo Katika viunga vya Mahakama ya Kisutu walipofika kuhudhuria kesi ya Mwenyekiti wa Chama chao , aliyeshitakiwa kwa kesi za uongo ili kumkomoa kutokana na kupigania haki nchini Tanzania, ikiwemo Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi...
CCM wameamua kutawala kijeshi. Tuendako I think very soon Samia atapachikwa cheo cha Field Marshall (kama Idi Amin) na ataanza kupiga magwanda ya mabakamabaka.

CCM washagundua hawakubaliki tena - so wameamua liwalo na liwe!

Tusipoangalia nchi hii itakuwa ni mahali pabaya kuliko hata DRC. Machozi yananilengalenga kwa ajili ya watoto wangu..

Eee Mungu Baba wa mbinguni, sikia kilio chetu Watanzania. Tunaomba intervention yako kama ile uliyoifanya tarehe 17 March 2021. Amen.
 
Dr Slaa alitumia nguvu ya hoja .Hakugombana na vyombo vya dola Wala Nini .Ndie kinara na mwasisi wa hoja ya kupambana na mafisadi iliyokijengea heshima kubwa Chadema ikaweza kupata wafuasi wengi ikiwemo wa CCM

Hawa wa sasa hoja za kuvutia wananchi hawana Ni Shari tu
Hoja ipi ya kupambana na mafisadi? Unadhani kuna mtu ana ubavu wa kugombana na vyombo vya dola? Tuonyeshe humu lini Chadema wameshambulia kwa vitendo? Lini wamevamia vituo vya polisi? Lini wamewaweka ndani wawakilishi wa vyombo vya dola? Ugomvi huo unaozungumzia ni wa upande mmoja. Hao unaowataka watumie hoja ndio hao wanaoshinda mitandaoni kuelezea misimamo yao badala ya kubeba silaha kulazimisha watu wawaunge mkono. Na mbaya zaidi sasa hamtaki hata kuwapa nafasi ya kusimamama hadharani kuwaelezea wananchi kuhusu sera zao. Sio tu hadharani, hawaruhusiwi hata kukutana wenyewe kuzugumzia maswala yao.

Dr Slaa alivumiliwa na hakupitia nusu ya matatizo wanayopitia aliowaachia chama. Msimpe u martyr ambao sio wake.

Amandla...
 
Back
Top Bottom