PreGE2025 Catherine Ruge: Nimeenguliwa kwa SMS bila kujulishwa makosa yangu ambapo ni kinyume na Katiba ya CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Catherine Ruge pia ameeleza kuwa ameenguliwa bila kupewa taarifa rasmi, akikiri kupata taarifa za kuenguliwa kwake kupitia ujumbe mfupi wa simu (sms)na Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika, bila ya kuelezwa makosa yake na sababu za kuenguliwa kwake ambapo pia ni kinyume na Katiba ya nchi ibara ya 13 (6)(a) ambayo imeweka misingi ya kusikilizwa.

Soma Pia: Tundu Lissu atengua uteuzi wa CPA Catherine Ruge

"Nimeshtushwa na uamuzi wa Mwenyekiti wa Chama Taifa ambaye pia ni Mwanasheria nguli kukiuka misingi ya Katiba ya Chama chetu na misingi ya haki za binadamu hasa haki ya kusikilizwa.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kanuni ya Chama toleo la mwaka 2019 kanuni ya 6.5 imeweka pia utaratibu wa kumchukulia hatua mwanachama na Kiongozi yeyote ndani ya chama, mathalani kanuni inaweka utaratibu wazi wa kufuatwa wakati wa kuchukua hatua za kinidhamu, mojawapo ni kuandikiwa mashtaka yako na kupewa nafasi ya kusikilizwa." Amesema Catherine Ruge.

Screenshot 2025-04-05 224754.png
 
Digital sms ya Katibu Mkuu ni taarifa rasmi ya Chama. Catherine Ruge hafai. Amesaini waraka wa kina Mrema wenye kupinga maamuzi halali ya chama. Aliteuliwa. Ametenguliwa.

John Mrema amemlaghai akakubali ujinga. Asilie. Amevuna alichopanda. Amedanganyika. Katiba na Kanuni za Chadema zimefuatwa kikamilifu.

Kanuni ya 6.5 kwenye Kanuni za Chadema toleo la mwaka 2019 haiongelei hatua za kinidhamu kwa viongozi walioko kwenye nafasi za uteuzi.

Pia ibara ya 13 (6)(a) ya Katiba ya nchi inaongelea haki ya kusikilizwa pale ambapo kuna mahusiano ya watu yenye msingi wake katika kanuni ya "mutuality of obligation", na sio vinginevyo.

Ruge atulie auguze maumivu. Kubwa, amefuta legacy yake yote kama kamanda mpambanaji. Finito.
 
CDM wanafanya zile drama zilizokuwa zinafanywa na CCM, za kujifanya wanavurugana na mwisho wa siku wanarudi kuwa kitu kimoja... Kitu ambacho pengine CDM wamesahau, ni kwamba hawana ukomavu wa drama kama CCM.. Ngoja tuone mwisho wake
 
Catherine Ruge pia ameeleza kuwa ameenguliwa bila kupewa taarifa rasmi, akikiri kupata taarifa za kuenguliwa kwake kupitia ujumbe mfupi wa simu (sms)na Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika, bila ya kuelezwa makosa yake na sababu za kuenguliwa kwake ambapo pia ni kinyume na Katiba ya nchi ibara ya 13 (6)(a) ambayo imeweka misingi ya kusikilizwa.

"Nimeshtushwa na uamuzi wa Mwenyekiti wa Chama Taifa ambaye pia ni Mwanasheria nguli kukiuka misingi ya Katiba ya Chama chetu na misingi ya haki za binadamu hasa haki ya kusikilizwa.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kanuni ya Chama toleo la mwaka 2019 kanuni ya 6.5 imeweka pia utaratibu wa kumchukulia hatua mwanachama na Kiongozi yeyote ndani ya chama, mathalani kanuni inaweka utaratibu wazi wa kufuatwa wakati wa kuchukua hatua za kinidhamu, mojawapo ni kuandikiwa mashtaka yako na kupewa nafasi ya kusikilizwa." Amesema Catherine Ruge.

View attachment 3294486
Duuh kuteuliwa hakutaka maelezo, kutenguliwa anataka maelezo.

Sasa akishafukuzwa uanachama itakuaje??
 
Huyu mama alionesha kufurahia sana sakata la akina Halima Mdee kipindi kile kwakua aliamini atabaki na nafasi kubwa ndani ya chama, naona mambo yanaanza kwenda ndivyo sivyo.

Tusishangae baada ya bunge kuvunjwa wenzake wakaja kuomba msamaha na wakapewa nafasi za kugombea yeye akakosa kwasababu ameshaanza kuonesha utovu wa nidhamu kwa Mwenyekiti.
 
Catherine Ruge pia ameeleza kuwa ameenguliwa bila kupewa taarifa rasmi, akikiri kupata taarifa za kuenguliwa kwake kupitia ujumbe mfupi wa simu (sms)na Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika, bila ya kuelezwa makosa yake na sababu za kuenguliwa kwake ambapo pia ni kinyume na Katiba ya nchi ibara ya 13 (6)(a) ambayo imeweka misingi ya kusikilizwa.

Soma Pia: Tundu Lissu atengua uteuzi wa CPA Catherine Ruge

"Nimeshtushwa na uamuzi wa Mwenyekiti wa Chama Taifa ambaye pia ni Mwanasheria nguli kukiuka misingi ya Katiba ya Chama chetu na misingi ya haki za binadamu hasa haki ya kusikilizwa.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kanuni ya Chama toleo la mwaka 2019 kanuni ya 6.5 imeweka pia utaratibu wa kumchukulia hatua mwanachama na Kiongozi yeyote ndani ya chama, mathalani kanuni inaweka utaratibu wazi wa kufuatwa wakati wa kuchukua hatua za kinidhamu, mojawapo ni kuandikiwa mashtaka yako na kupewa nafasi ya kusikilizwa." Amesema Catherine Ruge.

View attachment 3294486
Kumbe ni mpumbavu hivyo! Mamlaka iliyomteua ndiyo yenye mamlaka ya kumtengua, hivyo atafute alikopeleka mboga!
 
Catherine Ruge amesaini waraka wa kina Mrema wenye kupinga maamuzi halali ya chama. Aliteuliwa. Ametenguliwa. Mrema amemlaghai akakubali ujinga. Asilie lie. Amevuna alichopanda. Amedanganyika kizembe. Katiba ya Chadema imefuatwa kikamilifu. Atulie auguze maumivu. Kubwa amefuta legacy yake yote kama kamanda mpambanaji. Finito
Anasema kada wa CCM.

Amandla...
 
Do they serve at the pleasure of the Chairman or the appointing authority?

Does the appointing authority have the authority to rescind, nullify or otherwise change the person who holds that position with or without explanation?

What does the CHADEMA constitution and other guiding documents say?

Kuna teuzi na tenguzi nyingine mamlaka ya uteuzi inaruhusiwa kutengua hata bila kutoa sababu. Mfano, rais anaruhusiwa kupanga safu ya mawaziri upya bila kutoa sababu kafanya hivyo kwa nini. Na mara nyingine tunaambiwa kumuondoa waziri maana yake si kwamba waziri kafanya vibaya.

Sasa mamlaka ya uteuzi CHADEMA ina muongozo gani kuhusu hii nafasi ya Catherine Ruge?

Ni nafasi ambayo mtu anaweza kuteuliwa na kutenguliwa bila mamlaka ya uteuzi kutoa sababu na kutumia vikao vya kinidhamu kwanza?

Au ni nafasi ambayo ukiteuliwa kutenguliwa ni lazima upewe onyo, ufanyiwe vikao, etc?
 
Wajumbe wa sekretarieti wanateuliwa. Hawachaguliwi. Hawaajiriwi. There is no mutuality of obligation on either side. Unaweza fika ofisini asubuhi ukaambiwa ama kazi haipo au ukasema sitaki kazi tena. Unaendelea na maisha yako kama mwanachama wa kawaida. Hivyo ndivyo Katiba na Kanuni za Chadema zinasema. Ruge anatapatapa. Full stop.

The Chadema Constitution (2016) and its regulations as picked from the political parties registrar's website are below attached. Nowhere does Ruge get support of her irresponsible claims.

Kanuni ya 6.5 kwenye Kanuni za Chadema toleo la mwaka 2019 haiongelei hatua za kinidhamu kwa viongozi walioko kwenye nafasi za uteuzi.

Pia ibara ya 13 (6)(a) ya Katiba ya nchi inaongelea haki ya kusikilizwa pale ambapo kuna mahusiano ya watu yenye msingi wake katika kanuni ya "mutuality of obligation", na sio vinginevyo.
 
Attachments

Do they serve at the pleasure of the Chairman or the appointing authority?

Does the appointing authority have the authority to rescind, nullify or otherwise change the person who holds that position with or without explanation?

What does the CHADEMA constitution and other guiding documents say?

Kuna teuzi na tenguzi nyingine mamlaka ya uteuzi inaruhusiwa kutengua hata bila kutoa sababu. Mfano, rais anaruhusiwa kupanga safu ya mawaziri upya bila kutoa sababu kafanya hivyo kwa nini. Na mara nyingine tunaambiwa kumuondoa waziri maana yake si kwamba waziri kafanya vibaya.

Sasa mamlaka ya uteuzi CHADEMA ina muongozo gani kuhusu hii nafasi ya Catherine Ruge?

Ni nafasi ambayo mtu anaweza kuteuliwa na kutenguliwa bila mamlaka ya uteuzi kutoa sababu na kutumia vikao vya kinidhamu kwanza?

Au ni nafasi ambayo ukiteuliwa kutenguliwa ni lazima upewe onyo, ufanyiwe vikao, etc?
Siijui vzr katiba ya cdm ila ninachojua ni kuwa uongozi huu wa sasa hauwezi kukurupuka kiasi cha kukosea katiba kwa kumtengua muhusika. Ngoja mziki uendelee swali lako litajibika.
 
Wacha yauane haya magaidi na maupinde

Ruge leo sio kamanda tena😂😂😂🤣

Bavicha cream inakwenda ukingoni

Yaan mnawategemea Hilda ndio waje wawe vibrant kama akina Cathe? Suzan, Grace , Halima, Bulaya , Matiko haha

Bavicha jeuri haswa imezikwa rasmi

Wing muhimu sana ilikua kwa Cdm ila wanasanyasi wa siasa wameiua kwa akili bila Chadema kuelewa.

Wing muhimu kwa Ccm ni Uwt na ulindwa kwa gharama zote
 
Drama drama,haki ya kusikilizwa kwa katiba ya Chadema je inaishia hapo au kuna mambo ya ziada?
 
Sahizi ,anashangaa eti mwanasheria nguli

Harafu wamesahsu katiba imeandikwa na lisu mwenyewe , pia anashangaa kupewa taarifa Kwa sms ,wakati katiba Yao inakitu kinaitwa tehama ,ukipewa taatifa kwanjia ya sms au wasap au vyovyote ni taarifa sahihi
 
Duuh kuteuliwa hakutaka maelezo, kutenguliwa anataka maelezo.

Sasa akishafukuzwa uanachama itakuaje??
Akishafukuzwa uanachama awahi pale CCM nafasi hazikosekanagi km vilee Simba akiachia mchezajii hawezi kosa namba yanga mkuu😄😄😄 CCM wanapokea mpk marehemu ,sembuse da cathe😄
 
Siijui vzr katiba ya cdm ila ninachojua ni kuwa uongozi huu wa sasa hauwezi kukurupuka kiasi cha kukosea katiba kwa kumtengua muhusika. Ngoja mziki uendelee swali lako litajibika.
demu wangu sikia,Kuna viongozi wa kuchaguliwa na kuteuliwa ,

katiba ya chadema ,imeandikwa na mkono wa lisu hivyo sidhani kama kakosea
 
Digital sms ya Katibu Mkuu ni taarifa rasmi. Catherine Ruge hafai. Amesaini waraka wa kina Mrema wenye kupinga maamuzi halali ya chama. Aliteuliwa. Ametenguliwa. Mrema amemlaghai akakubali ujinga. Asilie lie. Amevuna alichopanda. Amedanganyika kizembe. Katiba ya Chadema imefuatwa kikamilifu. Atulie auguze maumivu. Kubwa amefuta legacy yake yote kama kamanda mpambanaji. Finito

..mimi namshangaa sana Dada Catherine.

..kwanini anataka kuendelea kutumikia ktk sekretariat ya chama wakati anapinga " No Reforms No Election " ?
 
Catherine Ruge pia ameeleza kuwa ameenguliwa bila kupewa taarifa rasmi, akikiri kupata taarifa za kuenguliwa kwake kupitia ujumbe mfupi wa simu (sms)na Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika, bila ya kuelezwa makosa yake na sababu za kuenguliwa kwake ambapo pia ni kinyume na Katiba ya nchi ibara ya 13 (6)(a) ambayo imeweka misingi ya kusikilizwa.

Soma Pia: Tundu Lissu atengua uteuzi wa CPA Catherine Ruge

"Nimeshtushwa na uamuzi wa Mwenyekiti wa Chama Taifa ambaye pia ni Mwanasheria nguli kukiuka misingi ya Katiba ya Chama chetu na misingi ya haki za binadamu hasa haki ya kusikilizwa.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kanuni ya Chama toleo la mwaka 2019 kanuni ya 6.5 imeweka pia utaratibu wa kumchukulia hatua mwanachama na Kiongozi yeyote ndani ya chama, mathalani kanuni inaweka utaratibu wazi wa kufuatwa wakati wa kuchukua hatua za kinidhamu, mojawapo ni kuandikiwa mashtaka yako na kupewa nafasi ya kusikilizwa." Amesema Catherine Ruge.

View attachment 3294486
Pagala limetiwa kiberiti....Mende, panya, panzi na nyoka zitakimbia tu
 
Wajumbe wa sekretarieti wanateuliwa. Hawachaguliwi. Hawaajiriwi. There is no mutuality of obligation on either side. Unaweza fika ofisini asubuhi ukaambiwa ama kazi haipo au ukasema sitaki kazi tena. Full stop. Hivyo ndivyo Katiba na Kanuni za Chadema zinasema. Ruge anatapatapa.

The Chadema Constitution (2016) and its regulations as picked from the political parties registrar's website is below attached. Nowhere does Ruge get support of her irresponsible claims.
Amepaniki alijua kafukuzwa uanachama. Waliomtuma wana kazi ya kumtuliza kwa sasa
 
Back
Top Bottom