Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 6,363
- 5,354
chunga kauli zako, zikuchunge. dogodemu wangu sikia,Kuna viongozi wa kuchaguliwa na kuteuliwa ,
katiba ya chadema ,imeandikwa na mkono wa lisu hivyo sidhani kama kakosea
chunga kauli zako, zikuchunge. dogodemu wangu sikia,Kuna viongozi wa kuchaguliwa na kuteuliwa ,
katiba ya chadema ,imeandikwa na mkono wa lisu hivyo sidhani kama kakosea
Hii ndio blind inayotengenezwa na mahabaDigital sms ya Katibu Mkuu ni taarifa rasmi. Catherine Ruge hafai. Amesaini waraka wa kina Mrema wenye kupinga maamuzi halali ya chama. Aliteuliwa. Ametenguliwa. Mrema amemlaghai akakubali ujinga. Asilie lie. Amevuna alichopanda. Amedanganyika kizembe. Katiba ya Chadema imefuatwa kikamilifu. Atulie auguze maumivu. Kubwa amefuta legacy yake yote kama kamanda mpambanaji. Finito
Usichojua siasa ni sayansi sababu inahusisha tabia za binadamu.CDM wanafanya zile drama zilizokuwa zinafanywa na CCM, za kujifanya wanavurugana na mwisho wa siku wanarudi kuwa kitu kimoja... Kitu ambacho pengine CDM wamesahau, ni kwamba hawana ukomavu wa drama kama CCM.. Ngoja tuone mwisho wake
Asante kwa kunijulisha unachojuaUsichojua siasa ni sayansi sababu inahusisha tabia za binadamu.
Sio drama kama unavyo fikiria.
Wewe sasa inakuhusu nini?.CDM wanafanya zile drama zilizokuwa zinafanywa na CCM, za kujifanya wanavurugana na mwisho wa siku wanarudi kuwa kitu kimoja... Kitu ambacho pengine CDM wamesahau, ni kwamba hawana ukomavu wa drama kama CCM.. Ngoja tuone mwisho wake
Umoja wa Walimu Tanzania
Haki ya kusikilizwa mbona haipo?Digital sms ya Katibu Mkuu ni taarifa rasmi. Catherine Ruge hafai. Amesaini waraka wa kina Mrema wenye kupinga maamuzi halali ya chama. Aliteuliwa. Ametenguliwa. Mrema amemlaghai akakubali ujinga. Asilie lie. Amevuna alichopanda. Amedanganyika kizembe. Katiba ya Chadema imefuatwa kikamilifu. Atulie auguze maumivu. Kubwa amefuta legacy yake yote kama kamanda mpambanaji. Finito
Kwani wewe hiyo comment ina kuhusu nini hadi ukareply?Wewe sasa inakuhusu nini?.
Kwa hiyo uteuzi wake ulifanywa kwa sms ya simu?Vyeo vya kuteuliwa viko hivyo, anayekupa anaweza kukunyang'anya wakati wowote, sasa wanaohji nini?
Na kuvuliwa cheo siyo lazima uwe umefanya kosa
Hapa ndiyo utagundua Tanzania na Afrika siasa ni biashara na tuna wanasiasa wajinga sana. Kwenye uongozi always Huwa Kuna collective responsibility. CDM kwa vikao halali vya chama imeshasema no reform no election...mimi namshangaa sana Dada Catherine.
..kwanini anataka kuendelea kutumikia ktk sekretariat ya chama wakati anapinga " No Reforms No Election " ?
Cdm ni chama cha siasa, wakati ccm ni kikundi cha dola kilichojivika koti la chama cha siasa. Mifano yako ibaki kwenye vyama vya siasa na sio taasisi za kijeshi.Wacha yauane haya magaidi na maupinde
Ruge leo sio kamanda tena😂😂😂🤣
Bavicha cream inakwenda ukingoni
Yaan mnawategemea Hilda ndio waje wawe vibrant kama akina Cathe? Suzan, Grace , Halima, Bulaya , Matiko haha
Bavicha jeuri haswa imezikwa rasmi
Wing muhimu sana ilikua kwa Cdm ila wanasanyasi wa siasa wameiua kwa akili bila Chadema kuelewa.
Wing muhimu kwa Ccm ni Uwt na ulindwa kwa gharama zote
Ndio hapo Sasa ☺️Duuh kuteuliwa hakutaka maelezo, kutenguliwa anataka maelezo.
Sasa akishafukuzwa uanachama itakuaje??
Iwe kwa SMS au Barua Ila habari ndiyo hiyo bibieCatherine Ruge pia ameeleza kuwa ameenguliwa bila kupewa taarifa rasmi, akikiri kupata taarifa za kuenguliwa kwake kupitia ujumbe mfupi wa simu (sms)na Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika, bila ya kuelezwa makosa yake na sababu za kuenguliwa kwake ambapo pia ni kinyume na Katiba ya nchi ibara ya 13 (6)(a) ambayo imeweka misingi ya kusikilizwa.
Soma Pia: Tundu Lissu atengua uteuzi wa CPA Catherine Ruge
"Nimeshtushwa na uamuzi wa Mwenyekiti wa Chama Taifa ambaye pia ni Mwanasheria nguli kukiuka misingi ya Katiba ya Chama chetu na misingi ya haki za binadamu hasa haki ya kusikilizwa.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kanuni ya Chama toleo la mwaka 2019 kanuni ya 6.5 imeweka pia utaratibu wa kumchukulia hatua mwanachama na Kiongozi yeyote ndani ya chama, mathalani kanuni inaweka utaratibu wazi wa kufuatwa wakati wa kuchukua hatua za kinidhamu, mojawapo ni kuandikiwa mashtaka yako na kupewa nafasi ya kusikilizwa." Amesema Catherine Ruge.
View attachment 3294486