Rula ya Mafisadi
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 404
- 852
View: https://youtu.be/u5W0p435GHQ?si=mYGJkq3wwCv0b3lZ
====
Katibu Mkuu wa BAWACHA Taifa anayemaliza muda wake Mhe CPA Catherine Ruge ametangaza kutetea kiti chake kwa kipindi cha pili cha miaka mitano baada ya kujenga BAWACHA ya kisasa nadhani hili sote tutakubaliana nae naomba kwa unyenyekevu achaguliwe tena kwani huyu Msubati anasifa zote.
Pamoja na hayo kizuri zaidi Mhe CPA Catherine Ruge anamuunga mkono Mwenyekiti mpya Mhe Tundu Lissu hivyo wafuasi wote wa Mhe Tundu Lissu mchagueni Mhe CPA Catherine Ruge kuwa Katibu wenu tena BAWACHA Taifa.