Mbangaizaji wa Taifa
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 493
- 844
How?Atapigwa kama ngoma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
How?Atapigwa kama ngoma
Mbowe hana chake tena CHADEMAHapo tayari ametangaza uandui na Mbowe
View attachment 3198500
View: https://youtu.be/u5W0p435GHQ?si=mYGJkq3wwCv0b3lZ
====
Katibu Mkuu wa BAWACHA Taifa anayemaliza muda wake Mhe CPA Catherine Ruge ametangaza kutetea kiti chake kwa kipindi cha pili cha miaka mitano baada ya kujenga BAWACHA ya kisasa nadhani hili sote tutakubaliana nae naomba kwa unyenyekevu achaguliwe tena kwani huyu Msubati anasifa zote.
Pamoja na hayo kizuri zaidi Mhe CPA Catherine Ruge anamuunga mkono Mwenyekiti mpya Mhe Tundu Lissu hivyo wafuasi wote wa Mhe Tundu Lissu mchagueni Mhe CPA Catherine Ruge kuwa Katibu wenu tena BAWACHA Taifa.
Hataki kutoka sasaMbowe hana chake tena CHADEMA