Catherine Ruge: Tumejenga BAWACHA ya kisasa Tanzania nzima hakuna Wajumbe naomba mnichague tena ili nishirikiane na Tundu Lissu kuipaisha CHADEMA

View attachment 3198500

View: https://youtu.be/u5W0p435GHQ?si=mYGJkq3wwCv0b3lZ
====
Katibu Mkuu wa BAWACHA Taifa anayemaliza muda wake Mhe CPA Catherine Ruge ametangaza kutetea kiti chake kwa kipindi cha pili cha miaka mitano baada ya kujenga BAWACHA ya kisasa nadhani hili sote tutakubaliana nae naomba kwa unyenyekevu achaguliwe tena kwani huyu Msubati anasifa zote.

Pamoja na hayo kizuri zaidi Mhe CPA Catherine Ruge anamuunga mkono Mwenyekiti mpya Mhe Tundu Lissu hivyo wafuasi wote wa Mhe Tundu Lissu mchagueni Mhe CPA Catherine Ruge kuwa Katibu wenu tena BAWACHA Taifa.

Ruge anafaa sana huyu Mama,
 
Kumbe alikuwa ni Team Lissu? Lakini Bawacha wamefanya vyema kutomtupa.

Amandla...
 
Back
Top Bottom