Rula ya Mafisadi
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 404
- 852
Team ya Ushindi ni ya Lissu hao wengine washiriki tuKajiweka wazi kuwa ni timu lissu, haoni kuwa timu mbowe watamfutilia mbali aukose huo ukatibu, maana timu mbowe ndio wenye chama na hela wanazo!
Kama Covid 19 ndo wanathaminiwa na Mbowe na kuwaacha hawa akina cathe walipambana ni bora achukiwe tu na Mbowe ila asimamie ukweliHapo tayari ametangaza uandui na Mbowe
hapo umenena ukweli, mbowe analijua hili au anashupaza shingo tu hataki kuachia mzigo?Team ya Ushindi ni ya Lissu hao wengine washiriki tu
Aligoma kwenda na anamjua Mbowe vizuriYeye hakuwa miongoni mwa COVID 19?
Uchaguzi ni uadui hata hivyoHapo tayari ametangaza uandui na Mbowe
Mbowe awe na aibuUchaguzi ni uadui hata hivyo
Mbowe ameonyesha ana tamaa snKama Covid 19 ndo wanathaminiwa na Mbowe na kuwaacha hawa akina cathe walipambana ni bora achukiwe tu na Mbowe ila asimamie ukweli
Mbowe hana sumu tenaHapo tayari ametangaza uandui na Mbowe
Jamaa hafai kabisaMbowe ameonyesha ana tamaa sn
Wajumbe ambao ni wapiga kura wao wanasemaje?Jamaa hafai kabisa
Mbowe asome alama za nyakati.Hapo tayari ametangaza uandui na Mbowe