Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Offourse YES.Vipi keshaanza kuukalia??????
Vipi keshaanza kuukalia??????
Huyu huwa ni nani?
Baba yake na Kendall Jenner if sjakosea ni ndugu WA Kim huyu Kendall huyu Caitlyn alikua akiitwa Bruce Jenner na akaamua kujibadili kuwa mdada ndo akawa hivo
Heeee hilo hapo ni dume?????
Ndo huyu alikua baba wa kambo wa kina Kim Kardashian?
Young Thug ndio alikuwa anafikiria kumtokea,sijui kesharusha ndoano?
Ni GENTAMYCINE dada Eve!
Ni GENTAMYCINE dada Eve!