Catylin Jenner atajutia kumkufuru Mungu

Catylin Jenner atajutia kumkufuru Mungu

KAFA.cOm

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2013
Posts
1,301
Reaction score
739
Habari zenu wakuu katika pitapita zangu kwenye instagram nimekumbana na hii picha ya mzee bruce jenner kwa jinsi alivuoharibika hii miguu ayse anajutia sasa
52829680d33f11d24c978cc953bf439e.jpg
 
Haukalii ata amekua lesbian an a date na mwanamke mwenzie asa sijui y ajibadilishe afu awe na mwanamke
 
Baba yake na Kendall Jenner if sjakosea ni ndugu WA Kim huyu Kendall huyu Caitlyn alikua akiitwa Bruce Jenner na akaamua kujibadili kuwa mdada ndo akawa hivo

Heeee hilo hapo ni dume?????
Ndo huyu alikua baba wa kambo wa kina Kim Kardashian?
 
Back
Top Bottom