CBE: PPP kujenga mabweni yatakayochukua wanafunzi Elfu 12

Huyu anapambana sana ila mfumo unamwonaje?
 
Hili jambo dogo sana, nadhani hii taasisi haijui hata malengo yake, kuna siku mtu akije ga jilko la shule ya bweni, watakuja mbele kuita ni PPP
Mabweni ya watu elfu 12 unasema ni madogo?
 
Wewe siyo mgeni kwangu. Ninakufahamu vizuri sana tangu enzi za magufuli.
Sasa unapo kuja hapa na andiko la kipuuzi kama hili sioni ajabu yoyote toka kwako.

Hiyo PPP ni ngeni kwako. Ni wazi hujui chochote juu yake, au ndio kwanza unaanza kujifunza eneo hilo. Kafulila kagundua kitu gani kipya huko unachotaka asifiwe juu yake; na ni wapi nilipo mvunja moyo.
Nimeandika chochote kinachoonyesha kuwa PPP ni mbaya mara zote? Nimekujibu hivyo, kwa sababu ulicho andika hapo ni wazi hujui PPP inaweza kuwa na madudu gani ndani yake, kama ilivyo kwa mipango mingine yoyote. Wewe kwa kutojua chochote unarukia tu kusifu kitu usicho kuwa na uelewa nacho wa kutosha. Hizi elimu nusu nusu mnazopata miaka hii ni janga kubwa sana kwa taifa hili. Umesema 2018 unahitimu, inawezekana wewe ni zao la shule za kata.
 
Unajua kidogo nimeanza kumwelewa huyu Kafulila,

Kama tutajenga Hosteli kwaajili ya CBE kwanini pia PPP wasijenge kwaajili ya shule za Kata au vyuo bidogo na vya kati?
Hilo siyo wazo jipya, ni la siku nyingi sana. Kuna Mikoa inafanya hivyo . Ila kwa upande mwingine ni roho mbaya tu kuwanyima wale wenye mitJi midogo na wana nyumba za kupangisha maeneo hayo.
 
Mama anaacha alama kila Kona ya nchi hii,

#Mama mitano tena
 
Kafulila atakuwa kiongozi mkubwa siku moja
 
Jamani situlikubaliana kuwa kazi ya Serikali ni ku collect tax na kuboresha huduma za kijamii ikiwemo Elimu
 
Unajua kidogo nimeanza kumwelewa huyu Kafulila,

Kama tutajenga Hosteli kwaajili ya CBE kwanini pia PPP wasijenge kwaajili ya shule za Kata au vyuo bidogo na vya kati?
Kajenge wewe shule ya kata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…