much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 11,461
- 17,183
Mchakato miaka mitatu hayo ndo mambo ambayo JPM alikuwa hataki wananchi wanahitaji miundombinu nyie mnachakatanaMimi naamini Ujenzi ni mchakato
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchakato miaka mitatu hayo ndo mambo ambayo JPM alikuwa hataki wananchi wanahitaji miundombinu nyie mnachakatanaMimi naamini Ujenzi ni mchakato
kweli wewe nyau,
Huyu anapambana sana ila mfumo unamwonaje?Mkurugenzi mkuu wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na sekta Binafsi (PPP), Bwana David Kafulila amevitaka vyuo vya umma nchini kutumia sekta binafsi kujenga mabweni/Hosteli na miradi mingine mbalimbali kwa ubia na sekta binafsi jambo ambalo halihitaji fedha za Serikali.
Amesema miradi ya ubia inainufaisha zaidi serikali kwani inapata teknolojia mpya na za kisasa kutoka sekta binafsi na kusaidia uchumi wake kuendeshwa kisasa zaidi na kwa ufanisi.
Ameyasema hayo leo Jijini Dar es Salaam wakati akizungumza kwenye mkutano wa wadau wa chuo hicho kilichojadili utekelezaji wa mradi wa ubia wa ujenzi wa mabweni yatakayokuwa na uwezo wa kuchukua wanafunzi 12,000.“CBE imeonyesha njia, imetengeneza template|andiko ambalo vyuo vingine vinapaswa kuiga kwa kujenga mabweni kwa ubia bila kuomba fedha Toka hazina ,” amesema Kafulila.
Amesema mamlaka zote za serikali zinazotekeleza miradi mbalimbali ziangalie uwezekano wa kuhusisha sekta binafsi kwenye utekelezaji wa miradi hiyo badala ya kusubiri fedha za serikali.
Amesema kila mradi ambao sekta binafsi inaweza kuutekeleza ni vyema taasisi za serikali zikaingia ubia nazo ili kuharakisha utekelezaji wake na kuokoa fedha za serikali ambazo zingetumika.
“Kila mradi ambao sekta binafsi inaweza kuutekeleza kwa teknolojia ya hali ya juu kuliko serikali basi apewe autekeleze ili tujenge uchumi wa kisasa ambao sekta binafsi ndiyo inanafasi kubwa ya kutengeneza ajira nyingi,” amesema
Ameipongeza menejimenti ya CBE kwa kuratibu mradi wa ujenzi wa mabweni hayo ambayo yatakapokamilika yataondoa uhaba wa makazi ya wanafunzi kwenye kampasi ya chuo hicho hapa jijini Dar es Salaam.
Kafulila amesema serikali iliamua kuweka utaratibu wa kuweka miradi kwa ubia ili kunufaika na mambo manne ikiwemo kutekeleza miradi yake bila kutumia fedha zake au mikopo kutoka mataifa ya nje.
“Utaratibu wa ubia unaleta unafuu kwa serikali kwasababu miradi inajengwa bila kutegemea fedha zake lakini utaratibu huu wa ubia unafanya serikali ivute teknolojia ya kujenga baadhi ya miradi, teknolojia ambayo kwa kiasi kikubwa inapatikana sekta binafsi,” amesema
Amesema kwa utaratibu wa ubia serikali inanufaika na teknolojia ya kisasa ambayo inapatikana kwenye sekta binafsi na kupata fursa ya kuleta weledi kwenye taasisi zake kama CBE.
“Kwa mfano mabweni haya yatakapojengwa na kukamilika mwekezaji atalipa kodi kwa serikali lakini kama ingejenga yenyewe ingekuwa huduma tu na hakuna kodi ambayo serikali ingepata kwa hiyo utaratibu huu unainufaisha sana serikali,” amesema.
Mkuu wa chuo hicho, Proesa Edda Lwoga, amesema mabweni hayo yatakayojengwa kwenye kampasi kuu ya Dar es Salaam yatakuwa na uwezo wa kuchukua wanafunzi 2,728 hivyo kupunguza pengo kubwa la malazi kwa wanafunzi.
Amesema kwa sasa kampasi ya CBE Dar es Salaam ina jumla ya wanafunzi 12,000, ambapo kwa upande wa malazi kampasi ina majengo mawili tu ya bweni yenye uwezo wa kuchukua vitanda 160 pekee vya malazi kwa wanafunzi wa kike na kiume hivyo vinakidhi uhitaji wa malazi kwa asilimia 1.3 tu.
Mkuu wa chuo amesema mradi huo utakapokamilika unatarajiwa kupunguza changamoto ya malazi kutoka asilimia 1.34 iliyopo mpaka asilimia 30 ya mahitaji ya wanafunzi kwa bweni.
“Hali iyopo imesababisha uhitaji mkubwa wa malazi ya wanafunzi kwa asilimia 98.6 hivyo wengi wanalazimika kutafuta malazi nje ya chuo kwa gharama kubwa, jambo linalosababisha baadhi ya wanafunzi kushindwa kumudu gharama hizo,” amesema.
wewe akili kubwa umeifanyia nini nchiTunadeal na vitu vidogo sana katika level kubwa sana, hii ni dalili ya akili ndogo.
Mabweni ya watu elfu 12 unasema ni madogo?Hili jambo dogo sana, nadhani hii taasisi haijui hata malengo yake, kuna siku mtu akije ga jilko la shule ya bweni, watakuja mbele kuita ni PPP
Chuo chenyewe kina wanafunzi hawafiki 1500Mabweni ya watu elfu 12 unasema ni madogo?
Duuuh huenda tatizo ni mabweniChuo chenyewe kina wanafunzi hawafiki 1500
Wewe siyo mgeni kwangu. Ninakufahamu vizuri sana tangu enzi za magufuli.Nilikuwa nimendika tusi nimelifuta, uwe mwerevu wa kufafanua badala kuandika as if layman. Nenda jifunze kwa JP Morgan na PPP ya railway. Usipende kudakia usivyovijua fisadi mkubwa. Tunamuunga mkono Mh. Kafulila, tumtie moyo na kumsapoti. Miradi mingi yenye PPP msimamizi anakuwa ni private, na private siku zote wanataka ku maximize profit at the same time public sector inataka ku maximize utoaji wa huduma unakuta mafanikio ya miradi ni makubwa. Hiyo ya kifisadi ka ulivyoninga inaharibiwa toka mwanzo yaani unakuta in fact aliyeingia ubia na serikali hana kabiss uwezo yaani ni dalali nadhani kosa hilo lilifanyika na Mzee Mkapa na Kigoda yaani watu waliuziana/kupeana viwanda wakiwa hawana ujuzi wala uwezo wa kuviendesha. PPP inataratibu zake. Mh. Kafulila yupo serious na utaratibu na taratibu ndiyo maana we expect no au few failures kwa sababu ya umakini.
Hilo siyo wazo jipya, ni la siku nyingi sana. Kuna Mikoa inafanya hivyo . Ila kwa upande mwingine ni roho mbaya tu kuwanyima wale wenye mitJi midogo na wana nyumba za kupangisha maeneo hayo.Unajua kidogo nimeanza kumwelewa huyu Kafulila,
Kama tutajenga Hosteli kwaajili ya CBE kwanini pia PPP wasijenge kwaajili ya shule za Kata au vyuo bidogo na vya kati?
Muulize KishoaSababu ni zipi?
Kwanza jiulize kwa nini hao wawekezaji wanakimbilia prime land only.Hapana hii sio kweli
Usisahau hiyo ni biashara mkuu; huwezi kumvuta PPP kwenye mradi ambao faida yake ni ndogo sana.
Chuo chenyewe kina
Najaribu kuwaza eneo lenyewe la CBE campus ya DSM na hostels zenye uwezo wa watu 12,000Duuuh huenda tatizo ni mabweni
Ufisadi gani ? Ninavyowaza, private sector, atajenga, ila eneo ni la chuo, wataendesha wote kwa mkataba, sasa upigaji gani hapo !Kwa vipi, wakati PPP ni kichaka cha ufisadi
Mama anaacha alama kila Kona ya nchi hii,Mkurugenzi mkuu wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na sekta Binafsi (PPP), Bwana David Kafulila amevitaka vyuo vya umma nchini kutumia sekta binafsi kujenga mabweni/Hosteli na miradi mingine mbalimbali kwa ubia na sekta binafsi jambo ambalo halihitaji fedha za Serikali.
Amesema miradi ya ubia inainufaisha zaidi serikali kwani inapata teknolojia mpya na za kisasa kutoka sekta binafsi na kusaidia uchumi wake kuendeshwa kisasa zaidi na kwa ufanisi.
Ameyasema hayo leo Jijini Dar es Salaam wakati akizungumza kwenye mkutano wa wadau wa chuo hicho kilichojadili utekelezaji wa mradi wa ubia wa ujenzi wa mabweni yatakayokuwa na uwezo wa kuchukua wanafunzi 12,000.“CBE imeonyesha njia, imetengeneza template|andiko ambalo vyuo vingine vinapaswa kuiga kwa kujenga mabweni kwa ubia bila kuomba fedha Toka hazina ,” amesema Kafulila.
Amesema mamlaka zote za serikali zinazotekeleza miradi mbalimbali ziangalie uwezekano wa kuhusisha sekta binafsi kwenye utekelezaji wa miradi hiyo badala ya kusubiri fedha za serikali.
Amesema kila mradi ambao sekta binafsi inaweza kuutekeleza ni vyema taasisi za serikali zikaingia ubia nazo ili kuharakisha utekelezaji wake na kuokoa fedha za serikali ambazo zingetumika.
“Kila mradi ambao sekta binafsi inaweza kuutekeleza kwa teknolojia ya hali ya juu kuliko serikali basi apewe autekeleze ili tujenge uchumi wa kisasa ambao sekta binafsi ndiyo inanafasi kubwa ya kutengeneza ajira nyingi,” amesema
Ameipongeza menejimenti ya CBE kwa kuratibu mradi wa ujenzi wa mabweni hayo ambayo yatakapokamilika yataondoa uhaba wa makazi ya wanafunzi kwenye kampasi ya chuo hicho hapa jijini Dar es Salaam.
Kafulila amesema serikali iliamua kuweka utaratibu wa kuweka miradi kwa ubia ili kunufaika na mambo manne ikiwemo kutekeleza miradi yake bila kutumia fedha zake au mikopo kutoka mataifa ya nje.
“Utaratibu wa ubia unaleta unafuu kwa serikali kwasababu miradi inajengwa bila kutegemea fedha zake lakini utaratibu huu wa ubia unafanya serikali ivute teknolojia ya kujenga baadhi ya miradi, teknolojia ambayo kwa kiasi kikubwa inapatikana sekta binafsi,” amesema
Amesema kwa utaratibu wa ubia serikali inanufaika na teknolojia ya kisasa ambayo inapatikana kwenye sekta binafsi na kupata fursa ya kuleta weledi kwenye taasisi zake kama CBE.
“Kwa mfano mabweni haya yatakapojengwa na kukamilika mwekezaji atalipa kodi kwa serikali lakini kama ingejenga yenyewe ingekuwa huduma tu na hakuna kodi ambayo serikali ingepata kwa hiyo utaratibu huu unainufaisha sana serikali,” amesema.
Mkuu wa chuo hicho, Proesa Edda Lwoga, amesema mabweni hayo yatakayojengwa kwenye kampasi kuu ya Dar es Salaam yatakuwa na uwezo wa kuchukua wanafunzi 2,728 hivyo kupunguza pengo kubwa la malazi kwa wanafunzi.
Amesema kwa sasa kampasi ya CBE Dar es Salaam ina jumla ya wanafunzi 12,000, ambapo kwa upande wa malazi kampasi ina majengo mawili tu ya bweni yenye uwezo wa kuchukua vitanda 160 pekee vya malazi kwa wanafunzi wa kike na kiume hivyo vinakidhi uhitaji wa malazi kwa asilimia 1.3 tu.
Mkuu wa chuo amesema mradi huo utakapokamilika unatarajiwa kupunguza changamoto ya malazi kutoka asilimia 1.34 iliyopo mpaka asilimia 30 ya mahitaji ya wanafunzi kwa bweni.
“Hali iyopo imesababisha uhitaji mkubwa wa malazi ya wanafunzi kwa asilimia 98.6 hivyo wengi wanalazimika kutafuta malazi nje ya chuo kwa gharama kubwa, jambo linalosababisha baadhi ya wanafunzi kushindwa kumudu gharama hizo,” amesema.
Ni sahihi nadhani hiiUfisadi gani ? Ninavyowaza, private sector, atajenga, ila eneo ni la chuo, wataendesha wote kwa mkataba, sasa upigaji gani hapo !
Kafulila atakuwa kiongozi mkubwa siku mojaMkurugenzi mkuu wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na sekta Binafsi (PPP), Bwana David Kafulila amevitaka vyuo vya umma nchini kutumia sekta binafsi kujenga mabweni/Hosteli na miradi mingine mbalimbali kwa ubia na sekta binafsi jambo ambalo halihitaji fedha za Serikali.
Amesema miradi ya ubia inainufaisha zaidi serikali kwani inapata teknolojia mpya na za kisasa kutoka sekta binafsi na kusaidia uchumi wake kuendeshwa kisasa zaidi na kwa ufanisi.
Ameyasema hayo leo Jijini Dar es Salaam wakati akizungumza kwenye mkutano wa wadau wa chuo hicho kilichojadili utekelezaji wa mradi wa ubia wa ujenzi wa mabweni yatakayokuwa na uwezo wa kuchukua wanafunzi 12,000.“CBE imeonyesha njia, imetengeneza template|andiko ambalo vyuo vingine vinapaswa kuiga kwa kujenga mabweni kwa ubia bila kuomba fedha Toka hazina ,” amesema Kafulila.
Amesema mamlaka zote za serikali zinazotekeleza miradi mbalimbali ziangalie uwezekano wa kuhusisha sekta binafsi kwenye utekelezaji wa miradi hiyo badala ya kusubiri fedha za serikali.
Amesema kila mradi ambao sekta binafsi inaweza kuutekeleza ni vyema taasisi za serikali zikaingia ubia nazo ili kuharakisha utekelezaji wake na kuokoa fedha za serikali ambazo zingetumika.
“Kila mradi ambao sekta binafsi inaweza kuutekeleza kwa teknolojia ya hali ya juu kuliko serikali basi apewe autekeleze ili tujenge uchumi wa kisasa ambao sekta binafsi ndiyo inanafasi kubwa ya kutengeneza ajira nyingi,” amesema
Ameipongeza menejimenti ya CBE kwa kuratibu mradi wa ujenzi wa mabweni hayo ambayo yatakapokamilika yataondoa uhaba wa makazi ya wanafunzi kwenye kampasi ya chuo hicho hapa jijini Dar es Salaam.
Kafulila amesema serikali iliamua kuweka utaratibu wa kuweka miradi kwa ubia ili kunufaika na mambo manne ikiwemo kutekeleza miradi yake bila kutumia fedha zake au mikopo kutoka mataifa ya nje.
“Utaratibu wa ubia unaleta unafuu kwa serikali kwasababu miradi inajengwa bila kutegemea fedha zake lakini utaratibu huu wa ubia unafanya serikali ivute teknolojia ya kujenga baadhi ya miradi, teknolojia ambayo kwa kiasi kikubwa inapatikana sekta binafsi,” amesema
Amesema kwa utaratibu wa ubia serikali inanufaika na teknolojia ya kisasa ambayo inapatikana kwenye sekta binafsi na kupata fursa ya kuleta weledi kwenye taasisi zake kama CBE.
“Kwa mfano mabweni haya yatakapojengwa na kukamilika mwekezaji atalipa kodi kwa serikali lakini kama ingejenga yenyewe ingekuwa huduma tu na hakuna kodi ambayo serikali ingepata kwa hiyo utaratibu huu unainufaisha sana serikali,” amesema.
Mkuu wa chuo hicho, Proesa Edda Lwoga, amesema mabweni hayo yatakayojengwa kwenye kampasi kuu ya Dar es Salaam yatakuwa na uwezo wa kuchukua wanafunzi 2,728 hivyo kupunguza pengo kubwa la malazi kwa wanafunzi.
Amesema kwa sasa kampasi ya CBE Dar es Salaam ina jumla ya wanafunzi 12,000, ambapo kwa upande wa malazi kampasi ina majengo mawili tu ya bweni yenye uwezo wa kuchukua vitanda 160 pekee vya malazi kwa wanafunzi wa kike na kiume hivyo vinakidhi uhitaji wa malazi kwa asilimia 1.3 tu.
Mkuu wa chuo amesema mradi huo utakapokamilika unatarajiwa kupunguza changamoto ya malazi kutoka asilimia 1.34 iliyopo mpaka asilimia 30 ya mahitaji ya wanafunzi kwa bweni.
“Hali iyopo imesababisha uhitaji mkubwa wa malazi ya wanafunzi kwa asilimia 98.6 hivyo wengi wanalazimika kutafuta malazi nje ya chuo kwa gharama kubwa, jambo linalosababisha baadhi ya wanafunzi kushindwa kumudu gharama hizo,” amesema.
Serious?Chuo chenyewe kina wanafunzi hawafiki 1500
Kajenge wewe shule ya kata.Unajua kidogo nimeanza kumwelewa huyu Kafulila,