Chadema hakiwezi kukabidhiwa kwa chasakaBaadala ya kuongelea wananchi mnamuangalia Mbowe na Zitto. Zitto anaondoka kuwa kiongozi mkuu wa ACT na Mbowe anastaafu kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA. Sasa watamsahawishi nani?. Lissu na Heche ndio watashika haramu ya nchi.
Cdm ni chama Cha kiharakati kwa mujibu wa majizi ya ccm. Ukiyaweka wazi majizi ya ccm, ww automatically ni mwanaharakati.CCM sio chama cha kianaharakati, ni taasisi, inashinda kama chama. Mafanikio yote ni ya chama.
Hii ni tofauti na chadema ambayo inaendeshwa kiuanaharakati kama HAMAS au Muslim Brotherhood na Jamaa Al Islamiya
Hamas wana millitary wing na political wing, nadhani serikali iliwawahi chadema kwa kuivunja Red Brigade, Hamas pia walikuwa na Al Qassam Brigade kama millitary wing.
View attachment 2861449
Wale walikuwa ni guards tu wa mikutano ya chama na kupanga watu wakae vizuri, brigade ni kikosi cha kijeshiWalivunja kote sio CHADEMA pekee. Tena CCM walikuwa na green guard ilivyokuwa Ina maeneo yake yakufanya mazoezi ya silaha. Kwa hivyo utetezi wako hauna mantiki.
ndugu ukwa na mawazo hayo kwa tanzania ya leo inayoenda vizuri kisiasa kiuchumi na kidemocrasia hata aliyekutuma atakushangaa yaani inaonyesha nikiasi gani hujielewi mpaka unaandika upuuzi kama huu yaani huoni hata nchi ilivyotulia uchumi unapanda mahitaji mengi yanapatikana kirahisi mwambie aliyekutuma HATUDANGANYIKI
Chadema hakiwezi kukabidhiwa kwa chasaka
Yaani ccm wakimuweka Samia 2025 ni dharau kubwa saaana kwa watanzania.Hii itakuwa dharau kubwa sana kwa Watanzania. Inamaana hata wakiweka gogo la mti litashinda kura kwa kishindo.
Hakuna tofauti kiongozi wa sasa na gogo. Kiongozi asiyetaka kabisa kusikiliza kero, changamoto za wananchi kazi yake ni kuuza maliasili za nchi, kukopa, kuteua vilaza, kutengua wabobezi, kuigiza movie, kusafiri.
Hicho chama cha kilimanjaro na Arusha, mikoa mingine mnadandia tu yasiyowahusu, mpaka mnataka kutupora chama chetuKama 2020 waliwafanyia dhihaka, sidhani Kama watarudia.
Cha ajabu eti 2020 Mwinyi kashinda kwa zaidi ya 70% then Maalim seif hakufikisha hata 20% ccm ni wezi kinoma.Mimi najua iwe mvua iwe jua CCm itashinda hata kwa njia za janja janja, Do you remember what happened 2015 in zanzibar baada ya yule mwanakafu kushinda, what ZEC did? Am telling you surely CCM kuja kutoka madarakani ni mpaka mbinu za kijasusi ila kwa politics na general election that ain't gonna happen, By the way mimi nasubiri tu MATANGAZO YA KUJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA ili nipate voter's ID maaana ndio kitambulisho nachoweza kukipata kwa urahisi sio hivi nida miaka nenda miaka rudi ni ni namba tu....f***k
Chadema hakiwezi kukabidhiwa kwa chasaka
Hata sisiemi wasimamishe jiwe watashinda,only that
Swali la kijinga TU hili.Supposedly hoja zako ni kweli, kati ya vyama hivi vilivyopo, ni chama kipi cha kuiliza CCM na kuiletea hicho kilio kikubwa sana?.
P
Mavi yakoPunguza matusi, Yani kwa watanzania wote wewe umemuona Samiah ana akili kuliko wote. Unadai hafai kuendelea kuikalia kiti lakini bado unatete aendelee kuwa rais. Tuache unafiki. Kama mtu hafai akae pembeni
HAHM anafaa sanaa Saa 100 apumzikeAmesema CCM watafute mgombea mwingine angalau atakayejali maisha ya Watanzania. Wapo wenye unafuu Polepole, Bashiru Ali, Mpina, Lukuvi, Mtaka nk.
Upinzani yupo Mwakubusi, Dr Slaa, ila hawana platform. Wengine wote waonjoshe asali tu wanakuwa hawana tofauti na CCM.
hili suala lataka tafakuri na uangalifu wa hali ya juu vinginevyo tutakula wa chuya.Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa chama chochote cha siasa kikipuuza maoni ya wananchi kitalia kilio ambacho hatakuwepo wa kukinyamazisha
Ni dhahiri CCM imepoteza mwelekeo haijali kabisa changamoto wanazopitia wananchi
wamekuwa wakiwaza tu kuchapisha fomu moja wamesahau hata kutekeleza majukumu yao sawasawa
ukweli ni kwamba Samia hatoshi tena kugombea urais 2025 tena kikawaida angejiuzuru mapema kuruhusu mtu mwingine aje kufanya reform kabla ya 2025 maana CCM kikiingia hivi kwenye uchaguzi kitalia kilio kikubwa Sana
Una kitu usikilizwehili suala lataka tafakuri na uangalifu wa hali ya juu vinginevyo tutakula wa chuya.
Kumpata mkuu wa serikali na nchi wa dhahabu ambaye ana uwezo wa kukidhi angalau 60% ya mahitaji na matarajio ya wananchii siyo jambo la mchezo, ni ngumu. US, UK wana haha na kuyumba kwelikweli kumpata kiongozi wa ndoto yao, Urusi waliyumba kwa decades kadhaa kabla ya kuibuka kwa Putin.
Kuna baadhi ya nchi hazijawahi kuwapata kabisa.
mara nyingi viongozi wa dhahabu wakiwa madarakani upingwa sana. Wakiwa kwenye vyama vya upinzani uwekewa vikwazo sana. Siyo kwamba nchi inakuwa haina watu wenye sifa ila kumpata mwenye sifa ambaye yupo katika mazingira ya kuweza kuchaguliwa kuwa mkuu wa serikali ndio changamoto. Kiongozi wa dhahabu ni mtu mwenye vision na mikakati, sahihi, mwenye nia njema kwa jamii, anayeweza kuishinda nafsi yake na anayeweza kufanya reform muhimu zinazoweza kuifanya vision yake iwe kweli.
Katika mazingira yetu ya sasa ndani na nje ya mfumo ni vigumu kwa mtu kuweza kusema pasipo kupepesa macho wala mashaka kuwa fulani ana uwezo wa kukibeba kijiti kwa mafanikio na watu wengi wakakubaliana naye. tunachoweza kufanya ni kubahatisha tu. ni mtazamo wangu na naweza kukosolewa. tukumbuke kuwa nyerere alipotaka kung'atuka mwaka 1980 ilisumbua sana kumpata mbadala wake hadi akaghairi, mwinyi alipokuwa anaondoka ilikuwa tabu zaidi kupata mbadala wake.
Viongozi hawa ni baadhi tu ya mifano ya viongozi wa dhahabu ambao mataifa yao yanawakumbuka vizavi na vizazi ingawa nao pia walikuwa na mapungufu yao (queen Victoria, Margaret thatcher, Winston Churchill, Yasser Arafat, Sheikh Rashid ibn Saeed Al Maktoum, Anthony Charles Lynton Blair, Angela Merkel, Kambarage, Ho Chi Minh, Nguyễn Văn Linh, Deng Xiaoping, Mao Zedong, Franklin D. Roosevelt, Abraham Lincoln, Lee Kuan Yew, Suharto n.k) siku mungu akinijaria msukumo na muda nitabainisha vigezo vya viongozi hawa kutambulika kuwa ni wa kipekee.
Sahivi tunaendeshwa kwa huruma ya Mwenyezi Mungu pekeeMwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa chama chochote cha siasa kikipuuza maoni ya wananchi kitalia kilio ambacho hatakuwepo wa kukinyamazisha
Ni dhahiri CCM imepoteza mwelekeo haijali kabisa changamoto wanazopitia wananchi
wamekuwa wakiwaza tu kuchapisha fomu moja wamesahau hata kutekeleza majukumu yao sawasawa
ukweli ni kwamba Samia hatoshi tena kugombea urais 2025 tena kikawaida angejiuzuru mapema kuruhusu mtu mwingine aje kufanya reform kabla ya 2025 maana CCM kikiingia hivi kwenye uchaguzi kitalia kilio kikubwa Sana