Pre GE2025 CCM achaneni na Samia 2025, leteni mtu mwingine kabla ya uchaguzi afanye reform kwa hali iliyopo, chama kiingie kwenye uchaguzi kikiwa kimeaminika

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ccm hawana lengo la kuijenga nchi kwa hiyo hawana wazo la kumuondoa Samia. Cha ajabu atawekwa yeye na atashinda ushindi wa kishindo.

Hii itakuwa dharau kubwa sana kwa Watanzania. Inamaana hata wakiweka gogo la mti litashinda kura kwa kishindo.

Hakuna tofauti kiongozi wa sasa na gogo. Kiongozi asiyetaka kabisa kusikiliza kero, changamoto za wananchi kazi yake ni kuuza maliasili za nchi, kukopa, kuteua vilaza, kutengua wabobezi, kuigiza movie, kusafiri.
 
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa chama chochote cha siasa kikipuuza maoni ya wananchi kitalia kilio ambacho hatakuwepo wa kukinyamazisha

Ni dhahiri CCM imepoteza mwelekeo haijali kabisa changamoto wanazopitia wananchi

wamekuwa wakiwaza tu kuchapisha fomu moja wamesahau hata kutekeleza majukumu yao sawasawa

ukweli ni kwamba Samia hatoshi tena kugombea urais 2025 tena kikawaida angejiuzuru mapema kuruhusu mtu mwingine aje kufanya reform kabla ya 2025 maana CCM kikiingia hivi kwenye uchaguzi kitalia kilio kikubwa Sana
Atashinda 2025. Mbowe na Zitto watamsaidia kelele zisiwe nyingi upande wa Chadema na ACT. Tatizo wasioliona CCM ni vurugu zitakazokuja muhula wa pili wa Samia ambazo hazitakuwa zinaratibiwa na vyama vya siasa na hawatakuwa wanaweza kuzituliza sababu vyombo vya usalama havitakuwa na uwakika na usalama wao baada ya Samia kutoka madarakani. Kwa kifupi muhula wa pili wa Samia utajaa maandamano na vurugu na uwezekano mkubwa Samia na CCM wasifike 2030. Haya ni maoni yangu tu.
 
Kuiba kura na uchawa.viongozi wa awamu hii wameacha kutumikia watu kutwa wako bize kwenye mitandao kumsifia bosi wao wote nchi iko halijojojo, umasikini unazidi kupaa, kikokotoo kinawatafuna watumishi wakati fedha zao zinazokatwa kwenye mishahara zinaibiwa na serikali kwa kuziwekeza kwenye miradi feki ya kiupigaji hivyo kusababisha kushindwa kuboresha maslahi yao.
 
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa chama chochote cha siasa kikipuuza maoni ya wananchi kitalia kilio ambacho hatakuwepo wa kukinyamazisha

Ni dhahiri CCM imepoteza mwelekeo haijali kabisa changamoto wanazopitia wananchi

wamekuwa wakiwaza tu kuchapisha fomu moja wamesahau hata kutekeleza majukumu yao sawasawa

ukweli ni kwamba Samia hatoshi tena kugombea urais 2025 tena kikawaida angejiuzuru mapema kuruhusu mtu mwingine aje kufanya reform kabla ya 2025 maana CCM kikiingia hivi kwenye uchaguzi kitalia kilio kikubwa Sana

Shida hakuna wa kumkoromea wote wanamsujudia.
 
Atashinda 2025. Mbowe na Zitto watamsaidia kelele zisiwe nyingi upande wa Chadema na ACT. Tatizo wasioliona CCM ni vurugu zitakazokuja muhula wa pili wa Samia ambazo hazitakuwa zinaratibiwa na vyama vya siasa na hawatakuwa wanaweza kuzituliza sababu vyombo vya usalama havitakuwa na uwakika na usalama wao baada ya Samia kutoka madarakani. Kwa kifupi muhula wa pili wa Samia utajaa maandamano na vurugu na uwezekano mkubwa Samia na CCM wasifike 2030. Haya ni maoni yangu tu.
Upo sahihi kabisa kuhusu Mbowe na Zitto watahakikishiwa asali. Lissu nafikiri ana uzalendo kwa nchi kuliko hao wawili.

Nakubaliana na point yako ya pili vurugu zitatokea kutokana na watu kushindwa kuhimili gharama za maisha, mfumuko mkubwa wa bei.

Kutakuwa na ongezeko maradufu ya uhalifu wa kila aina kama rushwa, ufisadi, wizi, ujambazi, ujangili, panyaroad, malaya nk sababu ya kiongozi na uongozi legelege usio makini wala kukemea rushwa, ufisadi na vitendo vya kihalifu.
 
Ushauri wako siyo mzuri. Ni ngumu sana kupata rais kama Dkt Magufuli, ndiyo Dkt Samia ni mzembe sana tena hafai kabisa kuendelea kukalia kiti cha urais kwa sababu kila eneo la kiutawala kashindwa mno mno, ila ukiangalia hakuna mbadala ndani ya CCM wa nje ya CCM. Yaani bora mara 💯 tuendelee na Dkt Samia ambaye tumeshajua siyo nyampara bali ni kiongozi anayetaka kila mtu ajisimamie, ila bahati mbaya sana watanzania karibia wote waliopo serikalini na wafanyabiashara wana vinasaba vya ufisadi, wizi, upigaji kiasi kwamba kwa kiongozi kama Dkt Samia wanafurahia mno. Kwa nini nasema hatutaki zaidi ya Dkt Samia, huyo unayemfikiria akija atataka kuwa kama Dkt Magufuli (atashindwa kuwa kwa sababu Dkt Magufuli alikuwa na kipaji hicho cha kuzaliwa) na atataka kuwa kama Dkt Samia (hawezi kwa sababu Dkt Samia kwa asili yake kama Mwanamke na kuwa ni Mzanzibar ndivyo alivyo lelewa), huo mchanganyiko utaiumiza nchi. Tuendelee na Dkt Samia

Punguza matusi, Yani kwa watanzania wote wewe umemuona Samiah ana akili kuliko wote. Unadai hafai kuendelea kuikalia kiti lakini bado unatete aendelee kuwa rais. Tuache unafiki. Kama mtu hafai akae pembeni
 
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa chama chochote cha siasa kikipuuza maoni ya wananchi kitalia kilio ambacho hatakuwepo wa kukinyamazisha

Ni dhahiri CCM imepoteza mwelekeo haijali kabisa changamoto wanazopitia wananchi

wamekuwa wakiwaza tu kuchapisha fomu moja wamesahau hata kutekeleza majukumu yao sawasawa

ukweli ni kwamba Samia hatoshi tena kugombea urais 2025 tena kikawaida angejiuzuru mapema kuruhusu mtu mwingine aje kufanya reform kabla ya 2025 maana CCM kikiingia hivi kwenye uchaguzi kitalia kilio kikubwa Sana
Samia kama angempisha mtu mwingine agombee angepata heshima kubwa sana katika hi nchi
 
CCM sio chama cha kianaharakati, ni taasisi, inashinda kama chama. Mafanikio yote ni ya chama.

Hii ni tofauti na chadema ambayo inaendeshwa kiuanaharakati kama HAMAS au Muslim Brotherhood na Jamaa Al Islamiya

Acha uongo. Unaijua Hamas?. Lini CHADEMA wametumia silaha Kama njia ya kufanya siasa?
 
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa chama chochote cha siasa kikipuuza maoni ya wananchi kitalia kilio ambacho hatakuwepo wa kukinyamazisha

Ni dhahiri CCM imepoteza mwelekeo haijali kabisa changamoto wanazopitia wananchi

wamekuwa wakiwaza tu kuchapisha fomu moja wamesahau hata kutekeleza majukumu yao sawasawa

ukweli ni kwamba Samia hatoshi tena kugombea urais 2025 tena kikawaida angejiuzuru mapema kuruhusu mtu mwingine aje kufanya reform kabla ya 2025 maana CCM kikiingia hivi kwenye uchaguzi kitalia kilio kikubwa Sana
Dhalimu magu ndio aliondoa heshima ya box la kura ili aonekane anapendwa sana yeye na chama chake. Matokeo yake kwa sasa hakuna anayeogopa tena box la kura maana wanajua wanaweza kupora uchaguzi na kusiwe na lolote. Na kwa bahati mbaya zaidi wananchi nao wamelipuuza box la kura. Kwahiyo ww muumini wa dhalimu hapa ni kama unaleta kilio Cha samaki.
 
Atashinda 2025. Mbowe na Zitto watamsaidia kelele zisiwe nyingi upande wa Chadema na ACT. Tatizo wasioliona CCM ni vurugu zitakazokuja muhula wa pili wa Samia ambazo hazitakuwa zinaratibiwa na vyama vya siasa na hawatakuwa wanaweza kuzituliza sababu vyombo vya usalama havitakuwa na uwakika na usalama wao baada ya Samia kutoka madarakani. Kwa kifupi muhula wa pili wa Samia utajaa maandamano na vurugu na uwezekano mkubwa Samia na CCM wasifike 2030. Haya ni maoni yangu tu.

Mbowe na Zitto ndio nani?. Mbowe mwenyewe anatakiwa kustaafu atamtuliza nani?. Samiah akae pembeni bila shuruti ifikapo 2025.
 
Supposedly hoja zako ni kweli, kati ya vyama hivi vilivyopo, ni chama kipi cha kuiliza CCM na kuiletea hicho kilio kikubwa sana?.
P
Ni kweli hakuna chama Cha hivyo maana uchaguzi hapa nchini ni kiini macho, na mshindi anapangwa na kigenge kijiitacho system, ambacho mwenyekiti wa ccm ndio kiongozi.
 
Acha uongo. Unaijua Hamas?. Lini CHADEMA wametumia silaha Kama njia ya kufanya siasa?
Hamas wana millitary wing na political wing, nadhani serikali iliwawahi chadema kwa kuivunja Red Brigade, Hamas pia walikuwa na Al Qassam Brigade kama millitary wing.
Screenshot_20240104-094758.jpg
 
ndugu ukwa na mawazo hayo kwa tanzania ya leo inayoenda vizuri kisiasa kiuchumi na kidemocrasia hata aliyekutuma atakushangaa yaani inaonyesha nikiasi gani hujielewi mpaka unaandika upuuzi kama huu yaani huoni hata nchi ilivyotulia uchumi unapanda mahitaji mengi yanapatikana kirahisi mwambie aliyekutuma HATUDANGANYIKI
Unaishi nyumbani kwa kiongozi, hivyo unaona vitu vinapatikana kiurahisi, lakini hujui mfumuko wa bei unavyotutesa.
 
Upo sahihi kabisa kuhusu Mbowe na Zitto watahakikishiwa asali. Lissu nafikiri ana uzalendo kwa nchi kuliko hao wawili.

Nakubaliana na point yako ya pili vurugu zitatokea kutokana na watu kushindwa kuhimili gharama za maisha, mfumuko mkubwa wa bei.

Kutakuwa na ongezeko maradufu ya uhalifu wa kila aina kama rushwa, ufisadi, wizi, ujambazi, ujangili, panyaroad, malaya nk sababu ya kiongozi na uongozi legelege usio makini wala kukemea rushwa, ufisadi na vitendo vya kihalifu.

Baadala ya kuongelea wananchi mnamuangalia Mbowe na Zitto. Zitto anaondoka kuwa kiongozi mkuu wa ACT na Mbowe anastaafu kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA. Sasa watamsahawishi nani?. Lissu na Heche ndio watashika haramu ya nchi.
 
🤣🤣🤣angejiuzulu?
Thubutuuu,kiti kitamu,hata kama unajijua huna uwezo,ila ikitokea unapewa kiti,ndo utajua utamu wake,hata huku maofisini tunaona,wasio na uwezo ndo wanapewa nafasi,na wakishakalia kiti,Cha Moto mtakiona,na atafanya lolote kuhakikisha anaendelea kukalia kiti🙏it's normal
Ni kweli, mfano halisi ni dhalimu magu alipopata urais Cha moto tulikiona.
 
Back
Top Bottom