Tulimumu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 14,409
- 13,262
CCM ni chama kikubwa na kikongwe hakiwezi kuwa chama cha kitegemea wahamiaji waganga njaa toka upinzani ili kukisemea. Hao no waganga njaa wamekuja kula walivyoyelea jasho wanaccm kindakindaki. Mnawaumiza sana mnapowapuuza na kuwapa majukwaa na vyeo wale waliokuwa wakiwatukana majuzi tu hapo.
Na hawa waganga njaa wajanja sana wakija CCM wanajifanya kuandika artiles nyingi za kuisifia serikali ili wapate mkate wao. Hivyo ndivyo walivyoganya hata wale mliowatoa NCCR. Achaneni nao wapeni background responsibility lakini msiwachukulie kama ndiyo roho ya CCM. CCM ilikuwepo kabla ya wao kuja hivyo msiwaone kama malaika