Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Mama Lwakatare na mbunge wa Kawe wa sasa ni kati ya maaskofu wanaoshiriki siasa na kuongoza wafuasi makanisani! Na viongozi wengi wenye makanisa binafsi ambao hutuambia mungu wao ndiye kamchagua rais na si sisi wananchi! Haya yote hayalalamikiwi.
Enzi za Magufuli viongozi wa makanisa binafsi walikuwa wakiamkia Ikulu kuunga mkono juhudi ili makanisa yao na ouvu wao udumu kamalile tukio lililotokea Moshi ambako watu kadha walipoteza maisha na mhusika hakuguswa, hakuna kiongozi wa CCM aliyelalamika ili wahanga wapewe haki zao.
CCM acheni kulalamika kwa sababu mnayo madaraka .