Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Rais Mwinyi yeye yuko bize na uisilamu, anataka serikali itenge fungu la hija!Wanajitoa ufahamu tu,
Inajulikana wazi kuwa Nchi alikabidhiwa mtu (Kanisa) aiongoze.
Utulivu na ukimya unaiponza nchi, watu wameigeuza shamba la bibi.Yaani wameiibia nchi mpaka wanaogopa vivuli vyao,matajiri wote wakuu nchini hatuna hata mzawa mmoja, tusiogope kuusema ukweli, ukweli ndio unaokuweka huru, it's craze mfumo wetu wa kiuchumi hautuletei matajiri wazawa, limekua shamba la shangazi
Yaani wameiibia nchi mpaka wanaogopa vivuli vyao,matajiri wote wakuu nchini hatuna hata mzawa mmoja, tusiogope kuusema ukweli, ukweli ndio unaokuweka huru, it's craze mfumo wetu wa kiuchumi hautuletei matajiri wazawa, limekua shamba la shangazi
Uzuzu wa kiuoga wa middle class, na kujifanya kuja na mada humu za kuwafanya waonekane ni star's, mabadiliko ya kweli yapo ni street battlesUtulivu na ukimya unaiponza nchi, watu wameigeuza shamba la bibi.
Sijakuelewa japo sijawafanya wainekane stars, siwapendi na sijawahi kuwapenda sababu ya ubinafsi wao.Uzuzu wa kiuoga wa middle class, na kujifanya kuja na mada humu za kuwafanya waonekane ni star's, mabadiliko ya kweli yapo ni street battles