Mabadiliko yanaanzia na mtu mmoja. Nyerere alianza pekeake.Mwisho wa siku utajikuta peke yako, nchi hii watu wanaongea sana matendo ni zero
Swali ni je; wewe uko tayar Kwa mabadiliko ya KIMFUMO? Jitokeze, utaona wengi wakiunga foleni. Ameeeen
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mabadiliko yanaanzia na mtu mmoja. Nyerere alianza pekeake.Mwisho wa siku utajikuta peke yako, nchi hii watu wanaongea sana matendo ni zero
Sensa ni muhimu kwenye nchi inayojielewa ila inapoambatanishwa na siasa za chama kimoja, umuhimu hutoweka.Sensa ni muhimu bwashee
Nyerere hakuwa wa kwanza kudai uhuru, hivyo kuna watu walianza harakati hizo Kabla yake, siwezi kuwa tayari wakati wenzangu ni makunguruMabadiliko yanaanzia na mtu mmoja. Nyerere alianza pekeake.
Swali ni je; wewe uko tayar Kwa mabadiliko ya KIMFUMO? Jitokeze, utaona wengi wakiunga foleni. Ameeeen
Kumbe uteuzi wa wahesabu umesha fanyika?CCM imefika mahali wao kila kitu ni siasa. Nimeona watu wanapiga sana kelele sana kwenye mitandao kua uvccm ndo watafanya hili swala. Nimejiridhisha kwa [emoji817] % kuwa ndo wanapewa nafasi ya kufanya hili zoezi.
Na hii ni baada ya Mimi mwenyewe ambaye Sina chama chochote nikamfata Mtendaji Kata nahitaji nafasi na kwa kua ni jamaa angu akanambia. Fata kadi ya uanachama wa ccm uje nafasi ziko wazi.
Rushwa ni kubwa mno kwenye hili zoezi. Watu wanatoa rushwa sana lakn kipaumbele Cha kwanza ni kwa UVCCM.
Je, kulukua na haja Gani ya kuambia Watanzania kua watume maombi kumbe tayari mna majina yetu mfukoni. Na wanafanya usaili wa majina ni Mtendaji Kata ndo boss. Walimu wakuu watendaji wa mitaa/ vijiji. Kwa mfano mtaa nilipo wote waliochaguliwa Kata ya Kisesa Magu 50% wameletwa ni wagen hatujui wametoka wapi.
Kwenye hili nikagundua kua kama kawaida Yao kila sehemu ni siasa. Yafuatayo yatafanyika
1. Kupika data za uongo kwa kuonesha kiwango cha umaskini kimepungua sana nchini huku hali ni tofauti.
2 Kuonesha kiwango cha elimu kimepanda nchin. Huku hali ni tofauti.
3. Watu wengi wanapata huduma za jamii zilizoimarika. Kumbe hali ni tofauti. Na mengne mengi ya uongo kama kawaida Yao ambayo ndo jadi yao ya uongo.
Baada ya kugundua hayo. Maamuzi ya familia yangu ni kuwa hatutaweza hesabiwa wakajihesabu wenyewe na familia zao.
Mabadiliko yanaanzia na mtu mmoja. Nyerere alianza pekeake.Mwisho wa siku utajikuta peke yako, nchi hii watu wanaongea sana matendo ni zero
Anyway Usipoteze Tumaini au HOPE.Nyerere hakuwa wa kwanza kudai uhuru, hivyo kuna watu walianza harakati hizo Kabla yake, siwezi kuwa tayari wakati wenzangu ni makunguru
Unaweza itwa, makanjanja wanayeyukaga kelele zikizidi.Kumbe uteuzi wa wahesabu umesha fanyika?
Mie maskini nilie shinda mtandaoni kujaza dodoso la kuomba nafasi nasubiri niitwe!!! Jamani!!!
Endelea na imani yako, ila nchi hii ina wapiga domo hodari, sio watendajiMabadiliko yanaanzia na mtu mmoja. Nyerere alianza pekeake.
Swali ni je; wewe uko tayar Kwa mabadiliko ya KIMFUMO? Jitokeze, utaona wengi wakiunga foleni. Ameeee
Anyway Usipoteze Tumaini au HOPE.
Makundi karibia yote ktk Nchi yameshabinya na ukandamizaji na RUSHWA Kwa namna moja au ingine mf,
Machinga habar wanayo, wakulima vile vile, wafanyakazi umesikia, waliomaliza vyuo kutengwa na mfumo wa ajira wameguswa, wafanyabiashara ndo kabsa. Bodaboda Bei za mafuta umeona!!!
Kuna kitufe kimoja tu kimebaki wakibonyeza utaisikia "MLIO"
Imani ni HAKIKA, ushiriki au usishiriki,Endelea na imani yako, ila nchi hii ina wapiga domo hodari, sio watendaji
Pole sana ndugu yanguKumbe uteuzi wa wahesabu umesha fanyika?
Mie maskini nilie shinda mtandaoni kujaza dodoso la kuomba nafasi nasubiri niitwe!!! Jamani!!!
Tukiwapa sapoti wataendelea kutudharau ndugu yangu na kutuona hatuna akili. Yaan wao kila kitu ni siasa wanaingiza hawana hata aibu kabisa. Ngoja wafanye tu wenyewe aisee.
Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Hii ni aibu ya karne
Kweli Policcm ni walewale vilevilePolisi wametumika miaka yote, acha kujidanganya, ccm ipo imara sana kelele za mitandaoni haziwezi waangusha
Mungu akutangulieNinaitisha MGOMO wa kutokuhesabiwa katika sensa hii
Ukihesabiwa wewe, mumeo na mamako inatosha!Mwisho wa siku utajikuta peke yako, nchi hii watu wanaongea sana matendo ni zero
Ccm imara sana ndio maana wako madarakanilabda imara kwa mazezeta ya lumumba mnapokaa kwenye makorido kudanganyana.