ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Kaa pembeni acha kelele za churaUkihesabiwa wewe, mumeo na mamako inatosha!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaa pembeni acha kelele za churaUkihesabiwa wewe, mumeo na mamako inatosha!
Mwaka 2026 sawaImani ni HAKIKA, ushiriki au usishiriki,
CCM watake au wasitake,
Tutakamilisha mchakato wa uandikwaji wa KATIBA mpya 2026.
Na Judge WARIOBA atakuwepo kuizindua.
Ameeeeen
Hujaelewa kumbe, KATIBA mpya inakamilika kuandikwa na kuzinduliwa 2026.Mwaka 2026 sawa
Ndo ilitakiwa kiwekwe kipengele kinachomtaka muombaji wa kazi ya sensa,awe mwana UVCCM,wala tusingejisumbua.Mtaka Cha uvunguni sharti uiname, Kama unaitaka hiyo ajira kuwa uvccm. Shida ipo wapi?
Endelea kuota 2025 uchaguzi upo pale paleHujaelewa kumbe, KATIBA mpya inakamilika kuandikwa na kuzinduliwa 2026.
Hujaona pia uchaguzi 2025 utayeyuka, tatz macho yapo yanatazama bt hayaoni.
Uzuri saver haifuti comments, tunza hiyo.Endelea kuota 2025 uchaguzi upo pale pale
Sio lazima kipengele kiwepo, unapaswa kufata mambo yanavyokwendaNdo ilitakiwa kiwekwe kipengele kinachomtaka muombaji wa kazi ya sensa,awe mwana UVCCM,wala tusingejisumbua.
Muda utaongeaUzuri saver haifuti comments, tunza hiyo.
Mambo yanavyokwenda kivipi?Sio lazima kipengele kiwepo, unapaswa kufata mambo yanavyokwenda
Ni muhimu Sana. CCM iache Kila jambo kuweka siasa., Kuna watu hawaipendi CCM ila wanaipenda serikali.Sensa ni muhimu bwashee
Kama huwezi kuwa uvccm, si uache hiyo ajira shida ipo wapi?Mambo yanavyokwenda kivipi?
Kulikua na shida gani kuweka kipengele cha UVCCM,kama hiyo isingeleta shida badala yake unaona barua zinaandikwa kimyakimya na kupigwa mihuri ya SIRI?
Kodi inakatwa kwa yeyote,yaani uwe CCM,CHADEMA,CHAUMA,lakini wapumbavu wachache eti wanataka kile kinachokusanywa kutoka kwa wote,kigawiwe kwa UVCCM na tusio na vyama tukose,halikadhalika wa vyama vingine wakose,huoni ni ujinga huo au wewe mwenyewe ni mjinga huoni dosari?
CCM ni matapeli snSensa ni muhimu ndiyo lakini si kwa sensa ya mwaka huu inayokwenda kupika data na makada wa CCM. Mimi na familia yangu hatuoni kama kuna haja ya kushiriki ktk zoezi hilo, hadi hapo sensa imeshaharibika
Sidhani kama wewe ni mzima,kwanini wasingeweka kipengele cha UVCCM kama unafikiri hawakufikiri kama mimi ninavyofikiri?Unadhani ni sawa kutoa ajira kwa kuangalia uchama?Pesa zinazogawiwa kwa hao UVCCM ni kodi ya mama yangu,baba yangu,kaka zangu,dada zangu,rafiki zangu na zangu pia,kwasababu nakatwa kodi.Pesa ambayo hata ikigawiwa kwa UVCCM,siwezi kulalamika,ni ya CCM tu,nyingine lazima nionyeshe kutokufurahishwa na ugawaji wake,kwasababu ni zetu sote.Kama huwezi kuwa uvccm, si uache hiyo ajira shida ipo wapi?
Yawezekana kweli, lakin mbona hizi nafasi watendaji hawajahusika nazo kabisa.???? Nomeomba na nimekosa na kuna jamaazangu wamepata japo kwa kuwa na watu wao etiiCCM imefika mahali wao kila kitu ni siasa. Nimeona watu wanapiga sana kelele sana kwenye mitandao kua uvccm ndo watafanya hili swala. Nimejiridhisha kwa [emoji817] % kuwa ndo wanapewa nafasi ya kufanya hili zoezi.
Na hii ni baada ya Mimi mwenyewe ambaye Sina chama chochote nikamfata Mtendaji Kata nahitaji nafasi na kwa kua ni jamaa angu akanambia. Fata kadi ya uanachama wa ccm uje nafasi ziko wazi.
Rushwa ni kubwa mno kwenye hili zoezi. Watu wanatoa rushwa sana lakn kipaumbele Cha kwanza ni kwa UVCCM.
Je, kulukua na haja Gani ya kuambia Watanzania kua watume maombi kumbe tayari mna majina yetu mfukoni. Na wanafanya usaili wa majina ni Mtendaji Kata ndo boss. Walimu wakuu watendaji wa mitaa/ vijiji. Kwa mfano mtaa nilipo wote waliochaguliwa Kata ya Kisesa Magu 50% wameletwa ni wagen hatujui wametoka wapi.
Kwenye hili nikagundua kua kama kawaida Yao kila sehemu ni siasa. Yafuatayo yatafanyika
1. Kupika data za uongo kwa kuonesha kiwango cha umaskini kimepungua sana nchini huku hali ni tofauti.
2 Kuonesha kiwango cha elimu kimepanda nchin. Huku hali ni tofauti.
3. Watu wengi wanapata huduma za jamii zilizoimarika. Kumbe hali ni tofauti. Na mengne mengi ya uongo kama kawaida Yao ambayo ndo jadi yao ya uongo.
Baada ya kugundua hayo. Maamuzi ya familia yangu ni kuwa hatutaweza hesabiwa wakajihesabu wenyewe na familia zao.