CCM acheni siasa kwenye suala la Sensa 2022

Mwisho wa siku utajikuta peke yako, nchi hii watu wanaongea sana matendo ni zero
Mabadiliko yanaanzia na mtu mmoja. Nyerere alianza pekeake.

Swali ni je; wewe uko tayar Kwa mabadiliko ya KIMFUMO? Jitokeze, utaona wengi wakiunga foleni. Ameeeen
 
Mabadiliko yanaanzia na mtu mmoja. Nyerere alianza pekeake.

Swali ni je; wewe uko tayar Kwa mabadiliko ya KIMFUMO? Jitokeze, utaona wengi wakiunga foleni. Ameeeen
Nyerere hakuwa wa kwanza kudai uhuru, hivyo kuna watu walianza harakati hizo Kabla yake, siwezi kuwa tayari wakati wenzangu ni makunguru
 
Kumbe uteuzi wa wahesabu umesha fanyika?
Mie maskini nilie shinda mtandaoni kujaza dodoso la kuomba nafasi nasubiri niitwe!!! Jamani!!!
 
Mwisho wa siku utajikuta peke yako, nchi hii watu wanaongea sana matendo ni zero
Mabadiliko yanaanzia na mtu mmoja. Nyerere alianza pekeake.

Swali ni je; wewe uko tayar Kwa mabadiliko ya KIMFUMO? Jitokeze, utaona wengi wakiunga foleni. Ameeee
Nyerere hakuwa wa kwanza kudai uhuru, hivyo kuna watu walianza harakati hizo Kabla yake, siwezi kuwa tayari wakati wenzangu ni makunguru
Anyway Usipoteze Tumaini au HOPE.

Makundi karibia yote ktk Nchi yameshabinywa na ukandamizaji na RUSHWA Kwa namna moja au ingine mf,

Machinga habar wanayo, wakulima vile vile, wafanyakazi umesikia, waliomaliza vyuo kutengwa na mfumo wa ajira wameguswa, wafanyabiashara ndo kabsa. Bodaboda Bei za mafuta umeona!!!

Kuna kitufe kimoja tu kimebaki wakibonyeza utaisikia "MLIO"
 
Kumbe uteuzi wa wahesabu umesha fanyika?
Mie maskini nilie shinda mtandaoni kujaza dodoso la kuomba nafasi nasubiri niitwe!!! Jamani!!!
Unaweza itwa, makanjanja wanayeyukaga kelele zikizidi.
 
Endelea na imani yako, ila nchi hii ina wapiga domo hodari, sio watendaji
 
Endelea na imani yako, ila nchi hii ina wapiga domo hodari, sio watendaji
Imani ni HAKIKA, ushiriki au usishiriki,
CCM watake au wasitake,

Tutakamilisha mchakato wa uandikwaji wa KATIBA mpya 2026.

Na Judge WARIOBA atakuwepo kuizindua.

Ameeeeen
 
Tukiwapa sapoti wataendelea kutudharau ndugu yangu na kutuona hatuna akili. Yaan wao kila kitu ni siasa wanaingiza hawana hata aibu kabisa. Ngoja wafanye tu wenyewe aisee.

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app

Kabisa, mimi nimeshasema sihesabiwi na muhuni yoyote wa CCM. Siku hiyo mimi na family tunaenda picnic.
 
Kama kweli ni hadi uwe na kadi ya chama ndio upate kazi basi hili ni jambo ovu sana
 
Ikiwa kama waliongoza kuiba uchaguzi openly mbele ya jumuiya ya kimataifa, kupika data za Sensa ni kazi nyepesi mno!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…