CCM acheni siasa kwenye suala la Sensa 2022

Imani ni HAKIKA, ushiriki au usishiriki,
CCM watake au wasitake,

Tutakamilisha mchakato wa uandikwaji wa KATIBA mpya 2026.

Na Judge WARIOBA atakuwepo kuizindua.

Ameeeeen
Mwaka 2026 sawa
 
Mtaka Cha uvunguni sharti uiname, Kama unaitaka hiyo ajira kuwa uvccm. Shida ipo wapi?
 
Hujaelewa kumbe, KATIBA mpya inakamilika kuandikwa na kuzinduliwa 2026.

Hujaona pia uchaguzi 2025 utayeyuka, tatz macho yapo yanatazama bt hayaoni.
Endelea kuota 2025 uchaguzi upo pale pale
 
Sio lazima kipengele kiwepo, unapaswa kufata mambo yanavyokwenda
Mambo yanavyokwenda kivipi?
Kulikua na shida gani kuweka kipengele cha UVCCM,kama hiyo isingeleta shida badala yake unaona barua zinaandikwa kimyakimya na kupigwa mihuri ya SIRI?
Kodi inakatwa kwa yeyote,yaani uwe CCM,CHADEMA,CHAUMA,lakini wapumbavu wachache eti wanataka kile kinachokusanywa kutoka kwa wote,kigawiwe kwa UVCCM na tusio na vyama tukose,halikadhalika wa vyama vingine wakose,huoni ni ujinga huo au wewe mwenyewe ni mjinga huoni dosari?
 
Kama huwezi kuwa uvccm, si uache hiyo ajira shida ipo wapi?
 
Nilidhani wametoa tamko la kugomea sensa kama walivyogomea uchaguzi na kujitoa kwenye bunge maalum la katiba.


Maendeleo haya chama.
 
Kama huwezi kuwa uvccm, si uache hiyo ajira shida ipo wapi?
Sidhani kama wewe ni mzima,kwanini wasingeweka kipengele cha UVCCM kama unafikiri hawakufikiri kama mimi ninavyofikiri?Unadhani ni sawa kutoa ajira kwa kuangalia uchama?Pesa zinazogawiwa kwa hao UVCCM ni kodi ya mama yangu,baba yangu,kaka zangu,dada zangu,rafiki zangu na zangu pia,kwasababu nakatwa kodi.Pesa ambayo hata ikigawiwa kwa UVCCM,siwezi kulalamika,ni ya CCM tu,nyingine lazima nionyeshe kutokufurahishwa na ugawaji wake,kwasababu ni zetu sote.
 
Yawezekana kweli, lakin mbona hizi nafasi watendaji hawajahusika nazo kabisa.???? Nomeomba na nimekosa na kuna jamaazangu wamepata japo kwa kuwa na watu wao etii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…