Uchaguzi 2020 CCM asili tunampa Lissu kura zetu

Uchaguzi 2020 CCM asili tunampa Lissu kura zetu

Nafikiri CCM ita shinda ina mtaji mkubwa vijijini ambako kuna asilimia kubwa ya Watanzania haya ni maoni yangu
[/QUOTE
Tanzania hakuna vijiji tena.mchina ameharibu kwa kuleta tecno smart phone,huko vijini zimejaa na wako updated kuliko wewe.mi mwenyewe Niko kijijini .
 
Kubaki nyuma ya ulimwengu wa kiliberali sawa lakini nimetoka Paris wiki 2 zimepita wetu wanataka JPM akawafanyizie kazi wakulima wa ngano na wafugaji. Yellow vest wanamhitaji kuliko mnavyodhani. Nyie jifurahisheni lakini mjiandae kisaikolojia
Hivi kwa akili yako anaweza toka nje ya Afrika, aende Paris wakati Afrika yenyewe baadhi ya nchi miaka yote 5 hajaenda.
 
Huo ni uwongo wa Chadema mwisho wao ni October

Hakuna Mtanzania atampigia kura msaliti wa Nchi

Pia Tanzania hatutaki ushoga,

Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
Yaani kanywe bia tu ukalale mkuu!
 
Kuna wana ccm zaid ya hamsini ninaowafahamu watampa kura Lisu
Na kuna wanachadema kibao hawamuelewi kabisa kibaraka lissu, tena walivyoambiwa kuwa mwakimpa urais wanaume wataolewa wakasema kwa wabunge sawa ila urais lissu hapana yeye na amsterdam wake.
FB_IMG_1603530172858.jpg
 
"Wakili wa Kimataifa wa Tundu Lissu Ndugu Robert Amsterdam aelezea kitakachowakuta Kenge"

Tafadhalini Ndugu zangu msikilizeni
👇
 
Hiyo mikwara muwe mnawatishia wachunga punda singida mashariki
"Wakili wa Kimataifa wa Tundu Lissu Ndugu Robert Amsterdam aelezea kitakachowakuta Kenge"

Tafadhalini Ndugu zangu msikilizeni
[emoji116]
 
Mimi ni baadhi ya wahanga wa kamati kuu. Ingawa tulishinda kwenye kura za maoni matokeo yake najina yetu yalikatwa. Nilikuwa wa kwanza lakini baadae niliondolewa. Nilipohoji niliambiwa ntapigwa money laundering. Nikaufyata. Ila kwa kweli tuna jambo let tarehe 28 Oktoba.

Tuko wengi. Rafiki yangu ni katibu wa CCM mkoa, naye ana lake jambo 28 October. Yeye alimchangia Lissu laki 5 na mgombea ubunge laki moja. Tunaonekana kijani, lakini mioyoni tuna jambo let. Wana CCM wenzangu, CCM asili, fanyeni kweli tarehe 28 October.

Tugawane mbao na hawa CCM mpya. Kura kwa Lissu
Yanini kutueleza wakati kura ni siri
 
Back
Top Bottom