Vipi na izo ni uongo wa chadema.
Ila hakuna Rais muongo duniani Kama Jiwe anakula matapishi yake mchana kweupeView attachment 1610900View attachment 1610901
Una washwa pahali mtafute Gwajima akukuneChadema mtatengeneza kila uongo ila haitawasaidia
Zote? Mbona hata kura za wengine unazipangia wewe 🤠Sasa usicho kijua kura zote zinaenda kwake,jiandaeni kwa aibu ya makarne,bora ingekuwa moja ila nyingi.
Hujitambui, challenge ya mwaka 2015 ni mara 3 mwaka huu 2025We mkikukuyu kapambane na ukabila kenya kwanza
Lissu tumempa chalenj akipata kura laki tano yeye ni kidume
Nafikiri CCM ita shinda ina mtaji mkubwa vijijini ambako kuna asilimia kubwa ya Watanzania haya ni maoni yangu
[/QUOTE
Tanzania hakuna vijiji tena.mchina ameharibu kwa kuleta tecno smart phone,huko vijini zimejaa na wako updated kuliko wewe.mi mwenyewe Niko kijijini .
Hivi kwa akili yako anaweza toka nje ya Afrika, aende Paris wakati Afrika yenyewe baadhi ya nchi miaka yote 5 hajaenda.Kubaki nyuma ya ulimwengu wa kiliberali sawa lakini nimetoka Paris wiki 2 zimepita wetu wanataka JPM akawafanyizie kazi wakulima wa ngano na wafugaji. Yellow vest wanamhitaji kuliko mnavyodhani. Nyie jifurahisheni lakini mjiandae kisaikolojia
Hujitambui, challenge ya mwaka 2015 ni mara 3 mwaka huu 2025
Mkuu unatuahibisha watanzania kwa namna unavyojibu hoja zako......Mliyataka wenyewe kumkaribisha msaliti wa Nchi sasa amewaharia chama
Mkuu unatuahibisha watanzania kwa namna unavyojibu hoja zako......
Tafuta muda mzuri ujitafari
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Ana Passport moja?😳😳😳😳 Wamekwiba password ya huyu Mkuu.
Ana Passport moja?
Yaani kanywe bia tu ukalale mkuu!Huo ni uwongo wa Chadema mwisho wao ni October
Hakuna Mtanzania atampigia kura msaliti wa Nchi
Pia Tanzania hatutaki ushoga,
Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
Amewakomesha au amejikomesha.Maana hata walionunuliwa waweza kutompiga kuraUmechelewa
Ccm wanafiki wote mmetolewa
Mlizoea kuishi kwa unafiki ndani ya ccm JPM amewakomesha
Na kuna wanachadema kibao hawamuelewi kabisa kibaraka lissu, tena walivyoambiwa kuwa mwakimpa urais wanaume wataolewa wakasema kwa wabunge sawa ila urais lissu hapana yeye na amsterdam wake.Kuna wana ccm zaid ya hamsini ninaowafahamu watampa kura Lisu
"Wakili wa Kimataifa wa Tundu Lissu Ndugu Robert Amsterdam aelezea kitakachowakuta Kenge"
Tafadhalini Ndugu zangu msikilizeni
[emoji116]
Kijana acha kujiaibisha wakati wa saa ya ukomboziHiyo mikwara muwe mnawatishia wachunga punda singida mashariki
Yanini kutueleza wakati kura ni siriMimi ni baadhi ya wahanga wa kamati kuu. Ingawa tulishinda kwenye kura za maoni matokeo yake najina yetu yalikatwa. Nilikuwa wa kwanza lakini baadae niliondolewa. Nilipohoji niliambiwa ntapigwa money laundering. Nikaufyata. Ila kwa kweli tuna jambo let tarehe 28 Oktoba.
Tuko wengi. Rafiki yangu ni katibu wa CCM mkoa, naye ana lake jambo 28 October. Yeye alimchangia Lissu laki 5 na mgombea ubunge laki moja. Tunaonekana kijani, lakini mioyoni tuna jambo let. Wana CCM wenzangu, CCM asili, fanyeni kweli tarehe 28 October.
Tugawane mbao na hawa CCM mpya. Kura kwa Lissu
Kijana acha kujiaibisha wakati wa saa ya ukombozi
Bora mkuu.maana ingepotea bure.Kwa heshma ya Sheikh wangu Ponda Issa Ponda, sitopiga kura mwaka huu japo roho inaniuma