Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
- Thread starter
-
- #21
Tupo wengi. Kwani tu inaanzia wangapi dogo?Sema unamuunga wewe si tuna, usiseme wengine
gentleman,Tupo wengi. Kwani tu inaanzia wangapi dogo?
ChoiceVariable
Malaria 2
Lucas Mwashambwa
Tlaatlaah
Ritz
Wote sisi tunamuunga mkono Mbowe na hatumtaki Lissu awe Mwenyekiti.
Kwa uchambuzi wako mwana CCM mwenzangu. Nani anawafaa CDM. kati ya Mbowe na Lissu?gentleman,
wengine ni wachambuzi wabobevu waandamizi wa siasa za vyama ndrugu zango,
msichanganye mambo 🐒
Kama umeusoma huu uzi wote nakumaliza fumba macho tuombeNdiyo. Hatumtaki Lissu CHADEMA sababu Lissu atakiua chama.na Lissu ataleta migogoro CHADEMA. Sisi CCM Tukifikiria hilo tunaona si sawa. Si jambo jema.
Kama nasi tutaruhusiwa kupiga kura basi tutamchagua Mbowe. Na tumeshaelekezana kuwa KAMANDA ANATOSHA. TUNAENDA NA MWAMBA.
Lissu ni mtu asiyefaa kuwa kiongozi. Huwa anaongea kile anachoamini haijalishi nyie mtajisikiaje. Kisha Lissu hana pesa. Mbangaizaji tu. Mbowe ni Billionea. Ana pesa Mbwa haruki. Lissu hana kitu. Anabangaiza tu.
Soma Pia: Wanachama, Viongozi CHADEMA wagawanyika kambi tofauti, hofu ya mpasuko yaongezeka
CCM Tunataka CHADEMA iwe na uongozi mzuri. Tunamtaka Mbowe na Wenje. Hawa ni viongozi wanaofaa sana. Hawa ndo wataivukisha Chadema. Hata Urais tunataka agombee Mbowe. Mbowe ndo anaweza mshinda Samia. Lissu hawezi mshinda Samia. Acheni kuwaza ujinga.
Mbowe ni mwanademokrasia anakifahamu chama ndani nje. Amekilea. Na bila yeye Chadema kitakufa. Nawaambia hivi. Ukisoma nyuzi za sisi wana CCM humu za kumponda Lissu ni nyingi kuliko za kumsifia Samia. Sababu tumeona Mbowe anafaa sana.
nadhan wenyeviti wa kanda walishaonyesha uelekeo kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa kuufwata,Kwa uchambuzi wako mwana CCM mwenzangu. Nani anawafaa CDM. kati ya Mbowe na Lissu?
Ndege wa rangi moja huruka pamoja. Mbowe na ccm wote madikteta wajingaNdiyo. Hatumtaki Lissu CHADEMA sababu Lissu atakiua chama.na Lissu ataleta migogoro CHADEMA. Sisi CCM Tukifikiria hilo tunaona si sawa. Si jambo jema.
Kama nasi tutaruhusiwa kupiga kura basi tutamchagua Mbowe. Na tumeshaelekezana kuwa KAMANDA ANATOSHA. TUNAENDA NA MWAMBA.
Lissu ni mtu asiyefaa kuwa kiongozi. Huwa anaongea kile anachoamini haijalishi nyie mtajisikiaje. Kisha Lissu hana pesa. Mbangaizaji tu. Mbowe ni Billionea. Ana pesa Mbwa haruki. Lissu hana kitu. Anabangaiza tu.
Soma Pia: Wanachama, Viongozi CHADEMA wagawanyika kambi tofauti, hofu ya mpasuko yaongezeka
CCM Tunataka CHADEMA iwe na uongozi mzuri. Tunamtaka Mbowe na Wenje. Hawa ni viongozi wanaofaa sana. Hawa ndo wataivukisha Chadema. Hata Urais tunataka agombee Mbowe. Mbowe ndo anaweza mshinda Samia. Lissu hawezi mshinda Samia. Acheni kuwaza ujinga.
Mbowe ni mwanademokrasia anakifahamu chama ndani nje. Amekilea. Na bila yeye Chadema kitakufa. Nawaambia hivi. Ukisoma nyuzi za sisi wana CCM humu za kumponda Lissu ni nyingi kuliko za kumsifia Samia. Sababu tumeona Mbowe anafaa sana.
Na pia Kuna Wana ccm wanamtaka kibaraka Lisu eg Slaa,Msigwa nkTupo wengi. Kwani tu inaanzia wangapi dogo?
ChoiceVariable
Malaria 2
Lucas Mwashambwa
Tlaatlaah
Ritz
Wote sisi tunamuunga mkono Mbowe na hatumtaki Lissu awe Mwenyekiti.
Msigwa kibaraka tena? Wa cdm? Kumbuka yupo kwetu. CCM hawamtaki Lissu kabisa. Nawe unajua hilo nyuzi zako zimo humu ni Shahid. Lissu hafai nawe umerudia rudia mara nyingi.Na pia Kuna Wana ccm wanamtaka kibaraka Lisu eg Slaa,Msigwa nk
Elewa maelezo Wacha kukirupukaMsigwa kibaraka tena? Wa cdm? Kumbuka yupo kwetu. CCM hawamtaki Lissu kabisa. Nawe unajua hilo nyuzi zako zimo humu ni Shahid. Lissu hafai nawe umerudia rudia mara nyingi.
Sasa mbona kama wewe ndo umekurupuka? Umesoma ulichoandika? Usipaniki. Tuendelee kumpiga spana Lissu mpaka ateme bungo.Elewa maelezo Wacha kukirupuka
Umeshaifungua codeHi code imekaa kimkakati sana
Yeah, tayari kakaUmeshaifungua code
Mtu mwenye sifa ya kupenda rushwa ataleta tofauti gani na CCM?Ndiyo. Hatumtaki Lissu CHADEMA sababu Lissu atakiua chama.na Lissu ataleta migogoro CHADEMA. Sisi CCM Tukifikiria hilo tunaona si sawa. Si jambo jema.
Kama nasi tutaruhusiwa kupiga kura basi tutamchagua Mbowe. Na tumeshaelekezana kuwa KAMANDA ANATOSHA. TUNAENDA NA MWAMBA.
Lissu ni mtu asiyefaa kuwa kiongozi. Huwa anaongea kile anachoamini haijalishi nyie mtajisikiaje. Kisha Lissu hana pesa. Mbangaizaji tu. Mbowe ni Billionea. Ana pesa Mbwa haruki. Lissu hana kitu. Anabangaiza tu.
Soma Pia: Wanachama, Viongozi CHADEMA wagawanyika kambi tofauti, hofu ya mpasuko yaongezeka
CCM Tunataka CHADEMA iwe na uongozi mzuri. Tunamtaka Mbowe na Wenje. Hawa ni viongozi wanaofaa sana. Hawa ndo wataivukisha Chadema. Hata Urais tunataka agombee Mbowe. Mbowe ndo anaweza mshinda Samia. Lissu hawezi mshinda Samia. Acheni kuwaza ujinga.
Mbowe ni mwanademokrasia anakifahamu chama ndani nje. Amekilea. Na bila yeye Chadema kitakufa. Nawaambia hivi. Ukisoma nyuzi za sisi wana CCM humu za kumponda Lissu ni nyingi kuliko za kumsifia Samia. Sababu tumeona Mbowe anafaa sana.
Chama kinatakiwa kuwa na Mwenyekiti mwenye pesa.Mtu mwenye sifa ya kupenda rushwa ataleta tofauti gani na CCM?
Hamna mwenyekiti wa Chama asiye na pesa kwa sasa ila shida ni ulafi. Hatuitaji mtu mlafi asiyetoshekaChama kinatakiwa kuwa na Mwenyekiti mwenye pesa.
Hahahahaahahaha HEBU ncheke mieNdiyo. Hatumtaki Lissu CHADEMA sababu Lissu atakiua chama.na Lissu ataleta migogoro CHADEMA. Sisi CCM Tukifikiria hilo tunaona si sawa. Si jambo jema.
Kama nasi tutaruhusiwa kupiga kura basi tutamchagua Mbowe. Na tumeshaelekezana kuwa KAMANDA ANATOSHA. TUNAENDA NA MWAMBA.
Lissu ni mtu asiyefaa kuwa kiongozi. Huwa anaongea kile anachoamini haijalishi nyie mtajisikiaje. Kisha Lissu hana pesa. Mbangaizaji tu. Mbowe ni Billionea. Ana pesa Mbwa haruki. Lissu hana kitu. Anabangaiza tu.
Soma Pia: Wanachama, Viongozi CHADEMA wagawanyika kambi tofauti, hofu ya mpasuko yaongezeka
CCM Tunataka CHADEMA iwe na uongozi mzuri. Tunamtaka Mbowe na Wenje. Hawa ni viongozi wanaofaa sana. Hawa ndo wataivukisha Chadema. Hata Urais tunataka agombee Mbowe. Mbowe ndo anaweza mshinda Samia. Lissu hawezi mshinda Samia. Acheni kuwaza ujinga.
Mbowe ni mwanademokrasia anakifahamu chama ndani nje. Amekilea. Na bila yeye Chadema kitakufa. Nawaambia hivi. Ukisoma nyuzi za sisi wana CCM humu za kumponda Lissu ni nyingi kuliko za kumsifia Samia. Sababu tumeona Mbowe anafaa sana.
Maccm tupu na yeye ni ccm mtupuThe the the the theeView attachment 3194697
Kaisemee ccm mkuuu chadema soTupo wengi. Kwani tu inaanzia wangapi dogo?