Pre GE2025 CCM asilimia 95 tunamuunga Mkono Mbowe. Hatumtaki Lissu. Tunataka Mbowe agombee na Urais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Acheni kutafuta huruma, kwamba akishindwa mseme sisiemu imemsaidia Mbowe
 
Ndiyo. Hatumtaki Lissu CHADEMA sababu Lissu atakiua chama.na Lissu ataleta migogoro CHADEMA. Sisi CCM Tukifikiria hilo tunaona si sawa. Si jambo jema.

Kama nasi tutaruhusiwa kupiga kura basi tutamchagua Mbowe. Na tumeshaelekezana kuwa KAMANDA ANATOSHA. TUNAENDA NA MWAMBA.

Lissu ni mtu asiyefaa kuwa kiongozi. Huwa anaongea kile anachoamini haijalishi nyie mtajisikiaje. Kisha Lissu hana pesa. Mbangaizaji tu. Mbowe ni Billionea. Ana pesa Mbwa haruki. Lissu hana kitu. Anabangaiza tu.

Soma Pia: Wanachama, Viongozi CHADEMA wagawanyika kambi tofauti, hofu ya mpasuko yaongezeka

CCM Tunataka CHADEMA iwe na uongozi mzuri. Tunamtaka Mbowe na Wenje. Hawa ni viongozi wanaofaa sana. Hawa ndo wataivukisha Chadema. Hata Urais tunataka agombee Mbowe. Mbowe ndo anaweza mshinda Samia. Lissu hawezi mshinda Samia. Acheni kuwaza ujinga.

Mbowe ni mwanademokrasia anakifahamu chama ndani nje. Amekilea. Na bila yeye Chadema kitakufa. Nawaambia hivi. Ukisoma nyuzi za sisi wana CCM humu za kumponda Lissu ni nyingi kuliko za kumsifia Samia. Sababu tumeona Mbowe anafaa sana.
Kama umeusoma huu uzi wote nakumaliza fumba macho tuombe
 
Kwa uchambuzi wako mwana CCM mwenzangu. Nani anawafaa CDM. kati ya Mbowe na Lissu?
nadhan wenyeviti wa kanda walishaonyesha uelekeo kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa kuufwata,

ni muhimu kusubiri matokeo ya uchaguzi 🐒
 
Nd
Ndiyo. Hatumtaki Lissu CHADEMA sababu Lissu atakiua chama.na Lissu ataleta migogoro CHADEMA. Sisi CCM Tukifikiria hilo tunaona si sawa. Si jambo jema.

Kama nasi tutaruhusiwa kupiga kura basi tutamchagua Mbowe. Na tumeshaelekezana kuwa KAMANDA ANATOSHA. TUNAENDA NA MWAMBA.

Lissu ni mtu asiyefaa kuwa kiongozi. Huwa anaongea kile anachoamini haijalishi nyie mtajisikiaje. Kisha Lissu hana pesa. Mbangaizaji tu. Mbowe ni Billionea. Ana pesa Mbwa haruki. Lissu hana kitu. Anabangaiza tu.

Soma Pia: Wanachama, Viongozi CHADEMA wagawanyika kambi tofauti, hofu ya mpasuko yaongezeka

CCM Tunataka CHADEMA iwe na uongozi mzuri. Tunamtaka Mbowe na Wenje. Hawa ni viongozi wanaofaa sana. Hawa ndo wataivukisha Chadema. Hata Urais tunataka agombee Mbowe. Mbowe ndo anaweza mshinda Samia. Lissu hawezi mshinda Samia. Acheni kuwaza ujinga.

Mbowe ni mwanademokrasia anakifahamu chama ndani nje. Amekilea. Na bila yeye Chadema kitakufa. Nawaambia hivi. Ukisoma nyuzi za sisi wana CCM humu za kumponda Lissu ni nyingi kuliko za kumsifia Samia. Sababu tumeona Mbowe anafaa sana.
Ndege wa rangi moja huruka pamoja. Mbowe na ccm wote madikteta wajinga
 
Na pia Kuna Wana ccm wanamtaka kibaraka Lisu eg Slaa,Msigwa nk
Msigwa kibaraka tena? Wa cdm? Kumbuka yupo kwetu. CCM hawamtaki Lissu kabisa. Nawe unajua hilo nyuzi zako zimo humu ni Shahid. Lissu hafai nawe umerudia rudia mara nyingi.
 
Ndiyo. Hatumtaki Lissu CHADEMA sababu Lissu atakiua chama.na Lissu ataleta migogoro CHADEMA. Sisi CCM Tukifikiria hilo tunaona si sawa. Si jambo jema.

Kama nasi tutaruhusiwa kupiga kura basi tutamchagua Mbowe. Na tumeshaelekezana kuwa KAMANDA ANATOSHA. TUNAENDA NA MWAMBA.

Lissu ni mtu asiyefaa kuwa kiongozi. Huwa anaongea kile anachoamini haijalishi nyie mtajisikiaje. Kisha Lissu hana pesa. Mbangaizaji tu. Mbowe ni Billionea. Ana pesa Mbwa haruki. Lissu hana kitu. Anabangaiza tu.

Soma Pia: Wanachama, Viongozi CHADEMA wagawanyika kambi tofauti, hofu ya mpasuko yaongezeka

CCM Tunataka CHADEMA iwe na uongozi mzuri. Tunamtaka Mbowe na Wenje. Hawa ni viongozi wanaofaa sana. Hawa ndo wataivukisha Chadema. Hata Urais tunataka agombee Mbowe. Mbowe ndo anaweza mshinda Samia. Lissu hawezi mshinda Samia. Acheni kuwaza ujinga.

Mbowe ni mwanademokrasia anakifahamu chama ndani nje. Amekilea. Na bila yeye Chadema kitakufa. Nawaambia hivi. Ukisoma nyuzi za sisi wana CCM humu za kumponda Lissu ni nyingi kuliko za kumsifia Samia. Sababu tumeona Mbowe anafaa sana.
Mtu mwenye sifa ya kupenda rushwa ataleta tofauti gani na CCM?
 
Huyu mwamba kacheza na fasihi lakini kuna watu hawajamwelewa.... Ni mwendo wa satire & irony
 
Ndiyo. Hatumtaki Lissu CHADEMA sababu Lissu atakiua chama.na Lissu ataleta migogoro CHADEMA. Sisi CCM Tukifikiria hilo tunaona si sawa. Si jambo jema.

Kama nasi tutaruhusiwa kupiga kura basi tutamchagua Mbowe. Na tumeshaelekezana kuwa KAMANDA ANATOSHA. TUNAENDA NA MWAMBA.

Lissu ni mtu asiyefaa kuwa kiongozi. Huwa anaongea kile anachoamini haijalishi nyie mtajisikiaje. Kisha Lissu hana pesa. Mbangaizaji tu. Mbowe ni Billionea. Ana pesa Mbwa haruki. Lissu hana kitu. Anabangaiza tu.

Soma Pia: Wanachama, Viongozi CHADEMA wagawanyika kambi tofauti, hofu ya mpasuko yaongezeka

CCM Tunataka CHADEMA iwe na uongozi mzuri. Tunamtaka Mbowe na Wenje. Hawa ni viongozi wanaofaa sana. Hawa ndo wataivukisha Chadema. Hata Urais tunataka agombee Mbowe. Mbowe ndo anaweza mshinda Samia. Lissu hawezi mshinda Samia. Acheni kuwaza ujinga.

Mbowe ni mwanademokrasia anakifahamu chama ndani nje. Amekilea. Na bila yeye Chadema kitakufa. Nawaambia hivi. Ukisoma nyuzi za sisi wana CCM humu za kumponda Lissu ni nyingi kuliko za kumsifia Samia. Sababu tumeona Mbowe anafaa sana.
Hahahahaahahaha HEBU ncheke mie
 
Back
Top Bottom