Uchaguzi 2020 CCM bado imekumbatia mfumo dume? Kati ya majimbo 200+ ni wanawake 14 tu ndo wamepenya kugombea Ubunge

Uchaguzi 2020 CCM bado imekumbatia mfumo dume? Kati ya majimbo 200+ ni wanawake 14 tu ndo wamepenya kugombea Ubunge

Course Coordinator

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2019
Posts
1,742
Reaction score
3,224
CCM ya Meko sio rafiki kwa akina mama .
1. Ummy
2. Gekul
3. Ndalichako
4. Stella Manyanya
5. Doroth Kilave
6. Jesca Msamvatavangu
7. Hamida
8. Salma Kikwete
9. Jenister
10. Leah Komanya
11.Tulia
12. Anne Kilango
13.Bonna Kamoli
14.Angelina Mabula

Hakika inasikitisha CCM badilikeni. Wapeni akina mama nafasi.
 
Si bure sasa CHADEMA na BAWACHA wamekubaliwa na wanawake wa Tanzania na wengi kushabikia, kuomba uteuzi na kugombea kupitia chama hiki cha demokrasia na maendeleo ya watu na vitu.

Hongereni kina mama kukubali mabadiliko ya kweli kwa waTanzania wote yatapatikana kupitia CHADEMA na mtafanya ushawishi familia zenu pia kuipigia CHADEMA.

Aiyaya CHADEMA kina Mama Wote Aiyaya CHADEMA

Kipande kirefu cha wimbo wa kuhamashisha wote twende na CHADEMA
 
mbona sijamwona tulia ackson kwenye hiyo list,vipi maalum kuna wanaume? Fikiria kabla ya kupost
 
CCM ya Meko sio rafiki kwa akina mama .
1.Ummy
2.Gekul
3.Ndalichako
4.Stella Manyanya
5.Doroth Kilave
6.Jesca Msamvatavangu
7.Hamida
8.Salma Kikwete
9.Jenister
10.Leah Komanya
12.Anne Kilango

Hakika inasikitisha CCM badilikeni. Wapenzi akina mama nafasi..
Tunachoangalia ni uwezo wa mtu sio jinsia ya mtu,
Ebu acheni propaganda za kibeberu za usawa wa kijinsia
 
Back
Top Bottom