Uchaguzi 2020 CCM bado imekumbatia mfumo dume? Kati ya majimbo 200+ ni wanawake 14 tu ndo wamepenya kugombea Ubunge

Uchaguzi 2020 CCM bado imekumbatia mfumo dume? Kati ya majimbo 200+ ni wanawake 14 tu ndo wamepenya kugombea Ubunge

Wana
Wazee (76%) wana uwezekano mkubwa wa kusema wapo karibu na CCM kuliko vijana (49%); wanawake (63%) wapo karibu zaidi na CCM kuliko wanaume (53%); na wasio na elimu (66%) wapo karibu zaida na chama tawala kuliko wenye elimu ya juu (46%).
Tunachoangalia ni uwezo wa mtu sio jinsia ya mtu,
Ebu acheni propaganda za kibeberu za usawa wa kijinsia
Wanawake 63% na wanaume 53% nchi ina watu asililimia ngapi kwa pamoja?? Uvccm hizo hela mnazokula zitendeeni haki japo kidogo.

Ndio maana jpm awamu iliyopita aliamua kuteua vijana wa bavicha akawapa shavu akayaacha mandunguyeye ya uvccm.
 
Nadhani kinacho maanishwa ni asilimia 63 ya wanawake wote na asilimia 53 ya wanaume wote.
 
20 Agosti 2020
Dodoma, Tanzania

Polepole akicheza mazingaombwe ya Profesa Acabragada kiini-macho cha kina- Mama wapo mbele CCM Mpya

Cheki viongozi wa CCM Mpya wanavyoweka taswira kuwa kina mama ni sehemu ya kufanya maamuzi kupitia ubunge
 
Nimesikitika mbunge wa korogwe ambae ndio alikuwa atete jimbo tena na kuongoza kura za maoni ila still amekatwa Mama Mary Chatanda
 
21 Agosti 2020
Shinyanga, Tanzania

SALOME MAKAMBA AMKABA KOO MKURUGENZI WA UCHAGUZI SHINYANGA MJINI

Mbunge anajitaji wadhamini thelathini na moja (31) , hivyo Salome Makamba amewaomba madiwani wateuliwa wa CHADEMA wacheze kama timu kuhakikisha mbunge na madiwani wanashiriki ktk kinyangario hicho na kuibuka washindi ili wakawatumikie wananchi wa Shinyanga mjini.
Source: CHADEMA MEDIA TV
 
CCM ya Meko sio rafiki kwa akina mama .
1. Ummy
2. Gekul
3. Ndalichako
4. Stella Manyanya
5. Doroth Kilave
6. Jesca Msamvatavangu
7. Hamida
8. Salma Kikwete
9. Jenister
10. Leah Komanya
12. Anne Kilango

Hakika inasikitisha CCM badilikeni. Wapenzi akina mama nafasi..
Wapo wengine ambao umewasahau km Hawa Ghasia, Bonna Karua nk. Hata hivyo kati ya 10,000 waliojitokeza kwenye kura ya maoni hawakufikia hata 400, sasa wawalazimishe?
 
CCM ya Meko sio rafiki kwa akina mama .
1. Ummy
2. Gekul
3. Ndalichako
4. Stella Manyanya
5. Doroth Kilave
6. Jesca Msamvatavangu
7. Hamida
8. Salma Kikwete
9. Jenister
10. Leah Komanya
12. Anne Kilango

Hakika inasikitisha CCM badilikeni. Wapenzi akina mama nafasi..
Kama wengine walikimbilia viti maalum tuwafanyaje?
Sisi ccm tuliweka uwanja sawa,hatuwezi kulazimisha wajumbe wachague mtu kisa Ni mwanamke
 
Agosti 2020
Mpanda mjini
Katavi, Tanzania

CHADEMA YAWEKA HISTORIA

Rhoda Kunchela anayewania nafasi ya Ubunge kupitia Chadema jimbo la Mpanda mjini amechukua fomu hiyo Leo Aug 15,2020 na kueleza mambo yaliyopeleka aingie katika kinyang'anyiro hicho kuwa ni kudhibiti matumizi mabaya ya fedha zinazotokana na michango ya kodi za wananchi
 
Kanda ya CHADEMA Serengeti, Esther Matiko atoa taarifa ya uhai wa chama na hali ya kisiasa

Nimesikitika mbunge wa korogwe ambae ndio alikuwa atete jimbo tena na kuongoza kura za maoni ila still amekatwa Mama Mary Chatanda

Wengine wanavuna mambo ambayo waliyapandaga huko nyuma!

Huyu ni yule ambae Miaka michache ilopita alifanyaga figisu za kisiasa zidi ya upinzani au siyo labda majina yanakaribia kufanana?!
 
Agosti 2020
Mpanda mjini
Katavi, Tanzania

CHADEMA YAWEKA HISTORIA

Rhoda Kunchela anayewania nafasi ya Ubunge kupitia Chadema jimbo la Mpanda mjini amechukua fomu hiyo Leo Aug 15,2020 na kueleza mambo yaliyopeleka aingie katika kinyang'anyiro hicho kuwa ni kudhibiti matumizi mabaya ya fedha zinazotokana na michango ya kodi za wananchi

Rhoda amegonga penyewe. Hii jpm hachomoki. Ajira, fedha, uchumi, haki na uhuru.
 
Mtama, Lindi
Tanzania

CHADEMA KANDA YA KUSINI
Jeshi la kina mama wa CHADEMA jimbo la Mtama Lindi

Source : CHADEMA MEDIA TV
 
Wengine wanavuna mambo ambayo waliyapandaga huko nyuma!

Huyu ni yule ambae Miaka michache ilopita alifanyaga figisu za kisiasa zidi ya upinzani au siyo labda majina yanakaribia kufanana?!
Laana inawatafuna
 
CCM ya Meko sio rafiki kwa akina mama .
1. Ummy
2. Gekul
3. Ndalichako
4. Stella Manyanya
5. Doroth Kilave
6. Jesca Msamvatavangu
7. Hamida
8. Salma Kikwete
9. Jenister
10. Leah Komanya
12. Anne Kilango

Hakika inasikitisha CCM badilikeni. Wapenzi akina mama nafasi..
Hata US ambao wamesonga katika haya mambo wabunge wanawake hawafiki robo ya wabunge wote. Wengine tungependa sheria zirekebishwe ili kuondoa hawa viti maalum tubaki na wabunge wa majimbo tu.
 
Back
Top Bottom