Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namba 1,2,3,4,8,9,11,12 na 14 zifanyie uchunguzi, ni vifaa vya wakubwa.CCM ya Meko sio rafiki kwa akina mama .
1. Ummy
2. Gekul
3. Ndalichako
4. Stella Manyanya
5. Doroth Kilave
6. Jesca Msamvatavangu
7. Hamida
8. Salma Kikwete
9. Jenister
10. Leah Komanya
11.Tulia
12. Anne Kilango
13.Bonna Kamoli
14.Angelina Mabula
Hakika inasikitisha CCM badilikeni. Wapeni akina mama nafasi.