Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,037
Tena mbaya zaidi Kuna akinamama walioshinda kura za maoni , halafu majina yakakatwa bila aibu yakapitishwa madume yenye ndevu Mpaka shingoni na puani mengine Yana ndevu Mpaka kwenye ulimi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkeo hakutoa nia yawezekana angekuwa wa 15CCM ya Meko sio rafiki kwa akina mama .
1. Ummy
2. Gekul
3. Ndalichako
4. Stella Manyanya
5. Doroth Kilave
6. Jesca Msamvatavangu
7. Hamida
8. Salma Kikwete
9. Jenister
10. Leah Komanya
11.Tulia
12. Anne Kilango
13.Bonna Kamoli
14.Angelina Mabula
Hakika inasikitisha CCM badilikeni. Wapeni akina mama nafasi.
Baadae utasikia wanaliwa na mwenyekiti, hao ndio zao.Hapana aisee mbona CDM wamepita 68 kwani huko hakuna viti maalum.
CCM ya Meko sio rafiki kwa akina mama .
1. Ummy
2. Gekul
3. Ndalichako
4. Stella Manyanya
5. Doroth Kilave
6. Jesca Msamvatavangu
7. Hamida
8. Salma Kikwete
9. Jenister
10. Leah Komanya
11.Tulia
12. Anne Kilango
13.Bonna Kamoli
14.Angelina Mabula
Hakika inasikitisha CCM badilikeni. Wapeni akina mama nafasi.
Mwenyekiti kila siku anawatolea mfano wa vitoeo vya wanaume mama zetu, JK alikuwa na mfumo mzuri sana wa kuwezesha wanawake.CCM ya Meko sio rafiki kwa akina mama .
1. Ummy
2. Gekul
3. Ndalichako
4. Stella Manyanya
5. Doroth Kilave
6. Jesca Msamvatavangu
7. Hamida
8. Salma Kikwete
9. Jenister
10. Leah Komanya
11.Tulia
12. Anne Kilango
13.Bonna Kamoli
14.Angelina Mabula
Hakika inasikitisha CCM badilikeni. Wapeni akina mama nafasi.
Gekul anauwezo gani?Tunachoangalia ni uwezo wa mtu sio jinsia ya mtu,
Ebu acheni propaganda za kibeberu za usawa wa kijinsia