Uchaguzi 2020 CCM bado imekumbatia mfumo dume? Kati ya majimbo 200+ ni wanawake 14 tu ndo wamepenya kugombea Ubunge

Uchaguzi 2020 CCM bado imekumbatia mfumo dume? Kati ya majimbo 200+ ni wanawake 14 tu ndo wamepenya kugombea Ubunge

08 September 2020
Bunda, Tanzania

Mgombea Ubunge 2020 kupitia CHADEMA Jimbo la Bunda Mjini Ester Bulaya



Mgombea Ubunge kupitia CHADEMA Jimbo la Bunda Mjini Ester Bulaya amesema kuwa maendeleo aliyowafanyia wananchi wake ni kwa ushirikiano wa Zury Nanji maarufu (Mwanza Huduma) anashangaa CCM kumkata jina na kumpa mtu ambaye hauziki
 
Mgombea ubunge kupitia CHADEMA jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam Halima James Mdee katika kampeni za Uchaguzi Mkuu 2020

 
CCM ya Meko sio rafiki kwa akina mama .
1. Ummy
2. Gekul
3. Ndalichako
4. Stella Manyanya
5. Doroth Kilave
6. Jesca Msamvatavangu
7. Hamida
8. Salma Kikwete
9. Jenister
10. Leah Komanya
11.Tulia
12. Anne Kilango
13.Bonna Kamoli
14.Angelina Mabula

Hakika inasikitisha CCM badilikeni. Wapeni akina mama nafasi.
Mkeo hakutoa nia yawezekana angekuwa wa 15
 
8 September 2020
Tunduma, Tanzania

Ushuhuda wa mizizi imara ya CHADEMA kuwepo Chato, Geita waelezwa leo Tunduma



Salama za mshikamano toka Geita, Shinyanga na Mwanza zawakilishwa mjini Tunduma. Maendeleo ya Vitu Chato kama kiwanja cha ndege yapo lakini watu upande wa Maendeleo ya Watu wapo hali zao ni mbaya hakuna huduma ya maji n.k kina mama na familia zao wanaumia.
 
10 September 2020
Geita, Tanzania


Mgombea wa jimbo la Geita mjini Upendo Peneza kupitia CHADEMA anaendelea na kampeni za kuomba ridhaa achaguliwe kwenda kuwawakilisha wanaGeita bungeni mjini Dodoma.
 
CCM ya Meko sio rafiki kwa akina mama .
1. Ummy
2. Gekul
3. Ndalichako
4. Stella Manyanya
5. Doroth Kilave
6. Jesca Msamvatavangu
7. Hamida
8. Salma Kikwete
9. Jenister
10. Leah Komanya
11.Tulia
12. Anne Kilango
13.Bonna Kamoli
14.Angelina Mabula

Hakika inasikitisha CCM badilikeni. Wapeni akina mama nafasi.

Mhh
CCM imejitahidi sana kwa wanawake wa majimbo ingawa bado hawatoshi
Hapo simuoni
1.Hawa Ghasia-Mtwara Vijijini
2.Anna Lupembe -Mlele
3.Dr N/W Fedha-Kondoa
4.ZNZ wapo pia
 
16 September 2020

Kampeni za mgombea Salome Makamba

Salome Makamba mgombea ubunge tiketi ya chama CHADEMA jimbo la Shinyanga

 
17 September 2020
Shinyanga, Tanzania

CHADEMA : HAKUNA ZAHANATI WALA KITUO CHA AFYA KILICHOJENGWA CHINI YA CCM, HIVYO CHADEMA 2020 INACHUKUA JIMBO KULETA MAENDELEO YA WATU


Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Wilaya ya Kahama Mkoani Shinyanga Bw. Juma Protase Ntaimpera Azungumzia Uchaguzi mkuu na kuweka wazi vipaumbele vya Chama chake CHADEMA. Mfumo wa CCM Mpya kuwasahau mama na mtoto katika masuala ya huduma za afya unahitaji ufumbuzi kwa CHADEMA kuingia madarakani kurekebisha hali hiyo .
 
18 September 2020
Tanga, Tanzania

QUEEN SENDIGA MGOMBEA URAIS 2020 WA CHAMA CHA ADC "TUTAZALISHA AJIRA MILIONI 10 NDANI YA MIAKA MITANO"


Kauli mbiu ya chama ni Maisha Bora Kwa Wote. Mgombea huyo yupo katika ziara ya siku sita. Kabla ya hapo alikuwa kisiwani Zanzibar akipiga kampeni ya 2020. Utaratibu wa chama ni kuwafuata wapiga kura maeneo ya shughuli zao badala ya kuwaita katika mikutano mikubwa.
 
Chitete, Momba
Songwe
Tanzania

MH. NEEMA VICTOR CHISANGA MGOMBEA UBUNGE 2020 JIMBO LA MOMBA KWA TIKETI YA CHADEMA

Neema Victor Chisanga akizungumzia kuhusu ukulima na ufugaji wakati wa kumkaribisha mgombea urais Tundu Lissu
 
Sengerema, Mwanza
Tanzania

Mgombea ubunge Victoria Ndabatangile



Mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika jimbo la Sengerema ubunge mkoani Mwanza, Victoria Ndabatangile amehimiza Uchaguzi Mkuu 2020 kuwa wa Haki hatua itakayodumisha Amani iliyopo nchini.
 
CCM ya Meko sio rafiki kwa akina mama .
1. Ummy
2. Gekul
3. Ndalichako
4. Stella Manyanya
5. Doroth Kilave
6. Jesca Msamvatavangu
7. Hamida
8. Salma Kikwete
9. Jenister
10. Leah Komanya
11.Tulia
12. Anne Kilango
13.Bonna Kamoli
14.Angelina Mabula

Hakika inasikitisha CCM badilikeni. Wapeni akina mama nafasi.
Mwenyekiti kila siku anawatolea mfano wa vitoeo vya wanaume mama zetu, JK alikuwa na mfumo mzuri sana wa kuwezesha wanawake.
 
27 September 2020
Chitemo , Dodoma

KINAMAMA DODOMA WAELEZA MATATIZO YAO KWA MGOMBEA MWENZA



CHADEMA imekuwa kimbilio la waTanzania kuelezea matatizo yao ya Maendeleo ya Watu
 
Back
Top Bottom