Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Wanakuwaga visuuu yaaani warembooooMakopo mengi ya mbogamboga huwa yanakimbilia viti maalumu ili yapewe uteuzi wa chupi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanakuwaga visuuu yaaani warembooooMakopo mengi ya mbogamboga huwa yanakimbilia viti maalumu ili yapewe uteuzi wa chupi
Kwenye hiyo list namba 11 umeiona?mbona sijamwona tulia ackson kwenye hiyo list,vipi maalum kuna wanaume? Fikiria kabla ya kupost
Halafu vichwani sifuriWanakuwaga visuuu yaaani waremboooo
ApiaHalafu vichwani sifuri
ukitaka upate majibu mazuri tafuta idadi ya wanawake na wanaume waliojitokeza kugombeaCCM ya Meko sio rafiki kwa akina mama .
1.Ummy
2.Gekul
3.Ndalichako
4.Stella Manyanya
5.Doroth Kilave
6.Jesca Msamvatavangu
7.Hamida
8.Salma Kikwete
9.Jenister
10.Leah Komanya
12.Anne Kilango
Hakika inasikitisha CCM badilikeni. Wapenzi akina mama nafasi..
Kuna speial seatsCCM ya Meko sio rafiki kwa akina mama .
1.Ummy
2.Gekul
3.Ndalichako
4.Stella Manyanya
5.Doroth Kilave
6.Jesca Msamvatavangu
7.Hamida
8.Salma Kikwete
9.Jenister
10.Leah Komanya
12.Anne Kilango
Hakika inasikitisha CCM badilikeni. Wapenzi akina mama nafasi..
Ungekuja na takwimu ya idadi ya wanawake waliojitokeza kutia nia kwenye majimbo yao ili tuchakate.
Maana huwezi mlazimisha mtu kuwa mwanasiasa.
Tunachoangalia ni uwezo wa mtu sio jinsia ya mtu,
Ebu acheni propaganda za kibeberu za usawa wa kijinsia
Watampa mawazo yao mtu aliyeteuliwa ili ayafanyie kazi kwa maslahi mapana ya chama chetu na nchi yetu kwa ujumlaSawa lakini hakika nakwambia kuna wanawake wenye uwezo wameachwa nawafahamu walishika namba 2-3 na hawakutoa hata chembe ya rushwa wala nini!
toa orodha ya chadema tuoneCCM ya Meko sio rafiki kwa akina mama .
1. Ummy
2. Gekul
3. Ndalichako
4. Stella Manyanya
5. Doroth Kilave
6. Jesca Msamvatavangu
7. Hamida
8. Salma Kikwete
9. Jenister
10. Leah Komanya
12. Anne Kilango
Hakika inasikitisha CCM badilikeni. Wapenzi akina mama nafasi..
Naye ni mwanamke? weka pichaTulia
Wewe huwaoni hata bungeni kazi yao kubwa ni kupiga makofi tuApia
Hili la rushwa nakukatalia hakuna mwanaccm ambaye hakutoa rushwa na akapata kuraSawa lakini hakika nakwambia kuna wanawake wenye uwezo wameachwa nawafahamu walishika namba 2-3 na hawakutoa hata chembe ya rushwa wala nini!
Wazee (76%) wana uwezekano mkubwa wa kusema wapo karibu na CCM kuliko vijana (49%); wanawake (63%) wapo karibu zaidi na CCM kuliko wanaume (53%); na wasio na elimu (66%) wapo karibu zaida na chama tawala kuliko wenye elimu ya juu (46%).Wewe huwaoni hata bungeni kazi yao kubwa ni kupiga makofi tu
Hao wazee wenyewe ni asilimia ngapi ya population?Wazee (76%) wana uwezekano mkubwa wa kusema wapo karibu na CCM kuliko vijana (49%); wanawake (63%) wapo karibu zaidi na CCM kuliko wanaume (53%); na wasio na elimu (66%) wapo karibu zaida na chama tawala kuliko wenye elimu ya juu (46%).
21 Agosti 2020CCM wanawahadaa kina mama kipindi hiki kwa kuwaahidi 4 %,mikopo n.k kipindi hiki cha uchaguzi
Ina maana CCM nchi nzima hawa ndio wenye uwezo?? Ama kweli ccm imejaa makapi tu. JPM hajaona mtu wa kupambana na Chadema mwaka huu. Wasubiri viti maalum tu.CCM ya Meko sio rafiki kwa akina mama .
1. Ummy
2. Gekul
3. Ndalichako
4. Stella Manyanya
5. Doroth Kilave
6. Jesca Msamvatavangu
7. Hamida
8. Salma Kikwete
9. Jenister
10. Leah Komanya
12. Anne Kilango
Hakika inasikitisha CCM badilikeni. Wapenzi akina mama nafasi..