Hapo ni Mtama kwa Nape??
Naam, kinaMama sasa wanajibainisha na chama kinachojali mahitaji ya mtanzania na kinamama hawa wa Mtama wanasema sasa basi ! CHADEMA ndiyo mtetezi wa familia zao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ni Mtama kwa Nape??
Sasa kwenye 400 unashindwaje hata kuteua 40?Wapo wengine ambao umewasahau km Hawa Ghasia, Bonna Karua nk. Hata hivyo kati ya 10,000 waliojitokeza kwenye kura ya maoni hawakufikia hata 400, sasa wawalazimishe?
Hapana aisee mbona CDM wamepita 68 kwani huko hakuna viti maalum
Mtama, Lindi
Tanzania
CHADEMA KANDA YA KUSINI
Jeshi la kina mama wa CHADEMA jimbo la Mtama Lindi
Source : CHADEMA MEDIA TV
Naam, kinaMama sasa wanajibainisha na chama kinachojali mahitaji ya mtanzania na kinamama hawa wa Mtama wanasema sasa basi ! CHADEMA ndiyo mtetezi wa familia zao.
Magu sijui kalikoroga wapi hadi wanawake wanampiga chini.
Mkuu samahani nadhani chama ndo kinatakiwa kitengeneze mazingira safi kwa ajili ya akina mama kuingia kwenye mchakato kama ilivyo kwa CDM.Ungekuja na takwimu ya idadi ya wanawake waliojitokeza kutia nia kwenye majimbo yao ili tuchakate.
Maana huwezi mlazimisha mtu kuwa mwanasiasa.
Nimemueka Mkuu nilisahau Bonna KamoliMbona Segerea hujamuweka?
Boss nilimsahau tu, hata hivo namba11 nilikuwa sijaweka, hvo no 11 n yeyembona sijamwona tulia ackson kwenye hiyo list, vipi maalum kuna wanaume? Fikiria kabla ya kupost
Mzee Propoganda gani mzee...Nyerere alikuwa na akina bibi binti Kikwete wabunge walikiwa 33 LEO mzee wa chattle 11 half alivyofunga bunge alisema akina mama wapewe nafas mbona kauli hiyo haijatendeka ktk chama chake.Tunachoangalia ni uwezo wa mtu sio jinsia ya mtu,
Ebu acheni propaganda za kibeberu za usawa wa kijinsia
Walioteuliwa wanatoshaMzee Propoganda gani mzee...Nyerere alikuwa na akina bibi binti Kikwete wabunge walikiwa 33 LEO mzee wa chattle 11 half alivyofunga bunge alisema akina mama wapewe nafas mbona kauli hiyo haijatendeka ktk chama chake.
Kipindi cha JK walifika 33 kwa mdhalilishaji ni 13 tu, hata wakuu wa wilaya na mkoa ni wachache sana.Hoja hii imekuwa ngumu sana kutetewa na wana Buku7 wa mtaa wa Lumumba wakati inagusa 50% ya waTanzania.
Sijui kwanini CCM Mpya wamejificha hawaji kutufahamisha uzuri wa mfumo huu waliouchagua na sababu zake.
Mbona Segerea hujamuweka?