Uchaguzi 2020 CCM bado imekumbatia mfumo dume? Kati ya majimbo 200+ ni wanawake 14 tu ndo wamepenya kugombea Ubunge

Uchaguzi 2020 CCM bado imekumbatia mfumo dume? Kati ya majimbo 200+ ni wanawake 14 tu ndo wamepenya kugombea Ubunge

CCM ya Meko sio rafiki kwa akina mama .
1.Ummy
2.Gekul
3.Ndalichako
4.Stella Manyanya
5.Doroth Kilave
6.Jesca Msamvatavangu
7.Hamida
8.Salma Kikwete
9.Jenister
10.Leah Komanya
12.Anne Kilango

Hakika inasikitisha CCM badilikeni. Wapenzi akina mama nafasi..
ukitaka upate majibu mazuri tafuta idadi ya wanawake na wanaume waliojitokeza kugombea
 
CCM ya Meko sio rafiki kwa akina mama .
1.Ummy
2.Gekul
3.Ndalichako
4.Stella Manyanya
5.Doroth Kilave
6.Jesca Msamvatavangu
7.Hamida
8.Salma Kikwete
9.Jenister
10.Leah Komanya
12.Anne Kilango

Hakika inasikitisha CCM badilikeni. Wapenzi akina mama nafasi..
Kuna speial seats
 
Ungekuja na takwimu ya idadi ya wanawake waliojitokeza kutia nia kwenye majimbo yao ili tuchakate.

Maana huwezi mlazimisha mtu kuwa mwanasiasa.

Wapo wengi sana,
Tena wengine wameshika namba 2-3 kwenye kura za maoni lakini wameachwa [emoji87][emoji87]
 
Tunachoangalia ni uwezo wa mtu sio jinsia ya mtu,
Ebu acheni propaganda za kibeberu za usawa wa kijinsia

Sawa lakini hakika nakwambia kuna wanawake wenye uwezo wameachwa nawafahamu walishika namba 2-3 na hawakutoa hata chembe ya rushwa wala nini!
 
Sawa lakini hakika nakwambia kuna wanawake wenye uwezo wameachwa nawafahamu walishika namba 2-3 na hawakutoa hata chembe ya rushwa wala nini!
Watampa mawazo yao mtu aliyeteuliwa ili ayafanyie kazi kwa maslahi mapana ya chama chetu na nchi yetu kwa ujumla
 
CCM ya Meko sio rafiki kwa akina mama .
1. Ummy
2. Gekul
3. Ndalichako
4. Stella Manyanya
5. Doroth Kilave
6. Jesca Msamvatavangu
7. Hamida
8. Salma Kikwete
9. Jenister
10. Leah Komanya
12. Anne Kilango

Hakika inasikitisha CCM badilikeni. Wapenzi akina mama nafasi..
toa orodha ya chadema tuone
 
Sawa lakini hakika nakwambia kuna wanawake wenye uwezo wameachwa nawafahamu walishika namba 2-3 na hawakutoa hata chembe ya rushwa wala nini!
Hili la rushwa nakukatalia hakuna mwanaccm ambaye hakutoa rushwa na akapata kura
 
Wewe huwaoni hata bungeni kazi yao kubwa ni kupiga makofi tu
Wazee (76%) wana uwezekano mkubwa wa kusema wapo karibu na CCM kuliko vijana (49%); wanawake (63%) wapo karibu zaidi na CCM kuliko wanaume (53%); na wasio na elimu (66%) wapo karibu zaida na chama tawala kuliko wenye elimu ya juu (46%).
 
Hao wazee wenyewe ni asilimia ngapi ya population?

Wanawake ni 29.02 Milions while wanaume ni 28.98 Milions hebu angalia hiyo ratio.
 
CCM wanawahadaa kina mama kipindi hiki kwa kuwaahidi 4 %,mikopo n.k kipindi hiki cha uchaguzi
21 Agosti 2020
Temeke, Dar es Salaam
Tanzania
DC GONDWE ATOKA OFISINI NAKWENDA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI, ATOA MAAGIZO KWA TARURA

N.B: Kazi kweni kina mama mdai zaidi ili muwe sehemu ya mamlaka ya kufanya maamuzi ya kweli kupitia CHADEMA badala ya kusubiri 'hisani' ya CCM Mpya
 
CCM ya Meko sio rafiki kwa akina mama .
1. Ummy
2. Gekul
3. Ndalichako
4. Stella Manyanya
5. Doroth Kilave
6. Jesca Msamvatavangu
7. Hamida
8. Salma Kikwete
9. Jenister
10. Leah Komanya
12. Anne Kilango

Hakika inasikitisha CCM badilikeni. Wapenzi akina mama nafasi..
Ina maana CCM nchi nzima hawa ndio wenye uwezo?? Ama kweli ccm imejaa makapi tu. JPM hajaona mtu wa kupambana na Chadema mwaka huu. Wasubiri viti maalum tu.
 
Back
Top Bottom