Course Coordinator
JF-Expert Member
- Jul 27, 2019
- 1,742
- 3,224
Posho za mboweHapana aisee mbona CDM wamepita 68 kwani huko hakuna viti maalum
Asa ccm ni cdm?Hapana aisee mbona CDM wamepita 68 kwani huko hakuna viti maalum
Naibu speaker yupi ?Tambua Kuna Viti maalum
Makamo wa Rais ni Mwanamke
Naibu spika ni Mwanamke
Mnataka sasa kutugeuza wanaume mashabiki
Ova!
Hata kama akiwekwa hawafiki hata 10% hata kwenye mchakato walikuwa wachache sanaMbona segerea hujamuweka?
Hata kama angekuwepo hawafiki hata 20 nchi nzima huku ni kukiuka katiba ya ccm inayotaka haki na usawa.mbona sijamwona tulia ackson kwenye hiyo list,vipi maalum kuna wanaume? Fikiria kabla ya kupost
Tunachoangalia ni uwezo wa mtu sio jinsia ya mtu,CCM ya Meko sio rafiki kwa akina mama .
1.Ummy
2.Gekul
3.Ndalichako
4.Stella Manyanya
5.Doroth Kilave
6.Jesca Msamvatavangu
7.Hamida
8.Salma Kikwete
9.Jenister
10.Leah Komanya
12.Anne Kilango
Hakika inasikitisha CCM badilikeni. Wapenzi akina mama nafasi..